Sipendi na sitaki ukaribu wala shobo na wanawake wenye vijitabia vya feminism

Sipendi na sitaki ukaribu wala shobo na wanawake wenye vijitabia vya feminism

Kwenye huu uzi, kwa mtu mwenye akili tulivu atatoka kajifunza vingi sana especially akiweka kando mihemuko ya kihisia na akachambua facts.
Tatizo ni kwamba we men are very emotional creatures than we care to admit which unfortunately often clouds our judgment.

Ukitaka kuthibitisha hilo pitia comments. Nyingi ziko na emotional outbursts kuliko hoja za msingi.
 
Sasa mwanaume mzima anaongelea tako? Seriously? Alafu mnataka muheshimiwe. Mbona wenye matako hamuwaoi mnawatumia kwenye mabaa mnawashindisha guest mnawafanya michepuko ila hamuwaoi. Kila mtu anasema anataka mwenye elimu na uwezo wa kujihudumia. Ndo maana marioo mmejazana kama vindege. Nilichogundua jf ina wapumbavu wengi saana.
Mimi nimewaoa tena watatu sasa sjui unamzungumzia nan?
 
Mi naona kila pande ina kitu cha muhimu cha kunote na kukichukua na kama utakichukua in a positive way..sema uwasilishwaji wake umeingiwa na jazba...ubabe...matusi na kutotaka kushindwa kwa pande zotee..so no concensus inapelekea hoja nzuri kuonekana rubbish.
 
Kwenye huu uzi, kwa mtu mwenye akili tulivu atatoka kajifunza vingi sana especially akiweka kando mihemuko ya kihisia na akachambua facts.
Tatizo ni kwamba we men are very emotional creatures than we care to admit which unfortunately often clouds our judgment.

Ukitaka kuthibitisha hilo pitia comments. Nyingi ziko na emotional outbursts kuliko hoja za msingi.
Mihemko na ubabe ni alama kuu ya inferiority. Yani kuna watu wamezidi kujidharaulisha.
Mtu anajiita mwanaume ila kauli zake na hoja dhaifu anazijenga kama mwajuma ndalandefu wa mashimoni huko. Nani atawapa heshima kwa matusi hayo? Mwenye hoja ndo mwanaume, hawa wenye matusi hata kubalehe bado. Chefuu
 
Kila mwanaume humu jf kaoa wake watatu, wote amewajengea, na wote hawafanyi kazi yeye ndo anaewalisha na watoto wao🤣🤣🤣🤣 sasa hawa marioo huku mtaani ni waume wa wanawake gani? Watu wanaishi kwenye dunia ya hallucinations, dunia ya kufikirika na watu wana fantasies kuliko hata teenage school girls.

Usawa huu wa mchele kilo 3500🤣 ukija na hoja kwamba umewajengea wake zako watatu kila mtu na kwake na unawahudumia hadi hela ya chumvi uje ma uthibitisho msituletee ujinga.

THE MOMENT YOU TRY SO HARD TO PROVE THAT YOU’RE A STRONG MAN, THAT’S WHEN IT’S UNCOVERED THAT YOU ARE HIDING A CERTAIN INFERIORITY.
 
unashida sio kidogo
 
Mi naona kila pande ina kitu cha muhimu cha kunote na kukichukua na kama utakichukua in a positive way..sema uwasilishwaji wake umeingiwa na jazba...ubabe...matusi na kutotaka kushindwa kwa pande zotee..so no concensus inapelekea hoja nzuri kuonekana rubbish.
Kiufupi wanaume wengi humu waliokua wanacomment kwa mihemko wameonyesha highest level of immaturity. Na bado wanataka kuheshimiwa. Nani kasema? Huwezi kumtukana mwanamke akakaa kimya eti kwasababu ni mwanamke. Inamaana sisi ni wajinga kiasi hicho? Wawatukane wake zao huo sio humu mitandaoni.
 
Mbona kama umeguswa mkuu😂😂😂
Kama halikuhusu we pita pembeni
Kwani yeye peke yake ndo alisema ameoa wake wengi mbona kujishuku.
Waliooa wake wengi na kuwahudumia saizi wanafungasha vidumu vya mafuta waanze kusambaza kwenye vijumba vya wake zao. Hawapo mtandaoni
 
Kiufupi wanaume wengi humu waliokua wanacomment kwa mihemko wameonyesha highest level of immaturity. Na bado wanataka kuheshimiwa. Nani kasema? Huwezi kumtukana mwanamke akakaa kimya eti kwasababu ni mwanamke. Inamaana sisi ni wajinga kiasi hicho? Wawatukane wake zao huo sio humu mitandaoni.
Mi nina principal moja akuanzaye mmalizie...
Nazungumzia hapa kila mmoja ana hoja nzuri kabisa na zinge meet somewhere na kuleta logic..sasa naona mihemuko imezidi.ila ni kweli kama mtu anakutukana utaachaje sasa tuu
 
Mtu anitukane nimwache kisa nini. Na wanaume wanataka hata tukitukanwa tuendelee ku bow. Ukijibu basi wewe ni feminist. Kama mataaira yani. Ndo maana wengine unakuta wanapigwa na wake zao kumbe akili ndendembe. Mimi
Nimekuta hii mada wanamshambulia huyo mdada sijui nani tanzanian nikasoma hoja zake sikuona point ya wao kumsema tena nikashangaa kabisa anasema yeye wala ha sapoti hiyo 50/50 bado wanamwita mnafki kheee yani they want voiceless women. Hata uongee jema kwao ni matusi. Yaani huyu aloanzisha mada namsubiri hapa nimmalizie maana yule alobishana nae juzi kamchambua akabaki anatukana tukana tu kama likichaa eti mara bitch mara malaya kumbe mwanamke mmoja kammaliza nguvu. Na wengine Wakaanza kujazana na atakae kuja mwengine ntaendelea kupambana nae wanawake tumezidi kutukanwa na kunyamaza hatukubali.
 
Mimi mwanamke kama ni mpambanaji hata akiwa kawa mwanaume au akidai haki sawa kwangu naona ni sawa tu

Ila nachukia kuona hivi ambavyo havina chochote,havina mchango wowote katika familia zaidi ya kuongeza idadi ya watu tu,unakuta nako kanajimwambafai na kudai haki sawa
Idadi ya watu unamaanisha kuzaa?[emoji16][emoji16]
 
Na-enjoy hii discussion kwa kweli niko zaidi ya closer na uzi huu kuna serious discussion hapa na mengi ya kujifunza kwa wadanganyika.
 
Tuwe objective kwenye mada, hata qatar wameonyesha hilo, kwenye suala la kulinda utamaduni wa nchi husika, mwambie huyo feminist, kwamba huo siyo utamaduni wa Africa.
 
Back
Top Bottom