Siri iliyofichwa kuhusu BIBLIA

Ndugu yangu ume fail tena Sana tu! Wewe mwenyew unashuhudia na kusoma kuwa Hao jamaa Walioambiwa Roho mt': Atawaelekeza katik kweli na kuwakumbusha yote Aliyoyafundsha Yesu ....sasa injli iliyoandikwa na Mathayo unapoambiwa imevuviwa na Roho Mt: Hua inamaanisha nn kwa akili zako.?

Kama sio kutimiza jukumu lake la kukumbusha alyoyafundsha Yesu?(Au Pale Paulo anapoifafanua injili huwa unaelewa nini kamasio KUWAELEKEZA WATU KWENYE KWEL?? (Jamani mbona mnasikitsha Ivo? Nimewashauri muiache Biblia kma ilivyo hiyo husomwa na watu waliondani ya kristo tu
 
Una ushahid gani wa wa hao watu kuteremkiwa na rohi mtakatifu so mtu yoyote akisema kashukiwa na roho mtakatifu kama hawa manabii je tuwaamnin?

Rejea maandiko Yesu anasema nina MENGI YA KUWAELEZA ILA HAMUWEZI KUYAELEWA SASA....mengi maana yake zaid ya moja maaba yakw hayapo katika alichofundisha before na pia akasema atawaongoza kwenye kweli yote ...Yote maana yake zaid kitu kimoja tena hebu tujiulize kwanza huyo roho mtakatifu ni nani kimaumbile na kimamlaka? Pili jambo gani alilotaka kusema yesu ambayo wangeshindwa kumuelewa ambayo roh mtakatifu kawaambia yesu kasema Mengi...ila mi nataka moja tu...maama kusema kuna watu waliteremkiwa na roho mtakatifu ni jambo ambalo halina ushahidi wa kimaandiko wala kimantiki hata wewe unaweza kusema umeshukiwa na roho mtakatifu kwa ushahid upi? Zip dalili?..

Itakuwa rahisi kwenu kutetea hoja yenu kama mtatuambia roho mtakatifu ni mtu au ni malaika ama ni nani naona hili mnalikwepa mnaruka ruka tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahahaha Acha nicheke niendelee kupiga zangu Fegi Msokoto, humu kuna vituko sana asee: ( siku ya Pentecoster Ndio siku rasmi alioshuka Roho Mt: Kulikuza kanisa la kristo kuanzia hapo ndipo kweli ilianza kuhubiriwa.(? Yaani umesoma hapoo hujaona Mstari huuu?
(Yoh 14:17)? Inavomtambulisha kuwa haonekani?? (pia Yesu alipokuwa anawapa tena ahadi ya kuja kwa Roho aliwaambia suburin humu mpewe ule uweza utokao mbinguni( luka 24:49) JE! NGUVU HUONEKANA?

Acheni Kuhoji vitu kwa kuvipinga badala ya kuhoji kwa vijua Na kamwe Biblia huwez kuielewa bila kumpokea Yesu Ili upewe ule uweza utokao juu:

Acha Kuhoji au kusoma vitabu ambavyo vinahitaji kanuni ambazo wewe huwez kuzifuata......
 
Wakati unacheka ukumbuke kujichekesha rohi mtakatufu alikuwepo hata kabla ya yesu soma

luka 1:41
When Elizabeth heard Mary's greeting, the baby leaped in her womb, and Elizabeth was filled with the Holy Spirit.

Pili yesu alifukuza mapepo kwa uwezo wa roho mtakatifu anasema mwenyewe matayo 12:28


But if I cast out devils by the Spirit of God, then the kingdom of God is come unto you.

Na pia aliwatuma wanafunz wake wakasambaze unjili kwa msaada wa roho mtakatifu..!


Sasa.ukisema ameshuka kutoka wapi na wakati alikuwepo kabla na alikuwa kipindi chote au kuja roho mtakatifu mwingine..!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆 kasome Matendo 2:17). Japo najua huna Wew Sio Mkristo na niyayokufundsha hayakuhusu ila kama unaupana wa akili utaelewa huo mstari na utakufungua.
 
Mnachanganya sana na roho mtakatiffu ngojencniwape shule roho mtakatifu ni malaika Gabriel ambaue jukumu lake ni kushusha ufunuo kwa mitume wote yeye ndio link kati ya Mungu na wanadamu na amefanyabkqzi hiyo na mitume wote kuanzia Noah had Muhhamad...baada ya kanisa la roma kuanzisha ukristo(ukweli ambao hampend kuusikia) walipachika iman yao ya Tamuzi ambayo ilikuwa inaamin kwenye utatu hata kama ya kuja Yesu waliamua kuuteka ukristo na kuwauwa wanafunzi wa Yesu walikuwa anapigania dini ya Mungu mmoja ili wayapachike haya na vitu tunavyo viongea sio vya kutunga kanisa katolik had leo wanatumia kalenda ya tamuzi sijui ka.ewahi kujiuliza tamuzi ni nini?

Somen sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Punguza jazba mkuu.. Bado maneno yako ni mepesi sana kwa mtu anayedoubt uwepo wa Mungu..

Huyo Yesu au Mungu wa Ibrahim umashuhuri, ufuasi na kukubalika kwake haujazi hata nusu ya dunia ukilinganisha na ilivyo kwa miungu ya bara la Asia pekee..

Kampeni zaidi inahitajika..
 
"Judaism has as its holy book the Hebraic Bible.This differs from the Old Testament of
the Christians in that the latter have included several books which did not exist in Hebrew.
In practice, this divergence hardly makes any difference to the doctrine. Judaism does not however admit any revelation subsequent to its own.Christianity has taken the Hebraic Bible for itself and added a few supplements to it. It has not however accepted all the published writings destined to make known to men the Mission of Jesus.

The Church has made incisive cuts in the profusion of books relating the life and teachings of Jesus. It has only preserved a limited number of writings in the New Testament, the most important of which are the four Canonic Gospels. Christianity takes no account of any revelation subsequent to Jesus and his Apostles.

It therefore rules out the Qur'an. The Qur'anic Revelation appeared six centuries after Jesus. It resumes numerous data found in the Hebraic Bible and the Gospels since it quotes very frequently from the 'Torah'[1] and the 'Gospels.' The Qur'an directs all Muslims to believe in the Scriptures that precede it (Sura 4, verse 136). It stresses the important position occupied in the Revelation by God's emissaries, such as Noah, Abraham, Moses, the Prophets and Jesus, to whom they allocate a special position. His birth is described in the Qur'an, and likewise in the Gospels, as a supernatural event."
 
Shukrani kwa bandiko lako..!! kkuu hivo vitabu vya jasher na enoch vimetajwa kwenye mistari gani ya biblia, nisaidie andiko mkuu
 
Shukrani kwa bandiko lako..!! kkuu hivo vitabu vya jasher na enoch vimetajwa kwenye mistari gani ya biblia, nisaidie andiko mkuu
Book of jasher kimetajwa mara 3 kwenye biblia na mara mbili agano la kale kama ifuatavyo

Joshua 10:13

Hayo, je! Hayakuandikwa ndani ya kitabu cha Yashari? Basi jua likasimama kimya katikati ya mbingu, wala halikufanya haraka kuchwa kama muda wa siku nzima.

2 samueli 1:18
18 (kama ilivyoandikwa katika kitabu cha Yashari), akasema,Wana wa Yuda na wafundishwe haya

Kuhusu kitabu cha Enoko sio tu Yuda kaongelea kitabu chake bali kacopy na kupaste mstari kutoka kitabu cha Enoko

Yuda 1:14-15
14 Na Henoko, mtu wa saba baada ya Adamu, alitoa maneno ya unabii juu ya hao, akisema, Angalia, Bwana alikuja na watakatifu wake, maelfu maelfu,
15 ili afanye hukumu juu ya watu wote, na kuwaadhibisha wote wasiomcha Mungu, kwa ajili ya kazi zao zote za upotevu walizozitenda bila kumcha Mungu, na kwa ajili ya maneno magumu yote ambayo hao wenye dhambi wasiomcha Mungu wameyanena juu yake

Kwa English
1:14 And Enoch also, the seventh from Adam, prophesied of these, saying, Behold, the Lord cometh with ten thousands of his saints,
15 To execute judgment upon all, and to convince all that are ungodly among them of all their ungodly deeds which they have ungodly committed, and of all their hard speeches which ungodly sinners have spoken against him.

Book of ENOCH ambacho Yuda kacopy na kupaste inasema hivi

1.9 And behold! He comes with ten
thousand Holy Ones; to execute
judgment upon them and to destroy the
impious, and to contend with all flesh
concerning everything that the sinners
and the impious have done and wrought
against Him.

So unaweza ona Biblia imetambua hivi vitabu ingawa kuna watu leo hii utasikia wanasema hivi vitabu ni vya kishetani ndio maana vimeachwa!! Na sio hivi tu mkuu kuna apocrypha zaidi ya 50 ambazo biblia inazitambua ingawa vitabu hivyo kwenye biblia havijawekwa ila cha kushangaza ukivijengea hoja humu JF wanasema ni vya kishetani ndio maana havitambuliki

I hope nimejibu swali lako vizuri
 

cc
mgen,

2013
 
Ndio maana kwenye Qur'an huwezi kuona makosa mengi kama kwenye biblia ambayo ni ya wazi sana kwenye agano jipya,, najiuliza tu kwanini waislam hawana agano jipya inamaana wao hawakuwa na agano before?
Quran ni kitabu kimoja kinachoelezea mambo ya miaka kumi au zama moja kama sijakosea wakati biblia ni zaidi ya vitabu sabini vinavyo cover zaidi ya karne mia na zaidi.Kinaelezea nyakati na zama nyingi sana na matukio mengi yanayoendana na mabadiliko mbalimbali ya kiteknolojia.Kama kitabu cha zama moja kina makosa ya kisayansi na kibaiolojia itakuwa cha zama nyingi?

Kama kitabu cha zama nyingi kina uvuvio wa shetani kwa maana ya some satanic verses itakuwa cha karne zaidi ya mia? Yote yaliyoandikwa na misaafu hii itoshe tu kutuongoza kuwa watu wema na kuachana na maovu. Hili la kuchambua makosa halitatusaidia sana siku ya qiyama
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Aiseeeeeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…