Kwa ajili yako Dr Mpango ameshika nafasi ya uwaziri law miaka mingapi?Tangu jana mbunge wa Kigoma mjini aliyemaliza muda wake Zitto Kabwe amekuwa akitamba mitandaoni kwamba yeye ndio kiuanganishi kikuu cha maendeleo ya Kigoma kwa nafasi yake kama mbunge tangu enzi za Rais Kikwete.
Ukweli uliothibitika kutoka kwa mkuu wa nchi Rais Magufuli ni kwamba Dkt. Mpango ndiye amekuwa akiratibu mambo mengi ya maendeleo ya mkoa wa Kigoma.
Maendeleo hayana vyama
cc: Zitto Kabwe