Siri imefichuka: Kiunganishi kikuu cha maendeleo ya Kigoma siyo Zitto Kabwe ni Dkt. Phillip Mpango

Tangu jana mbunge wa kigoma mjini aliyemaliza muda wake Zitto Kabwe amekuwa akitamba mitandaoni kwamba yeye ndio kiuanganishi kikuu cha maendeleo ya Kigoma kwa nafasi yake kama mbunge tangu enzi za Rais Kikwete.

Ukweli uliothibitika kutoka kwa mkuu wa nchi Rais Magufuli ni kwamba Dr Mpango ndiye amekuwa akiratibu mambo mengi ya maendeleo ya mkoa wa Kigoma.

Maendeleo hayana vyama

cc: Zitto Kabwe
Vichekesho vingine wakose kujisifia kuchomea watu nyavu halali wanasahau kujisifia hili mpango nanialimchagua kgm nakama niyeye mpango ndiokaleta kwanini kaenda kugombea majimbo yaporini?je unaweza kupanda mgomba ķwenye shamba lamwenzie ujisifu ni ndizi yako watutolee hapa maendeleo nizito hatahivyo mbona hawajakanusha zuio la mradi wa ujiji senter
Kaziyao nikuzulumu wavuvi na kuzuia maendeleo
 
Unapafahamu Buhigwe lakini wewe....acha kudanganya watu... Zitto ni Kigoma na Kigoma ni Zitto. Sijawahi mkubali kwa baadhi ya mambo ila amepafanya Kigoma kuwa tofauti. Wakati nyie mnatishiwa taa na rami za mitaani Kigoma zipo. Hebu kukubali basi japo kwa machache mtu kafanya. Hongera Zitto kwa kuifanya Kigoma kuwa ilivyo leo
Nyie wasemaji wa ACT huwa hamjifichi inamaana huko kigoma mnakula hizo taa za barabarani
 
siasa za kigoma bado ni ngumu kwa sababu . zitto kama hawatamvuruga bado vijana wanampenda . kivutio kikubwa kwake ni mgombea mmoja anaitwa baba levo , katika kata ya mwanga kaskazini .

Mimi nipo kigoma , nilimuuliza mtu wa juu katika siasa za ccm hapa mjini . anadai wakibweteka tu jimbo linaenda kwa zitto . ila pesa inaanza kutembea .
 
Tangu jana mbunge wa kigoma mjini aliyemaliza muda wake Zitto Kabwe amekuwa akitamba mitandaoni kwamba yeye ndio kiuanganishi kikuu cha maendeleo ya Kigoma kwa nafasi yake kama mbunge tangu enzi za Rais Kikwete.

Ukweli uliothibitika kutoka kwa mkuu wa nchi Rais Magufuli ni kwamba Dkt. Mpango ndiye amekuwa akiratibu mambo mengi ya maendeleo ya mkoa wa Kigoma.

Maendeleo hayana vyama

cc: Zitto Kabwe
Kigoma kuna vipaji vingi sana.Maprofesa,Madoctor wa PhD wengi tu.Wanamziki,wachezaji mpira.Sasa unganeni na mwl, Dr,Rais Magufuli ,kuifanya Kigoma iwe Toronto .
 
Kama walishindwa kufanya hivyo ccm tangu nchi hii ipate uhuru, jiwe hawezi kufanya chochote kwa miaka hii mitano.
 
Huyo Mpango ni kibaraka tu na Boot Licker, hana lolote. Wanatafuta tu namna ya kumuuza.
 
Tangu jana mbunge wa Kigoma mjini aliyemaliza muda wake Zitto Kabwe amekuwa akitamba mitandaoni kwamba yeye ndio kiuanganishi kikuu cha maendeleo ya Kigoma kwa nafasi yake kama mbunge tangu enzi za Rais Kikwete.

Ukweli uliothibitika kutoka kwa mkuu wa nchi Rais Magufuli ni kwamba Dkt. Mpango ndiye amekuwa akiratibu mambo mengi ya maendeleo ya mkoa wa Kigoma.

Maendeleo hayana vyama

cc: Zitto Kabwe
Wewe bomu kweli, yaani ulitegemea Magufuli aseme nini?. Wana Kigoma wanaujua ukweli. ZITTO JUU,JUU JUU ZAIDI!!!! magufuli ziii, ziii ziii zaidi
 
Dr. Mpango yeye na Da Joi wanasema wanakunywa matope.. Sasa kiunganishi ni kipi hapo au ni hiyo nomino ya Mpango.
 
Inashangaza mno, amekuwa serikalini...nenda kwao Buhigwe kaangalie alichofanya....mwacheni Zitto aitwe Mwami...jamaa ni mhuni sana kwenye maslahi ya Kigoma, yupo tayari kuuza timu ili Kigoma ipate kitu. Hongera Zitto
Mbona Magufuli mnamchachafya akifanya mazuri kwao?

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
 
Unapafahamu Buhigwe lakini wewe....acha kudanganya watu... Zitto ni Kigoma na Kigoma ni Zitto. Sijawahi mkubali kwa baadhi ya mambo ila amepafanya Kigoma kuwa tofauti. Wakati nyie mnatishiwa taa na rami za mitaani Kigoma zipo. Hebu kukubali basi japo kwa machache mtu kafanya. Hongera Zitto kwa kuifanya Kigoma kuwa ilivyo leo
Unajielewa kweli? Zito ndio anakusanya Kodi za wanakigoma? Kwani zito ndio anayetenga bajeti ya maendeleo ya kigoma? By the way kigoma Kuna maendeleo gani? Kati ya mikoa au miji worst kimaendeleo kigoma inaongoza. Sema tuu zito ameifanya kigoma ikawa popular among mikoa ya Tz kutokana na umaarufu wake lkn hana mchango wowote kwenye maendeleo au kudumaa kwa kigoma. CCM ndio walioifanya kigoma kuwa hivi ilivo Leo. Lekatutugite.
 
Unapafahamu Buhigwe lakini wewe....acha kudanganya watu... Zitto ni Kigoma na Kigoma ni Zitto. Sijawahi mkubali kwa baadhi ya mambo ila amepafanya Kigoma kuwa tofauti. Wakati nyie mnatishiwa taa na rami za mitaani Kigoma zipo. Hebu kukubali basi japo kwa machache mtu kafanya. Hongera Zitto kwa kuifanya Kigoma kuwa ilivyo leo
Unajielewa kweli? Zito ndio anakusanya Kodi za wanakigoma? Kwani zito ndio anayetenga bajeti ya maendeleo ya kigoma? By the way kigoma Kuna maendeleo gani? Kati ya mikoa au miji worst kimaendeleo kigoma inaongoza. Sema tuu zito ameifanya kigoma ikawa popular among mikoa ya Tz kutokana na umaarufu wake lkn hana mchango wowote kwenye maendeleo au kudumaa kwa kigoma. CCM ndio walioifanya kigoma kuwa hivi ilivo Leo. Lekatutugite.
 
Tangu jana mbunge wa Kigoma mjini aliyemaliza muda wake Zitto Kabwe amekuwa akitamba mitandaoni kwamba yeye ndio kiuanganishi kikuu cha maendeleo ya Kigoma kwa nafasi yake kama mbunge tangu enzi za Rais Kikwete.

Ukweli uliothibitika kutoka kwa mkuu wa nchi Rais Magufuli ni kwamba Dkt. Mpango ndiye amekuwa akiratibu mambo mengi ya maendeleo ya mkoa wa Kigoma.

Maendeleo hayana vyama

cc: Zitto Kabwe
Kifisadi na kwa upendeleo kwa sababu Mpango anatokea huko? Hivi siku hizi usipokuwa kiongozi mkubwa maendeleo hayapelekwi kwenu? Ccm ya siku hizi hovyo kabisa.
 
Unapafahamu Buhigwe lakini wewe....acha kudanganya watu... Zitto ni Kigoma na Kigoma ni Zitto. Sijawahi mkubali kwa baadhi ya mambo ila amepafanya Kigoma kuwa tofauti. Wakati nyie mnatishiwa taa na rami za mitaani Kigoma zipo. Hebu kukubali basi japo kwa machache mtu kafanya. Hongera Zitto kwa kuifanya Kigoma kuwa ilivyo leo
Hizo taa zimewekwa mwaka gani?? Nani akiwa Raisi?? Na waziri Mpango alikuwa waziri wakati wa implementations au hakuwa???
Naona Zana za Kilimo hali si shwari na mgombea urahisi wa ACT waigizaji hali sio nzuri, kila Mtu naona ni kutetea roho yake
 
Back
Top Bottom