Vichekesho vingine wakose kujisifia kuchomea watu nyavu halali wanasahau kujisifia hili mpango nanialimchagua kgm nakama niyeye mpango ndiokaleta kwanini kaenda kugombea majimbo yaporini?je unaweza kupanda mgomba ķwenye shamba lamwenzie ujisifu ni ndizi yako watutolee hapa maendeleo nizito hatahivyo mbona hawajakanusha zuio la mradi wa ujiji senterTangu jana mbunge wa kigoma mjini aliyemaliza muda wake Zitto Kabwe amekuwa akitamba mitandaoni kwamba yeye ndio kiuanganishi kikuu cha maendeleo ya Kigoma kwa nafasi yake kama mbunge tangu enzi za Rais Kikwete.
Ukweli uliothibitika kutoka kwa mkuu wa nchi Rais Magufuli ni kwamba Dr Mpango ndiye amekuwa akiratibu mambo mengi ya maendeleo ya mkoa wa Kigoma.
Maendeleo hayana vyama
cc: Zitto Kabwe
Kaziyao nikuzulumu wavuvi na kuzuia maendeleo