Anikajema
JF-Expert Member
- Mar 2, 2014
- 644
- 558
Ndugu yangu ume fail tena Sana tu! Wewe mwenyew unashuhudia na kusoma kuwa Hao jamaa Walioambiwa Roho mt': Atawaelekeza katik kweli na kuwakumbusha yote Aliyoyafundsha Yesu ....sasa injli iliyoandikwa na Mathayo unapoambiwa imevuviwa na Roho Mt: Hua inamaanisha nn kwa akili zako.?Wakristo wana vitu vingi hawavijui...mfano suala la roho mtakatifu nashangaa hapo watu wakihojiwa wanasema isome bible kwa uwez wa roho mtakatifu inamaana bible inatakiwa isomwe na walio amin tu sasa nini maana ya neno la Mungu na huyo roho mtakatifu ni nani anafanyaje kazi?....Yesu alisema kwemye yohana 12-14 nina mengi ya kuwa eleza ila hamuwezi kunielewa sasa ila yeye roho mtakatifu atakapo kuja atawaelekeza kwenye kweki yote na atanitukuza mimi..!
Ila ukiwauliza wakristo yesu alisema ana mengi ya kusema ila hamuwez kumuelewa ila huyo atakae kuja ambae wakristo wote wamekubaliana ni roho mtakatifu kuwa atakuja kuwalekeza mengi ambayo hakuyasema yesu...muulize mkristo yoyote jambo gani jipya kawafundisha roho mtakatifu tangu aondoke yesu miaka 2000 iliyopita... Au huyo roho mtakarifu ndio mnaishi nae kwa hisia bila ushahid kuwa anawaongoza na kuanza kuongea lugha za ajabu na kujiongopea eti una nena kwa lugha..na ukisoma maandiko roho mtakatifu alikuwepo hata kabla ya yesu na alikuwepo na yesu kumsadia kazi zake kama ambavyo alifanya na manabii wengine..ukisoma maandiko roho mtakatifu alikuwepo kwenye tumbo la elizabet mariamu alipomuambia ana ujauzito,na pia yesu alifukuza mapepo kwa uwez wa roho mtakatifu....
Lakin pia kwenye maandiko yesu amasema ni bora kwenu mimi nikiondoka kwa nisipoondoka msaidiz hatokuja ( ambaye wakristo mnasema ni roho mtakatifu) yaana sharti la huyo roho mtakatifu kuja ni yesu kuondoka...lakin ukisoma maandiko kama nilivyo onesha hapo juu roho mtakatifu alikuwepo.!
Hebu niambie kwenu nyie wakristo roho mtakatifu ni nani na anafanyaje kazi...maama mmatuchanganya mkiombwa ufafanuzi mnakimbilia kusema umuombe roho mtakatifu akushukie usome biblia na wakati houo biblia hata Yesu mwenyewe haijui hajawai kuiona wala kuitamka ilikuja miaka 300 baada ya yeye kuondoka dunian ina uhusiano gani roho mrakatifu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama sio kutimiza jukumu lake la kukumbusha alyoyafundsha Yesu?(Au Pale Paulo anapoifafanua injili huwa unaelewa nini kamasio KUWAELEKEZA WATU KWENYE KWEL?? (Jamani mbona mnasikitsha Ivo? Nimewashauri muiache Biblia kma ilivyo hiyo husomwa na watu waliondani ya kristo tu