johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Inashangaza mno, amekuwa serikalini...nenda kwao Buhigwe kaangalie alichofanya....mwacheni Zitto aitwe Mwami...jamaa ni mhuni sana kwenye maslahi ya Kigoma, yupo tayari kuuza timu ili Kigoma ipate kitu. Hongera ZittoHuyu kaja juzi leo amekuwa kiungani? Zitto toka 2005 anawatetea watu wa Kigoma
Sure Zitto ameipigania Kigoma kuliko mtu yoyoteInashangaza mno, amekuwa serikalini...nenda kwao Buhigwe kaangalie alichofanya....mwacheni Zitto aitwe Mwami...jamaa ni mhuni sana kwenye maslahi ya Kigoma, yupo tayari kuuza timu ili Kigoma ipate kitu. Hongera Zitto
Hahahaaaa...... hao tumewazoea mkuu!Ahaaaa,watasema unalipwa buku saba
Watasema utopolo
Watasema wewe ni lumumba fc
Wewe unaijua Kigoma kuliko mkuu wa nchi Rais Magufuli?Huelewekiβ¦.huwa unapenda kuanzisha mada tu. Zitto ndiye nembo na jicho la Kigoma. Fika kule na uwasikie wanaKigoma wenyewe.
Taa hata Arusha kwa Lema zipo!Unapafahamu Buhigwe lakini wewe....acha kudanganya watu... Zitto ni Kigoma na Kigoma ni Zitto. Sijawahi mkubali kwa baadhi ya mambo ila amepafanya Kigoma kuwa tofauti. Wakati nyie mnatishiwa taa na rami za mitaani Kigoma zipo. Hebu kukubali basi japo kwa machache mtu kafanya. Hongera Zitto kwa kuifanya Kigoma kuwa ilivyo leo
Huyu mkuu wa nchi asiyejua rais wa Libya wala Iraq?Wewe unaijua Kigoma kuliko mkuu wa nchi Rais Magufuli?
Hahahaaaa..... Waha wabishi bwashee!Sasa mbona tunaringishiana kumbe zipo kila mahali....ππ