Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 1,012
- 2,317
yesu kweli ni mungu sijaona giza au uongo au chochote kibaya kwenye habari zake hata jina lake linaokoa na kuponya vipi jina la Allah linaweza kuponya na kuokoa ?Leta andiko linalo sema "Mimi ni mungu" awe amesema yesu mwenyewe
Sasa inakuwaje mungu akasulubiwa msalabani na viumbe alie waumba mwenyeweyesu kweli ni mungu sijaona giza au uongo au chochote kibaya kwenye habari zake hata jina lake linaokoa na kuponya vipi jina la Allah linaweza kuponya na kuokoa ?
unaamini kuna jambo linalo mshinda mungu kufanya ?Sasa inakuwaje mungu akasulubiwa msalabani na viumbe alie waumba mwenyewe
Si aminiunaamini kuna jambo linalo mshinda mungu kufanya ?
mungu anazonguvu nyingi sana anaweza kufanya chochote na yeye sio nafsi moja kama sisi, yeye anazo nafsi tatu lakini sisi binadamu ndio tuna nafsi moja moja alafu sisi ni tumeundwa na atoms ambazo ni udongo yeye mungu sio udongo na kwasababu anazo nguvu nyingi sana naamini anaweza kuziongeza nafsi zake hata zikiwa mamia kwa mamia yeye ni alfa na omega mwanzo na mwisho.Sasa inakuwaje mungu akasulubiwa msalabani na viumbe alie waumba mwenyewe
Yohana 8:58Leta andiko linalo sema "Mimi ni mungu" awe amesema yesu mwenyewe
sasa biblia naiwekaje hapa mkuu biblia sio kotabu kimoja ni mjumuiko wa vitabu vingi sanaIlete ili tujue hii imechakachuliwa wapi, ilete hapa naingoja
sifa ya mungu ni anaokoa mwenye nguvu hata jina lake linangunvu ukilitamka je Allah na Muhammad wanaokoa na kuponya kwa majina yao ?Yohana 8:58
"Yesu akawaambia, Amin, amin, nawaambia, kabla Abraham hajakuwapo, Mimi niko."
Kauli "Mimi niko" (Ego eimi kwa Kigiriki) inarejelea jina la Mungu alilojifunua kwa Musa katika Kutoka 3:14: "Mimi niko ambaye niko." Wayahudi walielewa kuwa Yesu anadai kuwa Mungu na wakataka kumpiga mawe (Yohana 8:59).
HAYA SWALI JINGINE
Haya hata mtandaoni zipo, taja hapa biblia original ni inapatikana wapi ,ili tujue hii iliyochakachuliwa ni wapi na vipengere gani vimebadilishwasasa biblia naiwekaje hapa mkuu biblia sio kotabu kimoja ni mjumuiko wa vitabu vingi sana
unafurahisha lakini pia unahuzunisha wewe ndio unasema unajua biblia na unabii je hakuna sehemu kwenye unabii inapozungumzia kubadilishwa kwa biblia ?Haya hata mtandaoni zipo, taja hapa biblia original ni inapatikana wapi ,ili tujue hii iliyochakachuliwa ni wapi na vipengere gani vimebadilishwa
ili tuache porojo
Maana huwez kusema hii pesa ni bandia bila kuwa na original
Imenibidi kucheka tu japo dini zote ni utapeli.Muhammad ni nabii wa uongo
Mafundisho yake yanapingana na manabii wengine waliotoka Yerusalemu,Hadi kwa Yesu,
Muhammad ni nabii wa Uarabuni,ni sawa na mwamposa nabii kutoka Uyole
Ni heri kuamini kuwa kuna mungu kuliko kutoamini kabisa kwani unaweza kuamini alafu ukamkuta baadae lakini itakuwa ni hasara usipo amini alafu ukamkuta hivyo mtu asiye muamini mungu hana maana.Imenibidi kucheka tu japo dini zote ni utapeli.
kwenye siku zile ambazo yesu atarudi ambapo siku hizo hazijafika bado
Tatizo unashindwa kuelewa kwa sababu hujui kama Yesu amesharudi, yaani hujui kuwa upo katika Ufalme wa Mungu.mgawanyo wa ufalme wa Alexandra (Greece) ambao ni ufalme ushapita kitambo alafu hapo hapo tunakuja kuona unabii huo unazungumzia kurudi kwa yesu yani siku ambazo hazijafika kwahiyo nimeshindwa kuzipangilia vizuri kwamba utawsla ulikuwa vipi kati ya kaskazini na kusini.
kwa hakika biblia imechakachuliwa na ile ya zamani isiyo chakachuliwa watu walio bahatika kuwa nayo pia hawaielewi.Tatizo unashindwa kuelewa kwa sababu hujui kama Yesu amesharudi, yaani hujui kuwa upo katika Ufalme wa Mungu.
Vitu vingine vyote kwenye kitabu cha Daniel unaona vinakubali, ila unashindwa kuelewa kwenye habari ya siku za Mwisho na kurudi Yesu.
Siku za Mwwisho zilishapita tupo katika Ufalme wa Mungu
Luka 17:20-21 TKU
[20] Baadhi ya Mafarisayo walimuuliza Yesu, “Ufalme wa Mungu utakuja lini?” Yesu akajibu, “Kuja kwa ufalme wa Mungu si kitu unachoweza kuona. [21] Watu hawatasema, ‘Tazama ufalme wa Mungu uko hapa’ au ‘Ule pale!’ Hapana, Ufalme wa Mungu upo hapa pamoja nanyi.”
Allah sio tu kuwa na nafsi zaidi ya moja hajazaa wala kuzaliwa na hafanani na kitu chochote katika ulimwengu huu.kama mungu wako hana nafsi zaidi ya moja ni wazi huyo hana tofauti na mwanadamu, sisi ndio tuna nafsi moja lakini mungu nina nafsi tatu