Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,968
- 36,044
Kuna hujuma za chinichini Yanga anafanyiwa ili kusudi asibebe kombe msimu huu maana walishaona ligi imepoteza mvuto mapato yanayopatikana ni hafifu hivyo wanaihujumu Yanga kimakusudi angalau mashabiki wa Simba nao wapate nguvu ya kuingia uwanjani kuongeza mapato.
Soma Pia: Hatimaye Yanga yapata mbabe Ligi Kuu, YABAMIZWA na Dodoma Jiji magoli 3-2
Hizi dhuluma hazitafika popote zaidi na zaidi wana uharibu mpira wa bongo.
Soma Pia: Hatimaye Yanga yapata mbabe Ligi Kuu, YABAMIZWA na Dodoma Jiji magoli 3-2
Hizi dhuluma hazitafika popote zaidi na zaidi wana uharibu mpira wa bongo.