Ms Billionaire
JF-Expert Member
- Jul 18, 2020
- 2,452
- 4,955
Kumbe mwanafunzi maskini. Sasa kosa sio letu ukazaliwa kwenye kipochi cha kuuzwa basi unatukana tukana tu wanawake unadhani wote ni kama ulikotoka. Em lala mapema uote njozi za kubalehe. Acha baba zako na mama zako tuchoshane uwanjani. AlaaAda kulipa mpaka January,huwezi nikosesha ada,mishe zangu nashika mwenyewe,mamaangu mdogo kabisa ana miaka 60