Sir Samwel: Naingiza kuanzia 5 - 50 Milion kupitia Forex

Mstahiki Mea

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2018
Posts
6,559
Reaction score
12,518
Akiongea na East Africa huyu kijana anayeitwa Sir Samwel anasema anaingiza hadi Milioni 50 kutokana na Forex

Hahahaha!! Ngoja kwanza nicheke walikuwepo watu bhana!! Sio ww.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Hawa matajiri wa forex ni lazima wajiite Sir, kuna yule ontario Sir Jeff. Ndo utaratibu ama?
Wanajiita hivyo wengi wao kwasababu ya kufuata njia za marole model wao, na wengi wa wajuzi wa hizi Trading(forex& crypto) hutumia British unique names za kiheshima mfano ndio kama huo "SIR'' na baadhi ya maneno mengine, hili neno huwezi kumuita mtu yeyote, bali mtu mwenye heshima.
 
Matajiri wa kweli huwa hawatoi siri za utajiri wao.... jichanganye ukamsidie kufikisha mil 100 kwa mwezi 😂 😂 😂
Nani kakwambia matajiri huwa hawatoi siri? Mnaishi karne ya giza mpaka leo kuaminishana utajiri ni siri,

Si kila utajiri ni siri, mfano ukiulizwa utajiri wa Mo& bakhresa una siri ipi tofauti na kujituma, risk investment, ubunifu na maandalizi ya urithi bora kwa vizazi vyao hapo kunahitaji siri?

Acheni mawazo ya kizamani, kabla hamjafikilia upumbavu muwe basi mnagoogle muone mambo yako vipi.

Kuna wajinga mpaka leo ni wasomi na vyuoni wamekwenda lakini masikin hawa hawajui hata ile meaning ya Forex trading wala Cryptocurrency ni vitu gani sasa huko vyuoni mlikuwa mnajifunza nini? Kama hamuwezi hata kujua fursa za kidigitali ziko vipi na mnatumia vifaa vya kidigital mlikwenda shule kupoteza muda?.

Wenzetu wa kenya wametuacha mbali sana, hata watoto wadogo wa high school wana uelewa wa hizi digital assets& Foreign exchange , sisi na hizi TAKATAKA zetu mavyuoni zinachojua ni SIMBA+YANGA na umalaya.
 
Watanzania hadi leo wanaamini mafanikio ni kuvuja jasho na kutumia manguvu wakati mambo yameshabadirika, kwa sasa fursa nyingi ziko kidigitali, kuanzia biashara ambayo ni pana

kidigitali biashara ina fursa mamia kwa mamia, sisi watanzania tunachojua biashara ni kuposti vinguo vya mitumba na kuwafowardia wateja vipicha, kumbe si hivyo pekee kuna mamia ya fursa za biashara kidigitali.

Amkeni jamani technolojia inapopita hakikisha inakuachia faida, sio huu ujinga wa watu kupoteza mabando yao ktk umbea, ujinga wa simba+yanga, badala yake watu wajifunze skills mpya.

Vijana wengi kwa sasa wanaendesha maisha yao kupitia hizo trading ambazo kwa Tanzania bado ni jambo geni ilihali hili ni suala la kitambo sana, yaania Mpaka leo kuna wajinga hawajui forex ni nini wala Cryptocurrency ni kitu gani, wanachojua wao ni utapeli, sababu ya wao kukataa maarifa kumbe mngelijua pesa wanayoingiza hao vijana walioamka kiakili nadhani hata muajiriwa wa serikali hawezi kuipata maisha yake yote labda aibe au auze figo.
 
Zitaje hapa
 
Nani kakwambia matajiri huwa hawatoi siri? Mnaishi karne ya giza mpaka leo kuaminishana utajiri ni siri,

Si kila utajiri ni siri, mfano ukiulizwa utajiri wa Mo& bakhresa una siri ipi tofauti na kujituma, risk investment, ubunifu na maandalizi ya urithi bora kwa vizazi vyao hapo kunahitaji siri?

Acheni mawazo ya kizamani, kabla hamjafikilia upumbavu muwe basi mnagoogle muone mambo yako vipi.

Kuna wajinga mpaka leo ni wasomi na vyuoni wamekwenda lakini masikin hawa hawajui hata ile meaning ya Forex trading wala Cryptocurrency ni vitu gani sasa huko vyuoni mlikuwa mnajifunza nini? Kama hamuwezi hata kujua fursa za kidigitali ziko vipi na mnatumia vifaa vya kidigital mlikwenda shule kupoteza muda?.

Wenzetu wa kenya wametuacha mbali sana, hata watoto wadogo wa high school wana uelewa wa hizi digital assets& Foreign exchange , sisi na hizi TAKATAKA zetu mavyuoni zinachojua ni SIMBA+YANGA na umalaya.
Kwani mkuu mbona kama unawalazimisha watu watake kujua margins,leverage,SL,TP,Candlestics,discipline n.k
Mini nikusisitize tu hata kama unajua TULIA kila mtu ananjia yake ya mafanikio na sio hii betting kama wasemavyo vilaza wa ubongo.TULIA.
 
Inashangaza sana mtu anafanya jambo linalompa mamilioni ya pesa kiwepesi wepesi tu lakini mtu huyo anatafuta watu kwa matangazo ili awafundishe kuvuna hayo mamilioni ya pesa......

Anyway mjini mipango!!
images (74).jpeg
 
View attachment 3459531
usisahau Mo mwenye mabilioni yake anakesha kutengeneza thamani ya biskuti utakayo mnunulia mtoto wako.
 
Back
Top Bottom