mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,735
mkuu kama kweli unatafuta siri unapaswa kuanzia hapa.
1:Being ancient does not mean always true. Mfano wakina Orgen wa alexandria watakumbukwa kwa tiolojia zilizochanganywa na humanistic ideas enzi za kale, nao walishiriki katika kuandaa manuscript nyingi kusupport ideas zao. Hivyo ukiokota gombo la kale Alexandria Haimaanishi, liko sahihi 100% kwa sababu bado uchakachuaji ulikuwepo enzi hizo. Kuanzia 1800s bibilia nyingi za kisasa hata NIV ziliegemea magombo yanayosadikiwa kuwa sahihi eti tu kwa sababu ni ya kale kama unavyotoa hoja zako.
2: Magombo yanayosadikiwa kuwa ya kale sana yaliyookotwa kwenye kikapu Huko SINAI, baada ya kuchunguzwa saana, yalionekana kuwa pamoja na ukale wake yamefutwafutwa zaidi ya mara sabini kwenye hoja moja. Hii ilipelekea kutiliwa shaka na wengine kuyaweka kapuni. Lakini NEW TRANSLATIONS zote zinadai kujengwa juu ya magombo ya kale zaidi ya KJV lkn ukweli ni kwamba asilimia 80% ya source ni hiyo ya Sinai na Hiyo ya kutiliwa shaka ya alexandria.
3: KJV imejengwa juu ya tafsiri za RECEIVED TEXTS. Nadhani vita vilipaswa kuwa kati ya received texts vs New discovered old manusxripts.
Uzito unapewa kwa KJV na Kama ulivyosema hii ya kiswahili kwa sababu Zimejengwa katika manuscrpits zaidi ya 1900 zilizokutwa sehemu mbalimbali tofauti lkn zinasema vitu vinavyoendana. Tofauti na hizi mpya ambazo ushahidi wa manuscript za kale lakini ni za sehemu chache tena zenye utata. Mfano alexandria ilikuwa kitovu cha theolojia tata nyingi enzi hizo.
4: Pamoja na ustadi wa ukale wa vyanzo vya NIV vinavyoifanya ionekane bora kuliko hii KJV Kwa vigezo vya ukale wa manuscript. Kuna barua nyingi za wababa wa kikristo wa enzi za karne za awali kabisa ambazo nazo zilipatikana. Zilikutwa na mafungu ya bibilia ndani yake. Mafungu hayo cha ajabu hayamo kwenye NIV ambayo inasemekana kuwa na chanzo cha kale zaidi, huku yakipatikana ndani ya KJV ambayo manuscript zake ni za kale ya karibu. Ndio maana nasisitiza msingi mkuu ni mafundisho ya bibilia. Mfano fundisho kuu Mwanadamu aliasi, Yesu alikuja, Akaishi, akafa, akafufuka, anakuja tena na mafundisho mengine mengi ambayo yanaungwa mkono na waandishi karibu wote wa bibilia. Hivyo binafsi naamini bibilia zote zinavitu vya kutufunza, hasa za kisasa zinautafsiri mzuri zaidi wa Lugha za kale na kufanya utafsiri ueleweke zaidi lkn hii yote haiondoi msingi wa mafundisho Ya bibilia.
Ndio maana mkuu nimesisitiza katika tallying ya doctrines. Lakini KJV inapewa kipaumbele kwa sababu imezungukwa na jopo kubwa la mashahidi wa kale kutoka katika vyanzo mbalimbali (magombo) wasiohusiana lkn wakiongelea hoja zinazofanana.
SIRI ni Kwamba Hii inapigwa vita sana na wengi. Catholic walipiga marufuku Received texts kwa kusema ni Uzushi ktk mtaguso wa trent lkn ukweli ni kwamba received texts zinamantiki kuliko hata vulgate na hawa wa kisasa. Siri nyingine watu wanaaminishwa Vatican ndio kitovu cha mambo ya kale ya ukweli wakati kumejaa mambo mengi ya kale ambayo yanaweza kiwa sahihi au yako mlengo wa Origen theologies na wanafunzi wake.
Kitu kingine Vita vya bibilia havijaanza leo, au siku walipogundua magombo ya sinai 1844 au alexandria, au siku yalipogundulika magombo ya Vatican 1481 AD ambayo mengi yanahusianishwa na eusebius, mwanafunzi wa mwanatheolojia tata wa alexandria Origen, Vilikuwepo enzi Jerome anaandika Vilgate yake, maana ilikosolewa na wakina Helvidius ikionyesha kulikuwa na vitu bora kuliko Hiyo Vulgate, vilikuwepo enzi za Waldensia, reformation 1500s pia.
SIRI kulingana na mtazamo wangu ni Kwamba Maandiko ya Mungu yanataka Kuchafuliwa na kudhoofishwa kwa Kukubwisha mavitabu ya kale yasiyosahihi ili kudivert watu kuelekezwa kwenye pori la maandishi yanayopewa uzito sawa na bibilia wakati mjumuisho wake ni kuvuruga akili na Imani kwa Mungu wa Kweli.Watu wanataka kuaminishwa kuna mambo ya siri sana kiasi kwamba wanaojua hizo siri ndio wenye uwezo wa kupewa umakini na kusikilizwa kuliko neno la Mungu ili Shetani ajipatie mateka wa kutosha (sentensi ya kidini zaidi).
People are directed to dive in a bottomless complex pit.
mkuu nimetoa maoni ya jumla mchanganyiko. Ili kuongeza upana wa mjadala.
zitto junior