Siri ambayo wanaume wengi hawaijui kuhusu wanawake

Maneno mazur Sana[emoji4][emoji106]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upo sahihi chief. Wanaume tuna matamanio na hayawezi kuisha. Kwa mwaka unaweza kutembea na wanawake 300 ila ukimwona mpya lazima umtamani.
 
Hapa natilia mkazo tu ya kuwa hakuna mwanamke ambaye hauwezi uke wenza wote wanauweza, ila huwa wanajifaragua tu.
 
Andiko lako libandikwe kila sehemu yenye "Postikodi" na vibao vya "USIKOJOE HAPA"!Limekaa kishujaa sana.
 
Mimi niliwahikuwa na mahusiano na wanawake fulani 2 wa chuo fulani ..

Wasichana hao nilikuwa nao kwa kipindi tofauti,
Lakini walikuwa na tabia moja zinazofanana.,
Kunitafutia wanawake niwatafune mbunye
.
--Either ni shoga yake ,

--au kama ana mwanamke mwenzie wamegombana huko chuo,


Basi atakuja atanambiya,
Mwandende "nakupa mtoto mzuri Sana umle mbunye,"

Nikishamla ,, baadae yule girlfriend wangu anakwenda kwa yule shoga yake ,,
Ili ampe story jinsi penzi langu lilivyokuwa taamu..

Yeye anakuwa ndy kishapata faraja.


Kwa Ushuhuda huu,
Ni kweli mwanamke haumizwi na chochote kwa mahusiano mengine ya mwanaume wake.

Sent from my M2101K7BG using JamiiForums mobile app
 
Duuuuhhh
 
Hiyo ni asili ya mwanaume kuwa na mke zaidi ya mmoja. Lakini mwanamke hana asili hiyo.
 
[emoji457][emoji375][emoji375][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…