Siri imefichuka, hatimaye Admin wa CAF amejulikana kutokana na utoto wa Ahmed Ally

Mleta una funza kichwani na SIO ubongo. Kwanini vijana mnakurupuka kuandika bila kujihakikishia kwanza???

Halafu utakuta mleta mada nae ana mpenzi😂😳
 

Attachments

  • Screenshot_20220921-090338_1.jpg
    24.7 KB · Views: 4
  • Screenshot_20220921-090352_1.jpg
    21.9 KB · Views: 4
Mleta una funza kichwani na SIO ubongo. Kwanini vijana mnakurupuka kuandika bila kujihakikishia kwanza???

Halafu utakuta mleta mada nae ana mpenzi😂😳
.
 

Attachments

  • Screenshot_20220914-183452.png
    40.6 KB · Views: 4
  • Screenshot_20220910-181142.png
    96.2 KB · Views: 4
Ww ndio ulikua umjui kiongozi. Watu wa network wanajua mnooo mpk w UEFA champions league anamjua pia.
Kwani katiba ya caf inakatàza wafanya kazi wake kujilikana?
 
Si vibaya hii Picha ya Admin wa CAF ikisambazwa mpaka tujuwe majina yake na Uraia wake ili tuweze kumjua kiundani.

Kunguni ameshasagwa kazi kwenu wananzengo.
 
Kwanza hiyo sio page official ya CAF kwa hiyo wala haitusumbui, page official haina muda wa kupost huu uwendawazimu
 
Sikuwah kujua kama una akili ndogo kiwango hiki

Kabla ya kupost mambo mengine humu uliza hata hao wadada unaoshinda nao hapo salon wanaweza kuwa wanajua kuliko wewe

Huyo ni mpiga picha wa SIMBA SC unataka nikupe na jina lake.
 
Mimi mwenyewe ni admin wa system fulani huku ofisini, lakini wala huwa sio siri kujulikana kuwa mtu fulani ni admin, siri ni password ya system. Ndugu Matola sijajua admin wa Simba aka admin la CAF unachukuliaje kama akijulikana hadharani, kwamba eti siri imevuja? 🤣 🤣 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…