Sipendi wanaohalalisha Infidelity

lakini mambo ya kutoka nje au kuingia ndani ya ndoa INATEGEMEA NTU NA NTU!

naamini kwamba mkuu kemo ANA POINT
 
b. Mtu anacheat na mtu mwingine mmoja ambaye anakuwa ni kama permanent na hata ameweza kuwa na nyumba mbili (the concept of nyumba ndogo) na anahudumia wote vizuri tu ila hawajuani.
Mkuu hili naona ndilo nafuu kuliko nyingine zote (najua kwamba infidelity haiwezi kuitwa jina zuri hata ikiwa katika rangi yoyote)!

Kuna case moja jamaa alikua ameoa na akafanikiwa kujenga familia bora kabisa...wacha Mungu, heshima, upendo n.k. Mke alikuja kupatwa na mshangao mkubwa sana alipokufa mme, wakatokea watoto wawili wakiwa na mama yao......wakasema wameenda kumzika baba yao! The bottom line ni kwamba jamaa alikua na familia mbili zilizojitosheleza!
 
lakini mambo ya kutoka nje au kuingia ndani ya ndoa INATEGEMEA NTU NA NTU!

naamini kwamba mkuu kemo ANA POINT
Point ninayo, hata kama hamuioni. Kwa sababu majhority humu mnaamini there is no life or marriage without infidelity. so ni ngumu kwenu kuamini au kukubali kwamba kuna wasafi. Ni ngumu kama ilivyo ngumu kuamini kwamba ccm kuna waadilifu. Hta wanawake wenyewe humu wana wacheer up kwamba muendelee kuwa wazinzi hata kama mmeoa, so si kosa lenu i really pity you guys.
 
lakini mambo ya kutoka nje au kuingia ndani ya ndoa INATEGEMEA NTU NA NTU!

naamini kwamba mkuu kemo ANA POINT
Sawa kabisa.

Ila atakayethibitisha kuwa mshiki ha-cheat ni mshiki mwenyewe. Geoff hawezi kututhibitishia kuwa mshiki ni mwaminifu kwa 100%. Mshikiz pia hawezi kuthibitisha Geoff si mwaminifu, ila makamanda wapiganaji tunaweza kuthibitisha biyond rizonabo daut:drum::drum::drum:
 


carmel............
 
Carmel ninaungana nawe kuwa watu wamezoea kuogelea katika dimbwi la tope basi wanaona haina haja kwao kuwa wasafi siku moja! Ni mtazamo hatarishi kwa kuwa ndio huo tutakorithisha wanetu tusiposimama kukemea! Usichoke; Kemea uovu popote pale! it is your responsibility.

NB nimetuma ujumbe kwako hukuupata?
 

carmel mie namba moja sijaidhinisha uzinzi nachukia usaliti si katika ndoa tu bali katika mahusiano yoyote kuanzia B/F G/F mpaka kufikia ndoa ..lakini mambo haya ya usaliti ni mengi sana ni mungu mwenyewe anajua na atusaidie na kutupa mioyo ya hekima katika hili jambo
 
Carmel pray that you don get surprises....just believe and keep praying!
 

Hivi mtu anasaliti kwa kulazimishwa?
Lakini kama mtu ameamua kwa ridhaa yake pasipo kusulutishwa basi hakuna cha kumlaumu mwenzio si ameamua kumega au kumegwa.
 

Carmel point unayo and I am with u totally..lakini humu watu hawataki kufahamu. nilisha wahi kufungua topic about Adultry....nikauliza watu their opion regarding this act...lakini majibu niliyo pata I gave up on them.... Frankly speaking mie naogopa mtu ambae haogopi mungu... he can do anything...uta ni cheat mie fine but how about ur GOD? dont u fear or ashamed infront of him? kama mme wangu ata ni cheat mie I will forgive him only that I should be able forget him...
 

Carmel point unayo and I am with u totally..lakini humu watu hawataki kufahamu. nilisha wahi kufungua topic about Adultry....nikauliza watu their opion regarding this act...lakini majibu niliyo pata I gave up on them.... Frankly speaking mie naogopa mtu ambae haogopi mungu... he can do anything...uta ni cheat mie fine but how about ur GOD? dont u fear or ashamed infront of him? kama mme wangu ata ni cheat mie I will forgive him only that I should be able to forget him...
 
lakini mambo ya kutoka nje au kuingia ndani ya ndoa INATEGEMEA NTU NA NTU!

naamini kwamba mkuu kemo ANA POINT
Hakuna anayebisha muzee ila alichoandika hapa, ndicho nachombishia mpaka kukuche.



Mume wangu hana kimada, hajawahi na hili nasema wazi, na hata yeye anapitia humu nina uhakika anasoma. baba yangu tangu nikue hadi nikawa na akili timamu sijawahi kumhisi na hata kusikia,
 
Hakuna anayebisha muzee ila alichoandika hapa, ndicho nachombishia mpaka kukuche.

sasa hutaki xpin? kama hutaki basi, kwani kuna mtu anakulazimisha kuamini? YES, HANA.
 
Carmel pray that you don get surprises....just believe and keep praying!

I dont expect any suprise coz i will know it before i get that suprise, so it wont be a suprise anymore. i will be prepared
 
carmel............

ndio kaizer hana, labda aanze leo kwa kuona hii league niloanzisha hapa jf, na afanye hivyo kwa kuniprove wrong ili apate huo uanaume ambao ndio mnaouhubiri hapa jf kwamba to be a man you have to cheat, otherwise you are less than a man lol.
 
hata nikibaki peke yangu, ntaendelea kuamini kwamba its possible to be faithfully, if you play your part its possible. sasa watu wameshazoea kuzini hadi hawaamini kama haiwezekani kutozini. watu kama hawa ni ngumu kukuelewa hata uimbe haleluya kuu.
 
sasa hutaki xpin? kama hutaki basi, kwani kuna mtu anakulazimisha kuamini? YES, HANA.

Hahahaha TOMASO huyo lakini anataka tu useme kuwa ww unaamini hana lakini mengine unamwachia Mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…