Sipendi ugali kabisa na ninaishi

Una marinda lakini?Wewe ni mwanamume mwenzetu?baadaye usije kusema huna nguvu za kiume
 
Harusi kibao zina ugali zingine Hadi chai kabisa. Nenda makambako harusini mnapewa chai na uji kabisa
 
Harusi kibao zina ugali zingine Hadi chai kabisa. Nenda makambako harusini mnapewa chai na uji kabisa
Yaah,
Itakua sabb ya Hali ya hewa huko mafinga.....β˜ΊοΈπŸ™‚πŸ˜†πŸ˜ŠπŸ˜Š

Ila ukiwa lake zone huwezi wapikia ugali harusini watasema hawajala harusini πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£
 
Hata hivyo Ugali umedumaza sana Ubongo za watu wengi na jinsi ulivyo wengi wanaamini ni chakula ya Mtu mweusi kumbe nayo ilililetwa na Mabeberu zipo Nchi nyingi Afrika Ugali sio kipaumbele chao kama hapa kwetu...
Sasa hizo nchi za Afrika kwa kutokula ugali wamekua na akili gani? Ni jambo gani wamefanya kuonyesha kwamba hua hawali ugali?

Wewe tu ulichokiandika tu unaonekana huna akili pamoja na kwamba huli ugali.
 
Nenda hapo Uganda, Rwanda, Burundi, CAR, South Afrika, uone kama ugali ndo chakula chao
mkuu matumbo yakizoa kula chakula fulani, kingine hayataweza. Wengine tumezoa kula ugali ndio tunashiba vizuri kuliko wali na ndizi. Ugali ndio chakula cha kushiba, vyakula vingine vinapoza tu njaa. Hizo nchi kwa kuwa hazitumii ugali labda wana vyakula vyao ambavyo wakila wanashiba kisawasawa
 
tena ugali na yale madagaa ya ziwa victoria!! Sio kwa nia mbaya au nina ego hapana


Wewe utakuwa unayo matatizo kichwani mwako, hiyo kauli yako inathibitisha hilo.
 
Madogo hamjui historia ya wabantu...kabla ya mahindi babu zetu walikua wanakula ugali wa nafaka mbalimbali...Tatizo madogo ujuaji mwingi na elimu zenu za degree.
Nadhani uwele ndo nafaka ya asili ya Africa, na ulitimika kwa ugali na uji. Hizi nafaka nyingine nyingi zimeletwa ma wazungu. Problem ya uewele production yake ni ngumu sana. Unaliwa sana na ndege...hivyo ndo maana njaa zilikuwa haziishi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…