Hivi Watu wenye Akili kubwa hapa JamiiForums kama Wewe huwa mnapata wapi muda kuwajibu known damn Fools?Hujuma ipi nafas unapata unashindwa kufunga
Dube 4 open chances anashindwa kifunga halafu mnalilaumu shirikisho
Nafas kama zile timu za northen Africa unaongea mengine
Sajil WATU wa maamuz mech zilizobak zinahtaj maamuz
SIMBA MSHINDWE NYIE SASA
Bloangu,bipolar hawa,usijibizane nao,utamaliza nguvu zako bureHujuma ipi nafas unapata unashindwa kufunga
Dube 4 open chances anashindwa kifunga halafu mnalilaumu shirikisho
Nafas kama zile timu za northen Africa unaongea mengine
Sajil WATU wa maamuz mech zilizobak zinahtaj maamuz
SIMBA MSHINDWE NYIE SASA
[emoji23][emoji23][emoji23]Kamkataa mtoto wa tajiri kaolewa na muuza Zabibu.View attachment 3588298
[emoji23][emoji23][emoji23]Wakati mnaongoza kwa goli 2 ilikua sio hujuma!!?
zimeongezwa dk 5 zikaisha refa hataki kumaliza mpira. Mkijua mnaweza kupata goli la ushindi badala yake VICE VERSA ikawa TRUE[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa ni hujuma gani mmefanyiwa!!?
Au ile ya kubadirishia nguo nyumba ya jirani ?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]