SIRI Iliyojificha Kwenye Bangi inayofanya Kukatazwa Matumizi Yake Nchi Nyingi Duniani hasa Afrika

Po

Pole aisee uyo mkorofi anavuta kwa lengo la kuwazngua,bangi inasikiliza unavyoiambia na kutaka ikupeleke
Watu wanashindwa kutambua kuwa kila kitu kina kanuni zake..Mtu anavuta makushabu na ajala unadhani nini kitafuata?
 
To be the honest, napendaa watu wanaovuta bangi, kwani wako real n OG, hata ukidate nae una enjoy, toka kitandani had nje ya faragha.

Yaan niko tayar kumnunulia mtu bangi, napenda sana, japo mie situmii.
Nakuelewa unamaanisha nini.... 💪
 
Jamaika bangi wanakula hadharani hamna kujifichaficha serikali yao pia haijatilia mkazo kwenye sheria za uvutaji bangi
Watu wanashindwa kuelewa tumbaku ni hatari kuliko bangi, bangi jamaica ni kama sigara tu bongo, ilitakiwa iruhusiwe bangi na kupigwa marufuku sigara
 
Mm hua nikivuta napata sana hamu ya kula msosi inshort nachangamka akili na usiku napata usingizi mzuri sana
 
Kwahyo na sisi wanafunzi ruksa mjani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…