Tatizo unashindwa kuelewa kwa sababu hujui kama Yesu amesharudi, yaani hujui kuwa upo katika Ufalme wa Mungu.
Vitu vingine vyote kwenye kitabu cha Daniel unaona vinakubali, ila unashindwa kuelewa kwenye habari ya siku za Mwisho na kurudi Yesu.
Siku za Mwwisho zilishapita tupo katika Ufalme wa Mungu
Luka 17:20-21 TKU
[20] Baadhi ya Mafarisayo walimuuliza Yesu, “Ufalme wa Mungu utakuja lini?” Yesu akajibu, “Kuja kwa ufalme wa Mungu si kitu unachoweza kuona. [21] Watu hawatasema, ‘Tazama ufalme wa Mungu uko hapa’ au ‘Ule pale!’ Hapana, Ufalme wa Mungu upo hapa pamoja nanyi.”