Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Ukikua utaelewa tu. Subiri safari ya Usalule ikianza...........Hii mada sielewi elewi sijui mnazungumzia nn?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukikua utaelewa tu. Subiri safari ya Usalule ikianza...........Hii mada sielewi elewi sijui mnazungumzia nn?
Mkuu hili naona ndilo nafuu kuliko nyingine zote (najua kwamba infidelity haiwezi kuitwa jina zuri hata ikiwa katika rangi yoyote)!b. Mtu anacheat na mtu mwingine mmoja ambaye anakuwa ni kama permanent na hata ameweza kuwa na nyumba mbili (the concept of nyumba ndogo) na anahudumia wote vizuri tu ila hawajuani.
Point ninayo, hata kama hamuioni. Kwa sababu majhority humu mnaamini there is no life or marriage without infidelity. so ni ngumu kwenu kuamini au kukubali kwamba kuna wasafi. Ni ngumu kama ilivyo ngumu kuamini kwamba ccm kuna waadilifu. Hta wanawake wenyewe humu wana wacheer up kwamba muendelee kuwa wazinzi hata kama mmeoa, so si kosa lenu i really pity you guys.lakini mambo ya kutoka nje au kuingia ndani ya ndoa INATEGEMEA NTU NA NTU!
naamini kwamba mkuu kemo ANA POINT
Sawa kabisa.lakini mambo ya kutoka nje au kuingia ndani ya ndoa INATEGEMEA NTU NA NTU!
naamini kwamba mkuu kemo ANA POINT
sijui we bibie umelelewa malezi gani hadi ushabikie uzinzi, lakini mimi najua kutembea na mume wa mtu ni utovu wa nidhamu na kujishusha hadi grade ya chini. so i dont buy it. Mume wangu hana kimada, hajawahi na hili nasema wazi, na hata yeye anapitia humu nina uhakika anasoma. baba yangu tangu nikue hadi nikawa na akili timamu sijawahi kumhisi na hata kusikia, i guess i am lack that way. so siwezi kukushangaa wewe na opinion yako, yawezekana kwako hii ni order of the day so what can i expect from you? wanasemaga birds of the same feathers....... so cheer them up gal.
Ukikua utaelewa tu. Subiri safari ya Usalule ikianza...........
Ewaaaaaa!Hehehehe mpwa ngoja nijipotezee namwona Kaizer kwa umbaliiii anafuatilia.
Point ninayo, hata kama hamuioni. Kwa sababu majhority humu mnaamini there is no life or marriage without infidelity. so ni ngumu kwenu kuamini au kukubali kwamba kuna wasafi. Ni ngumu kama ilivyo ngumu kuamini kwamba ccm kuna waadilifu. Hta wanawake wenyewe humu wana wacheer up kwamba muendelee kuwa wazinzi hata kama mmeoa, so si kosa lenu i really pity you guys.
Carmel pray that you don get surprises....just believe and keep praying!Originally Posted by carmel
........ Mume wangu hana kimada, hajawahi na hili nasema wazi, na hata yeye anapitia humu nina uhakika anasoma. baba yangu tangu nikue hadi nikawa na akili timamu sijawahi kumhisi na hata kusikia, i guess i am lack that way.............
carmel mie namba moja sijaidhinisha uzinzi nachukia usaliti si katika ndoa tu bali katika mahusiano yoyote kuanzia B/F G/F mpaka kufikia ndoa ..lakini mambo haya ya usaliti ni mengi sana ni mungu mwenyewe anajua na atusaidie na kutupa mioyo ya hekima katika hili jambo
Point ninayo, hata kama hamuioni. Kwa sababu majhority humu mnaamini there is no life or marriage without infidelity. so ni ngumu kwenu kuamini au kukubali kwamba kuna wasafi. Ni ngumu kama ilivyo ngumu kuamini kwamba ccm kuna waadilifu. Hta wanawake wenyewe humu wana wacheer up kwamba muendelee kuwa wazinzi hata kama mmeoa, so si kosa lenu i really pity you guys.
Point ninayo, hata kama hamuioni. Kwa sababu majhority humu mnaamini there is no life or marriage without infidelity. so ni ngumu kwenu kuamini au kukubali kwamba kuna wasafi. Ni ngumu kama ilivyo ngumu kuamini kwamba ccm kuna waadilifu. Hta wanawake wenyewe humu wana wacheer up kwamba muendelee kuwa wazinzi hata kama mmeoa, so si kosa lenu i really pity you guys.
Hakuna anayebisha muzee ila alichoandika hapa, ndicho nachombishia mpaka kukuche.lakini mambo ya kutoka nje au kuingia ndani ya ndoa INATEGEMEA NTU NA NTU!
naamini kwamba mkuu kemo ANA POINT
Mume wangu hana kimada, hajawahi na hili nasema wazi, na hata yeye anapitia humu nina uhakika anasoma. baba yangu tangu nikue hadi nikawa na akili timamu sijawahi kumhisi na hata kusikia,
carmel............
hata nikibaki peke yangu, ntaendelea kuamini kwamba its possible to be faithfully, if you play your part its possible. sasa watu wameshazoea kuzini hadi hawaamini kama haiwezekani kutozini. watu kama hawa ni ngumu kukuelewa hata uimbe haleluya kuu.Carmel ninaungana nawe kuwa watu wamezoea kuogelea katika dimbwi la tope basi wanaona haina haja kwao kuwa wasafi siku moja! Ni mtazamo hatarishi kwa kuwa ndio huo tutakorithisha wanetu tusiposimama kukemea! Usichoke; Kemea uovu popote pale! it is your responsibility.
NB nimetuma ujumbe kwako hukuupata?
sasa hutaki xpin? kama hutaki basi, kwani kuna mtu anakulazimisha kuamini? YES, HANA.