Siri ambayo wanaume wengi hawaijui kuhusu wanawake

nakubaliana na hii hoja yako mkuu

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Ngoja uje kuwa na binti au mtu wako wa karibu aolewe halafu mume wake amfanyie vitimbi na Umalaya halafu uone kama utafurahi
Jinsi Mwanaume mwenzio kwa vitendo hivyo au ungetamani atulie na mkewe na kujenga maelewano mema.
 
Unazijua risks ziambatanazo na Mwanaume kuchepuka?

Unaweza kuzitaja hapa ?
 
Maumivu ya mapenzi wanayaogopa sana, hawana roho za chuma...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…