Sir Isaac Newton alivyoichambua BIBLIA

Newton anaandika kitabu cha kiswahili? Hicho kitabu weka hapa jina Lake, ukurasa tuangalie
Unataka kukimbia ,leta kitabu chake alichosema Muhammad ni mtume wa Mungu

Mimi nakupa hapa akimtambua Yesu hivi 👇👇

katika makala yake "Twelve Articles on God and Christ". Katika kifungu cha 12, aliandika:

"Kwa sisi kuna Mungu mmoja, Baba, ambaye vitu vyote vinatoka kwake na sisi ni wake, na Bwana mmoja Yesu Kristo ambaye kwa yeye vitu vyote vipo na sisi kwa yeye."



Newton alisisitiza kwamba tunapaswa kumwabudu Baba pekee kama Mungu Mwenyezi, na kumtambua Yesu Kristo kama Bwana na Masiya. Hii inaonyesha mtazamo wake kwamba Yesu ni Mwana wa Mungu, lakini si sawa na Mungu Mwenyewe.


LETA KAMA HIVI
 
Hakuna sehemu kamuongelea Muhammad

Taja kitabu gani na UK no ngapi
We pimbi jifunze kuclick link na kusoma, Wikipedia umepewa na Stackexchange umepewa vitabu vyote vimo vinaonesha hujui kuangalia citation? Kukutafunia

YESU na Newton
John Rogers, "Newton's Arian Epistemology and the Cosmogony of Paradise Lost", ELH, Vol. 86, No. 1, Spring 2019, pp. 77-106:

Thomas C. Pfizenmaier, "Was Isaac Newton an Arian?", Journal of the History of Ideas, Vol. 58, No. 1, January 1997, pp. 57-80:

Newton na Muhammad
J. Edleston, Correspondence of Sir Isaac Newton and Professor Cotes, London: John W. Parker, 1850


Ambacho kitabu unaweza kusoma hapa Google books kwa kiswedish Correspondence of Sir Isaac Newton and Professor Cotes Including Letters of Other Eminents Men, Now First Published from the Originals in the Library of Trinity College, Cambridge by J. Edleston so


Newton habe geglaubt, dass Mahomed von Gott gesandt worden sey, um die Araber von der Finsternis zurück, und zum Glauben an einen Gott zu führen u.s.w. [...] die im Koran und Mahomeds Leben vorkommenden Fabel und Wunder habe dieser aufgeklärte Mann nicht geglaubt.


Ukitafsiri kingereza inakuja hapa

that Newton had believed that Muhammad had been sent by God to lead the Arabs back from darkness towards belief in one god etc. [...] the fables and miracles occurring in the Quran and Muhammad's life this enlightened man had not believed."
 
Nimekupa ushahidi wangu Lete na wewe wapi Newton kasema Yesu ni Mtoto wa Mungu.
Kitabu chake kinaitwa "Theological Manuscripts", kilichochapishwa baada ya kifo chake. Newton aliandika:

"Jesus Christ is the Son of God, but not God himself, and that the Father alone is truly God. This is the foundation of my understanding of the Christian faith."


Hii inathibitisha kuwa Newton alimtambua Yesu kama Mwana wa Mungu,


HAYA LETA WAPI ALIMTAMBUA TAPELI NA NABII WA UONGO MUHAMMAD
 
Hujaweka chochote hebu usijipe sifa ambazo huna, weka na wewe source za vitabu humu otherwise uache uongo.
 
Unaleta maandiko yaliyoandikwa na waislamu kumsingizia ?

Leta vitabu vyake kama nilivyokupa Mimi ,sawa
 
USILETE porojo kijana

"Correspondence of Sir Isaac Newton and Professor Cotes" kilichapishwa na John W. Parker mwaka 1850, ni mkusanyiko wa barua zilizozungumzia masuala ya kisayansi na kidini na si kitabu kilichoandikwa na Newton mwenyewe, bali ni tafsiri na uchapishaji wa mawasiliano yake
 
Hujaweka chochote hebu usijipe sifa ambazo huna, weka na wewe source za vitabu humu otherwise uache uongo.
😂😂😂Unabishana na ukweli ?

Mm naweka na nukuu kabisa ,siababaishi, nakupa kitabu hiki chake kinaitwa

"Theological Manuscripts" (Maandishi ya Kidini)


Katika maandiko haya, Newton alisema:

"Jesus Christ is the Son of God, but not God himself, and that the Father alone is truly God. This is the foundation of my understanding of the Christian faith."
(Yesu Kristo ni Mwana wa Mungu, lakini si Mungu mwenyewe, na Baba peke yake ndiye Mungu wa kweli. Huu ni msingi wa kuelewa kwangu imani ya Kikristo
to.)
 
Katika moja na mbili za wamatumbi wakishashiba ugali , kushushia na mabishano ya hapa na pale ili giza liingie wakabwage mbavu .
 
Safi sana
na hayo yote yalikwisha kutokea
 
Katika "Correspondence of Sir Isaac Newton and Professor Cotes", hakuna mazungumzo au rejea maalum za moja kwa moja kuhusu Muhammad. Hata hivyo, kutoka kwa maandiko na tafsiri za Newton, ni wazi kwamba alijikita zaidi katika masuala ya Kikristo na alikataa mafundisho ya Utatu. Newton alijaribu kuelewa Biblia na mafundisho ya Kikristo kupitia mitazamo yake ya kisayansi na alikataa baadhi ya mafundisho ya Kanisa Katoliki.

UKINIPA REJEA YOYOTE KUHUSU MUHAMMAD KUTOKA KWENYE VITABU VYA NEWTON

NARUDI KUWA MUISLAMU NA NITAENDA MAKA KUBUSU JIWE JEUSI
 
Turudi hapa Umeweka kipande kidogo tu huja elezea maelezo marefu ya Newton, Umeweka kipande kidogo halafu uka tumia Tafsiri yako mwenyewe na ku ignore alichozungumza Newton mwenyewe?

Kuna point 12 ambazo Newton mwenyewe ameelezea Mahusiano baina ya Father and son kama ifuatavyo

  1. The word God is nowhere in the scriptures used to signify more than one of the three persons at once.
  2. The word God put absolutely without restriction to the Son or Holy Ghost doth always signify the Father from one end of the scriptures to the other.
  3. Whenever it is said in the scriptures that there is but one God, it is meant the Father.
  4. When, after some heretics had taken Christ for a mere man and others for the supreme God, St John in his Gospel endeavoured to state his nature so that men might have from thence a right apprehension of him and avoid those heresies and to that end calls him the word or logos: we must suppose that he intended that term in the sense that it was taken in the world before he used it when in like manner applied to an intelligent being. For if the Apostles had not used words as they found them how could they expect to have been rightly understood. Now the term logos before St John wrote, was generally used in the sense of the Platonists, when applied to an intelligent being and the Arians understood it in the same sense, and therefore theirs is the true sense of St John.
  5. The Son in several places confesseth his dependence on the will of the Father.
  6. The Son confesseth the Father greater, then calls him his God etc.
  7. The Son acknowledgeth the original prescience of all future things to be in the Father only.
  8. There is nowhere mention of a human soul in our Saviour besides the word, by the meditation of which the word should be incarnate. But the word itself was made flesh and took upon him the form of a servant.
  9. It was the son of God which He sent into the world and not a human soul that suffered for us. If there had been such a human soul in our Saviour, it would have been a thing of too great consequence to have been wholly omitted by the Apostles.
  10. It is a proper epithet of the Father to be called almighty. For by God almighty we always understand the Father. Yet this is not to limit the power of the Son. For he doth whatsoever he seeth the Father do; but to acknowledge that all power is originally in the Father and that the Son hath power in him but what he derives from the Father, for he professes that of himself he can do nothing.
  11. The Son in all things submits his will to the will of the Father, which could be unreasonable if he were equal to the Father.
  12. The union between him and the Father he interprets to be like that of the saints with one another. That is in agreement of will and counsel.
Sasa kama Newton hii ndio Tafsiri yake ya Son, ukisoma no 10 hapo God ni Almighty, Nguvu yote inatoka kwa Father na bila Father son is nothing, hii ni doctrine sawa na waisilamu kwamba Mitume wana nguvu ila nguvu zote zinatoka kwa Mungu na bila Mungu hawawezi fanya chochote.
 
Wamemsingizia kina nani? Maprofessor wakubwa waliohifadhi kazi zake utawafananisha na wewe kajamba nani?
Vitabu vya Newton vinajulikana ,hakuna alipowahi kumzungumzia tapeli na nabii wa uongo Muhammad

Katika "Correspondence of Sir Isaac Newton and Professor Cotes", hakuna mazungumzo au rejea maalum za moja kwa moja kuhusu Muhammad. Hata hivyo, kutoka kwa maandiko na tafsiri za Newton, ni wazi kwamba alijikita zaidi katika masuala ya Kikristo na alikataa mafundisho ya Utatu. Newton alijaribu kuelewa Biblia na mafundisho ya Kikristo kupitia mitazamo yake ya kisayansi na alikataa baadhi ya mafundisho ya Kanisa Katoliki.
 
Kwahiyo proffesor cotes kwako ndio professor na hao wengine sio Maprofessor?
 
Hayo Yote ni sawa na yaliyoandikwa kwenye Waebrania Sura ya kwanza yote

Usikimbie ,Kwanza Newton anamtambua Yesu kama mwana wa Mungu tofauti na tapeli Muhammad


Pili USIHAME MADA YAKO ULIYOILETA HAPA


LETA USHAHIDI WAPI NEWTON ALIMZUNGUMZIA TAPELI MUDY KUWA NI NABII WA MUNGU
 
Kwahiyo proffesor cotes kwako ndio professor na hao wengine sio Maprofessor?
Mimi nimeweka vitabu vyake na nukuu zake

Hata hicho kitabu cha professor Cotes ,hakuna humo sehemu Newton alimkubali mudy kama ipo sema ni ukurasa wa ngapi

Mbona simple tu
 
Usikimbie kimbie


Leta Nukuu hapa wapi Newton ALIMTAMBUA TAPELI MUDY KUWA nabii

Mimi Ninazo nyingi sana akimtambua Yesu kama mwana wa Mungu
 
Ushahidi Gani mwengine nikupe na nishakupa hadi kitabu? Wewe ndio tupe proof hicho kitabu ni cha uongo,

Pia usikimbie mada nimekua point 12 Za Newton zote anakataa Divinity ya Yesu, juu huko ulikua unaporomosha mineno kibao hapa naona unanijibu tu kifupi.

Naomba either zipinge hizo point za Newton.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…