Ed Kawiche
JF-Expert Member
- May 28, 2020
- 2,987
- 5,566
mfanyakazi halipwi tu mshahara... kuna rank za mishahara kutokana na kazi yenyewe. sivyo km mnavyojiamulia... wabongo tunaumizana sana!Ukweli ni kwamba hakuna boss ata risk kuchukua fresh graduate Bongo amlipe kiasi hiki. Waajiri ndio wanajua gharama na hasara za hii kitu. Kama hujawahi kuwa mwajiri hutaelewa.
Huyu jamaa lazima aliongeza thamani sana kwenye biashara. Vinginevyo asingeongezwa zaidi ya kupumzishwa baada ya probation
Well ni kweli kuna wengi wanawavuna staff wao, lakini pia kuna shida kwa staff wenyewe (sio wote). Katika sekta binafsi inatakiwa kuwa awarded kulingana na contribution yako kwenye mafanikio ya kampuni. Mfano unaweza kuta kuna watu 10 na wanapokea salary tofauti. Kwa sababu kila ukivuka KPI fulani inakupa increment kwenye salary.mfanyakazi halipwi tu mshahara... kuna rank za mishahara kutokana na kazi yenyewe. sivyo km mnavyojiamulia... wabongo tunaumizana sana!
[emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23]Tukwambie ukweli au tukuache [emoji1787][emoji1787]
Sasa hilo jina ambao hawajaenda school watalielewa au mpaka uwafafanulieMkuu jiite tu "Security Officer"
Kama hata umeshafanikiwa kupa hata ofer moja wewe chukua tuuu.nakwambia ukweli baada ya mwaka mmoja wale uliowaacha nyuma yako nao wangraduate na GPA kubwa zaidi yako na wewe unakuwa obselete.Mie ni muhitimu wa Degree ya Kwanza ya Banking na Finance mwaka huu wa 2020 na nimepata GPA kubwa. Kinachonishtua ni ofa zinazo patikana ni mishahara kiduchu mno!
Kiukweli, over my dead body, sipo tayari kwa ajira ambayo take home yake ni chini ya milioni moja.
Hope zinapatikana bila shaka.
"kuna shida kwa staff wenyewe!" kivipi mkuu?Well ni kweli kuna wengi wanawavuna staff wao, lakini pia kuna shida kwa staff wenyewe (sio wote). Katika sekta binafsi inatakiwa kuwa awarded kulingana na contribution yako kwenye mafanikio ya kampuni. Mfano unaweza kuta kuna watu 10 na wanapokea salary tofauti. Kwa sababu kila ukivuka KPI fulani inakupa increment kwenye salary.
Of course ukifikia ceiling ya rank yako na kampuni ikaona utafaa kwenye next rank wanakupa promotion.
Ila staff wengi wanapenda wafanye private kama Government ambako contribution sio primary factor. Vyeti na muda ulioishi hapo kazini ndio determinant.
Kuna staff wanataka wawe awarded lakini contributions zao ni karibu nil. Ingawa pia ni kweli waajiri wengi pia wan shida ya kuvuna staff wao. Ni two way traffic."kuna shida kwa staff wenyewe!" kivipi mkuu?
umeiona hii👇🏿
Kwenye attachment hakuna mchanganuo so ni vigumu kusema chochote"kuna shida kwa staff wenyewe!" kivipi mkuu?
umeiona hii👇🏿
best yangu kindakindaki ana masters anauza duka kariakoo (duka La Mtu)Kweli anatafuta kiki kwa degree yake hiyo watu wanaomba kuuuza min supermarket na hawalipwi mshahara wanapewa posho laki 3 kwa mwezi
After knowing how harder life fucks...You will reset your priorities.
All the best.