Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Nimekuelewa sanaMkuu umeelewa content?
Tunazungumzia gharama na sio matokeo ya vita. Kwa kumaanisha kwamba hii vita ikienda hata kwa miaka 10 mbele si ajabu hawa US wakaendelea ku-pump hela vitani maana sio jambo jipya wala gumu kwao!!!
Pia hata RUSSIA tokea 2011 mpaka sasa anapambana kule SYRIA
Pia sijambo geni kwake