Well ni kweli kuna wengi wanawavuna staff wao, lakini pia kuna shida kwa staff wenyewe (sio wote). Katika sekta binafsi inatakiwa kuwa awarded kulingana na contribution yako kwenye mafanikio ya kampuni. Mfano unaweza kuta kuna watu 10 na wanapokea salary tofauti. Kwa sababu kila ukivuka KPI fulani inakupa increment kwenye salary.
Of course ukifikia ceiling ya rank yako na kampuni ikaona utafaa kwenye next rank wanakupa promotion.
Ila staff wengi wanapenda wafanye private kama Government ambako contribution sio primary factor. Vyeti na muda ulioishi hapo kazini ndio determinant.