Sipendi ugali kabisa na ninaishi

Kama upo kanda ya ziwa wewe utakua ni wa kutoka Bukoba! Kanda ya ziwa yote Ugali ndo Asili yao. Ila ukianza kusogea kwa wahaya huko ugali ni nadra sana..!
 
Ugali wa mahindi mswahili yeyote ukisema ugali anajua wa mahindi...ngano na mtama Nchi nyingi wanalima na kutumia hizo nafaka hata kichwani wapo sawa tofauti na wala ugali harafu wanauamini balaa huwezi kuwaambia kitu kwa sababu washadumazwa...
Ugali wa nafaka gani mkuu
 
Wakuu niongezeeni list ya vyakula baada ya hivi
Wali
Tambi
Ndizi
Pilau
kwangu hivi ni vyakula vinavyo chosha sana nikila siku mbili tu tofauti na ugali, Tambi siwezi kula zaidi ya mara 3 kwa wiki, pilau sipendi kwaajili ya viungo, wali nikila mchana na usiku sitaki hata kuuona kesho yake, ndizi nayo nikila baada ya muda mfupi naskia njaa kishenzi haziendani na kazi zangu ngumu nazo fanya
 
Hata hivyo Ugali umedumaza sana Ubongo za watu wengi na jinsi ulivyo wengi wanaamini ni chakula ya Mtu mweusi kumbe nayo ilililetwa na Mabeberu zipo Nchi nyingi Afrika Ugali sio kipaumbele chao kama hapa kwetu...
Hii comment yako ulipo sema Ugali umedumaza bongo za watu wengi NIMEJIKUTA nimeangua kicheko πŸ€£πŸ€£πŸ˜€πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Wakati Tupo A_Level Kuna ugali ulikua unapikwa tunakula ukibakia Kwa jinsi ulivyo kua mbaya hata NGURUWE wanagoma kula......😊😊😊😊

Tukawa tunataniana kua ule ugali ni wakuwaulia viumbe (wanyama) walio shindikana Marekani πŸ˜ŠπŸ˜ŠπŸ€“πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚
 
Kwa hela yangu sinunui ugali.

Nimekula sana utotoni. Asubuhi mchana na usiku, 24Γ—7 siku 365 na robo.

Unanipa trauma aisee.
Zamani me mwenyewe nilikuwa sitoi hela yangu kununua ugali.
Au nikienda mgahawani kula sitoi order ya ugali.

Mdogo wangu ukikuwa sasa, sijui utakulaje nyama choma bila ugali 🀭
Ndizi daily? Haifai…
Siku hizi naula japo si mara nyingiii ila nimo miongoni kwa walaji.
 
πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hii theory Ina apply sanaa maana ugali Kwa jamii nyingi pamoja na availability yake ni wachache sana wanaweza toa pesa kulipia ugali mgahawani....πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“
 
Ipo siku utarudi kusoma haya, siku hiyo, hopefully uzeeni utagundua sumu gani umeweza kupandikiza kwa wajukuu wako, ndugu zako, jamii yako....hawatajua hivyo ila wewe utatambua hivyo.....Nina uhakika hautataka kutoka nje na kuwaangalia wajukuu zako wakiwa wanalia njaa.

Amani ikutawale
 
Wewe ndo wa hovyo ila siyo ugali, na raha ya ugali huwa ni mboga
 
mbona nimeenda Nigeria nimekula sana ugali wao wanaita Amala na watu wengi wanakula au Nigeria ipi?
 
Hiyo ni menu ya mchana napendelea vitu simple hata dada anapika vizuri, jioni ndio ndizi,wali,pilau etc
Hao watoto si watakua wamelegea sana yan chakula chao kikuu unawalisha spaghetti, ndizi na wali?
kwa vyakula hivyo siyo mazoezi tu hata Kutembea umbali mdogo kwa miguu hawawezi unatengeneza bom moja baya sana huko mbeleni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…