Sir Samwel: Naingiza kuanzia 5 - 50 Milion kupitia Forex

Sir Samwel: Naingiza kuanzia 5 - 50 Milion kupitia Forex

usisahau Mo mwenye mabilioni yake anakesha kutengeneza thamani ya biskuti utakayo mnunulia mtoto wako.
Lakini hatutangazii twende kwenye darassa la kutengeneza hizo biskuti ili tuvune mamilioni kama yeye....
20250201_210702.jpg
 
Lakini hatutangazii twende kwenye darassa la kutengeneza hizo biskuti ili tuvune mamilioni kama yeye....View attachment 3459543
Kwani umelazimishwa kwenda kwenye FOREX imagine mimi na mtoa uzi hatujuani ni vipi anaweza kunufaika ni mimi au mimi ninawezaje kunufaika na yeye.Tulia mkuu sio lazma uwe trader wa FOREX lakini usiseme "ukisikia fursa ujue wewe ndio fursa".Acha kuwa na hakili za mgando .
 
Sawa Mzee wa fursa....nimetulia.....
20250830_120708.jpg
 
Akiongea na East Africa huyu kijana anayeitwa Sir Samwel anasema anaingiza hadi Milioni 50 kutokana na Forex

Hizi huwa ni porojo tu, wanaoingiza pesa huwa hawasimulii chochote, ni kimya kimya tu, kuna vijana, mererani, kahama kwenye migodi kidogo, miduara, wanapiga pesa, wanaishi kibilionea, utawaona na ndinga zao za bei mbaya,
Hutawaona hata siku moja wakiwa insta waakijitapa, na maelezo meeeengiii! Pesa itasema yenyewe,
Sasa hawa madogo, badala ya kuonyesha ma apartment, majumba, kiwanda ulichojenga kwa pesa ya forex,ni maneno tu kama mzalamo yupo ngomani!
Stupid kabis
 
Wenhi wao ni maupcoming trader mbona kunawatu wanapiga sana kupitia hii biashara na hawasemi.
 
Nani kakwambia matajiri huwa hawatoi siri? Mnaishi karne ya giza mpaka leo kuaminishana utajiri ni siri,

Si kila utajiri ni siri, mfano ukiulizwa utajiri wa Mo& bakhresa una siri ipi tofauti na kujituma, risk investment, ubunifu na maandalizi ya urithi bora kwa vizazi vyao hapo kunahitaji siri?

Acheni mawazo ya kizamani, kabla hamjafikilia upumbavu muwe basi mnagoogle muone mambo yako vipi.

Kuna wajinga mpaka leo ni wasomi na vyuoni wamekwenda lakini masikin hawa hawajui hata ile meaning ya Forex trading wala Cryptocurrency ni vitu gani sasa huko vyuoni mlikuwa mnajifunza nini? Kama hamuwezi hata kujua fursa za kidigitali ziko vipi na mnatumia vifaa vya kidigital mlikwenda shule kupoteza muda?.

Wenzetu wa kenya wametuacha mbali sana, hata watoto wadogo wa high school wana uelewa wa hizi digital assets& Foreign exchange , sisi na hizi TAKATAKA zetu mavyuoni zinachojua ni SIMBA+YANGA na umalaya.

Kama unaamini unazijua siri za mafanikio ya Mo na Bakhresa kwamba ni kujituma na ubunifu, basi you are either naive au unajua lakini unafanya kusudi.

Unadhani ubunifu na kujituma wanaweza wao tu. Unadhani Dada wa Nyama Choma hakuwa na bidii na ubunifu? Ukiona biashara zimesimama, ujue kuna mambo mengi sana huko chini ya maji, hayo maneno wanayosema huko juu ni kuwapa moyo tu.

Ubunifu, Kujituma na taking risk ni vitu muhimu, ila unaweza ukawa navyo na vyote na usitoboe.

Anyways, Cyrpto technology haina shida, tatizo ni watu wamegeuza kuwa ponzi schemes, na wanawaliza watu kila siku. Hizi mbwembwe zote, kazi yake ni kutengeneza mazingira ya kuliza watu. Kuna jamaa kakimbilia Dubai mwaka jana, aliwapiga watu almost 2mil USD. "Crypto" yake kiingilio ilikuwa 15,000usd; wenye tamaa wakajaa
 
Acheni uvivu jifunzeni forex ni biashara halali kabisa ni kama mtu mwenye duka la kubadikisha fedha za kigeni tu tofauti moja anafanya online mwingine kafungua ofisi (duka) kufananisha forest na ma pryamid scheme kama upatu, mistakuku, G9 ni upumbavu na ujinga
 
Ila forex mmh utata nilijifunza trend ya zile candle kwenye demo acc aisee kwenye realy acc ni tofauti kabisa trend inavyotokea.. 😀 😀
 
Ila forex mmh utata nilijifunza trend ya zile candle kwenye demo acc aisee kwenye realy acc ni tofauti kabisa trend inavyotokea.. 😀 😀
🤣🤣🤣🤣🤣Ni setting tu nami naendelea kujifunza man alone sitafuti mtu Wala winga ntaimaster tu one day
 
Hakuna

Awapi nendeni mkanunue notes mpigwe na kitu kizito
So lazima notes jifunze mwenyewe source mbona ziko nyingi kwani lazima utoe hela ufundishwe ndo hapo mnapokuaga na mitazamo hasi na kudhani forex ni upatu
 
So lazima notes jifunze mwenyewe source mbona ziko nyingi kwani lazima utoe hela ufundishwe ndo hapo mnapokuaga na mitazamo hasi na kudhani forex ni upatu
Ni wizi tu mabot yenu
 
Back
Top Bottom