Siri ambayo wanaume wengi hawaijui kuhusu wanawake

Baada ya kuoa kuna mambo niliamua kuyafanya makusudi ili nipime muelekeo wa mke wangu, nilichakata sana nje ila nilikuwa nahakikisha napata pisi kali sana, pia nilichelewa sana kurudi home.

Mwanzo alipata shida sana kunielewa maana hakuamini niliyokuwa nayafanya, kikweli aliumia sana lakini nilishikilia hapo hapo, taratibu alianza kuelewa kuwa wanaume hawezi kuwaacha kuwa na mchepuko alisema naomba usinionyeshe wewe fanya huko huko...nikajua hapa tayari nimesha muwin.
 
Tukidabwa tukachomwa visu,kupigwa koreo la mdomo au kuchomwa moto unafikiri jamaa atakuwepo kututetea..?

Mkuu swala la sisi wanaume kuwa na mwanamke mwengine linategemea sana na utashi wa mtu na pia ndio zoezi linalotakiwa umakini mkubwa!.. zipo familia zinakosa amani kisa mzee kapata mwanamke mwengine,zinaanza Vita za kurogana kukwaruzana n.k

Hii pia huwaathiri watoto katika makuzi yao!. We sheherekea tu kuwa na mwanamke mwengine ila jua hata wewe unakuwa hatarini tena hususani sikuhizi wanawake wengi wapili wanakuja baada ya kukuta umeshatengemaa kiuchumi,Sasa nae huko alipotoka kashapigwa na vitu kwenye moyo wake anachowaza ni mali!.

Kama utafanya hili zoezi hakikisha unakuwa na akili timamu sio uchague kuwa na mwanamke wa pili kisa unauchumi mzuri tu ndugu utaliwa kichwa!

Kuna muhindi huko anahangaika kumtoa binti wa kibongo kwenye moyo wake keshaingia mgogoro na familia yake mpaka mwenyewe kajishitukia anatafuta sangoma amtibie..😂

Moto wa mtu nikichaka mtu wako wa Kwanza atakapojua kuwa unamtu mwengine sijui unapataje hata usingizi wa kulalanae kitanda kimoja na akakupikia na ukafeel good tu!,ukisokomezwa jisu la bichwa je..😂
Mtasema mi muoga.

Better be careful than typing here "yes I support" yes you support but she's going to support you too..😂
 
Wanawake wanajisikia uchungu zaidi wakisikia unatoa pesa nje kuliko wakisikia una-cheat nje.

Kuhusu maumivu nao wanayahisi kwa kiwango cha juu ingawaje maumivu tuyapatayao wanaume ni makali maradufu

Ndio maana ni ngumu Sana mwanamke kunywa sumu kisa mapenzi au kujiua kisa Mapenzi. Lakini Sisi wanaume ndio tunaongoza
 
Kosa ni hapa,unapoanza uhusiano na huyo mwanamke unamuahidi kuwa atakuwa peke yake na hutaoa mwanamke mwingine,ila mbele ya safari unakuja kubadili gear eti unataka kuongeza mwanamke mwingine au unachepuka halafu unasema ni halali,hapa lazima patakuwa na mgogoro kwakuwa umekiuka makubaliano,ni heri tokea pale unapolialia kuwa umempenda umwambie wazi kuwa mimi uhusiano wetu nitaongeza mwanamke huko mbele ya safari au kuna nyakati nitakuwa na wanawake wa pembeni hivyo tusiwe tunaingiliana,hapo hata ikitokea umelianzisha hakutakuwa na shida,kinyume cha hapo lazima uitwe mchepukaji,unacheat na msaliti,huwezi kukwepa hilo...
 
Wanawake wanajisikia uchungu zaidi wakisikia unatoa pesa nje kuliko wakisikia una-cheat nje.

Kuhusu maumivu nao wanayahisi kwa kiwango cha juu ingawaje maumivu tuyapatayao wanaume
Hapo sawa.
Sema kinachowaumiza ni pesa tunayohonga.
 
Kwahiyo ni sahihi tu mwanamke aliyeolewa kutoa mzigo nje ya ndoa kwakuwa naye ni binadamu?
 
Why sasa umeumia dogo kumla dame wako uliekuwa na malengo nae?
Wala sijaumia,Wana JF walinishauri nikauchukua ushauri wao nikaufanyia kazi tumeyamaliza Sasa.
Sina nongwa nao tena
 
Hamna lolote nyie wanawake mnatutisha tu eti ogopa sana akiamua kulipiza, kwani atafanya jambo gani litalokuwa jipya chini ya jua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…