Sipendi ugali kabisa na ninaishi

Wali nikiula siku mbili mfulululizo huwa nakinai .

Vyakula vya ngano nikivila huwa vinanikereketa na kusababisha kutibuka kwa tumbo.

Ugali sijawahi kuukinai kiasi kwamba hata kipindi cha ramadhan namwambia wife anipikie ugali kama futari au daku.
Lengo lako Ni bajet na unataka mabonge ya unga yashike tumboni ..nimeshakuona mfuko wako Ni mfupi
 
Mwanaume unajisifia kupenda zege utakuja kupopolewa.
 
Sasa unatakiw u explore other food lines
Kuna
1. Kande
2 Ndizi labla za maharage au ndizi nyama au ndizi za kupikia maziwa mtindi.....kuna mapishi mengi ya ndizi
3. Wali nao una mapishi mengi mfano biriani, pilau, mseto, njegere
4. Kuna tambi na vyakula vya ngano
5. ugali na mboga zake aonuna ufundi mwingi mno

huwa napenda kupika vyakula vipya na wife jikoni Inatuweka karibu sana.
 
Ugali wa unga wa mahindi yaliyokobolewa ni wanga (starch) tu, hauna virutubisho.

Ni chakula cha kukupa nishati tu, hakina virutubisho.

Bora hata ugali wa mahindi yasiyokobolewa, dona, una protini.

Kukoboa mahindi kunaondoa protini kwenye ugali.
 
Nimejifunza hapa.....

Madini sana😊😊
 
Ugali wa unga wa mahindi yaliyokobolewa ni wanga (starch) tu, hauna virutubisho.

Ni chakula cha kukupa nishati tu, hakina virutubisho.

Bora hata ugali wa mahindi yasiyokobolewa, dona, una protini.

Kukoboa mahindi kunaondoa protini kwenye ugali.
Kwaio ugali unadumaza akili 😊😊😊😊😊😊😊

Najua una exposure kubwa unaweza uka share mataifa mengi ya ulaya na Asia hata Amerika Huwa hawapendi kutumia hii nafaka katika Milo Yao....
 
Mwanaume unajisifia kupenda zege utakuja kupopolewa.
Mkuu ukitaka kujua ugali hauna hadhi NDIO maana kwenye masherehe.................

Siku ukihudhulia sherehe mf. Harusi alafu ukajiandaa kisaikolojia utakula biriyani au pilau au hata wali wa maji alafu ukakuta ugali harusini.....πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hiyo inategemea sehemu na sehemu..nenda kwa wakurya au wasukuma huko utakuta ugali upo kwenye menu siku ya sherehe. Hadhi ya chakula hutegemea na watu wa sehemu husika wanapendelea nini zaidi.
 
Hiyo inategemea sehemu na sehemu..nenda kwa wakurya au wasukuma huko utakuta ugali upo kwenye menu siku ya sherehe. Hadhi ya chakula hutegemea na watu wa sehemu husika wanapendelea nini zaidi.
Ndomana kanda ya ziwa wengi vilaza
 
Ugali hapana ni siupendi toka nipo kwetu, siwezi poteza hela yangu kula ugali.Hata watoto wangu hulalamika kula ugali hivyo substitution yake ni macaroni na spaghetti
Macaroni na sphagetti ndo vyakula gani mkuu, kapicha please nivijue!
 
Uwiii mtoto wangu kila nikiongea ananiambia speak English, nikajisemea kimoyomoyo manina kweli weee pesa yangu mwenyewe unaniendesha nayo mxiiiuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…