Siri Imefichuka: Maafisa wa Ngazi ya Juu wa Marekani Wanamshawishi Rais wa Ukraine Afanye Mazungumzo na Putin

Siri Imefichuka: Maafisa wa Ngazi ya Juu wa Marekani Wanamshawishi Rais wa Ukraine Afanye Mazungumzo na Putin

Mkuu umeelewa content?

Tunazungumzia gharama na sio matokeo ya vita. Kwa kumaanisha kwamba hii vita ikienda hata kwa miaka 10 mbele si ajabu hawa US wakaendelea ku-pump hela vitani maana sio jambo jipya wala gumu kwao!!!
Nimekuelewa sana
Pia hata RUSSIA tokea 2011 mpaka sasa anapambana kule SYRIA
Pia sijambo geni kwake
 
US anaweka hela hatujazungumzia kupigana, Marekani hawezi hangaika kwenda kupigana na walevi na wafungwa waliobebwa kutoka Vladivostok uko na Yekaterinburg. Mpaka sasa Ukraine imepokea $18+ billion, Afghanistan pekee bajeti yake kwa ujumla ilikuwa trilioni mbili na hawakuwa na nia yoyote ya maana sawa na playground tu. Sasa unaitishia Marekani kwa hela ya maandazi kama hiyo, yani Urusi yenye GDP level za Spain na inazidiwa na South Korea kiuchumi ndio utarajie wataifirisi Marekani kisa Ukraine?View attachment 2408751
Huko kwa watelaban hawakuenda wenyewe kwanza walisombana telee

Pia hakuna aliemtishia us yeye kama anafadhili anayoiita vita acha afadhali halaf uone kama utaiona RUSSIA ikianguka

Pia RUSSIA kuzidiwa uchumi na wengine hilo jambo lakawaida maadam yake yanamuendea kama kawaida

Smo wamejazana kibao kuchangisha dhidi ya mtu mmoja mwenye uchumi kama jimbo la texas
 
Mtasema yoote lkn ukweli utabaki palepale kwamba dikteta Putin ni bogus, ni mtu anayependa kutumia propaganda ili kuendelea kung'ang'ania madarakani.

Hivi vita alivianzisha kama njia ya kutafuta kukubalika kwa warussia ili aendelee kutawala baada ya kuona kukubalika kwake kukipungua siku hadi siku.

Putin siyo level ya akina Biden ambao wanasumbuliwa na wapiga kura. Yule ni international figure. Yeye focus yake ni assume the Russia's position in the world sphere.
 
Zelenskiy amesema kwamba yupo tayari kwa mazungumzo na Russia, lakini iwapo tu mazungumzo hayo yatakuwa ya kweli na yenye kuhakikisha kwamba Ukraine inarejeshewa mipaka yake na kuheshimiwa.

Hiyo nayo ni hekima. Wazungumze tu, maana anayeumia na kuathirika moja kwa moja ni yeye. Wala siyo wanaomsaidia kwa silaha au mwingine yeyote.
 
[emoji23][emoji23] acha kamba Ukraine wana lugha yao na Urusi wana Lugha yao , ila baada Ya kuundwa kwa Soviet warusi waliingia Ukraine na hao ndo mpk leo wapo Ukraine wanaongea kirusi ila Ukraine wana lugha yao

Bro, I've been in both countries. So I'm with vivid example. Only privyet connects the country. No other lingua franca.
 
Nimeiona BBC pia. Ila inaonekana haya mazungumzo yamesaidia kwa kiasi kikubwa mpaka leo Urusi hajatumia Nyuklia.

Sasa kuna muda Urus alipiga mkwara wa kutumia Nyuklia, badae Urus akapotozea!

Je, USA alitumia mbinu gani za kumzuia Urus asitumie Nyuklia? Ilikuwa ni ushawishi tu au USA alimpiga mkwara Urusi?
 
Huko kote alikua anapigana na wachovu nawasiojiweza

Hao woote hawakua nalakumfanya US ila RUSSIA analo

Hao wooote walikua wanaamini kwamba US ndio kiranja wa DUNIA wakat RUSSIA anaamini kama US sii kila kitu hapa DUNIANI

Hao wote walikua wanategemea misaada ila RUSSIA 99% anajitegemea na kutegemewa
Hao woote hawakua nalakumfanya US ila RUSSIA analo[emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
 
Nimeiona BBC pia. Ila inaonekana haya mazungumzo yamesaidia kwa kiasi kikubwa mpaka leo Urusi hajatumia Nyuklia.

Sasa kuna muda Urus alipiga mkwara wa kutumia Nyuklia, badae Urus akapotozea!

Je, USA alitumia mbinu gani za kumzuia Urus asitumie Nyuklia? Ilikuwa ni ushawishi tu au USA alimpiga mkwara Urusi?

USA ampige mkwara Urusi kweli!!? Hapo alichotumia ni maongezi ya siri. Maana Putin alisema hakuna mtu atakayekaa kando kwenye dhoruba hii.
 
Wamarekani wazawa wana muono tofauti ... In the United States, polls show eroding support among Republicans for continuing to finance Ukraine’s military at current levels, suggesting the White House may face resistance following Tuesday’s midterm elections as it seeks to continue a security assistance program that has
Wazawa gani hawa kina lady gaga
 
Putin siyo level ya akina Biden ambao wanasumbuliwa na wapiga kura. Yule ni international figure. Yeye focus yake ni assume the Russia's position in the world sphere.
Russia hakuna kura ni kama Tanzania tu, wananchi ni wa kuswagwa tu kama kondoo. Putin amejibambikiza tu urais kwa msaada wa wasiojulikana wa huko Russia. Very hopeless.
 
Hii sio habari njema kabisa kwa Wamarekani wa Nzega.
Dunia unavyoiona na watu wake na kuifikiria sivyo hivyo ilivyo, soma hili neno siku moja utajua nina maana gani,..!
Hii vita haiishi leo au kesho huo ni ujasusi wa mtu kuvimbishwa kichwa aisee,
Haiingii akilini ile nchi inavyopenda vita hivyo leo ianze kutafuta amani aisee...
 
Katika maisha siyo kila kitu utashinda. Vingine ni vigumu kuweza. Kama vile USA inavyomtuma kisirisiri Ukraine aombe po kwa Russia.
 
Back
Top Bottom