AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,769
- 23,676
Haya sawaMimi bora nipate hasara ila roho yangu ilizike tu mkuu
Hesabu point hizo 82 piga mara 50,000 alaf nambie imetoka pesa ngapi
Haya sawaMimi bora nipate hasara ila roho yangu ilizike tu mkuu
Hesabu point hizo 82 piga mara 50,000 alaf nambie imetoka pesa ngapi
Tungetumia nyumba ya jirani na uwanja haya yasingetukuta.Kuna hujuma za chinichini Yanga anafanyiwa ili kusudi asibebe kombe msimu huu maana walishaona ligi imepoteza mvuto mapato yanayopatikana ni hafifu hivyo wanaihujumu Yanga kimakusudi angalau mashabiki wa Simba nao wapate nguvu ya kuingia uwanjani kuongeza mapato.
Soma Pia: Hatimaye Yanga yapata mbabe Ligi Kuu, YABAMIZWA na Dodoma Jiji magoli 3-2
Hizi dhuluma hazitafika popote zaidi na zaidi wana uharibu mpira wa bongo.
Sasa kaka hujuma gani na nafasi za kufunga tunachezea..?Kuna hujuma za chinichini Yanga anafanyiwa ili kusudi asibebe kombe msimu huu maana walishaona ligi imepoteza mvuto mapato yanayopatikana ni hafifu hivyo wanaihujumu Yanga kimakusudi angalau mashabiki wa Simba nao wapate nguvu ya kuingia uwanjani kuongeza mapato.
Soma Pia: Hatimaye Yanga yapata mbabe Ligi Kuu, YABAMIZWA na Dodoma Jiji magoli 3-2
Hizi dhuluma hazitafika popote zaidi na zaidi wana uharibu mpira wa bongo.
Waliwadharau hawakufika bei walitegemea watawafunga.Kuna hujuma za chinichini Yanga anafanyiwa ili kusudi asibebe kombe msimu huu maana walishaona ligi imepoteza mvuto mapato yanayopatikana ni hafifu hivyo wanaihujumu Yanga kimakusudi angalau mashabiki wa Simba nao wapate nguvu ya kuingia uwanjani kuongeza mapato.
Soma Pia: Hatimaye Yanga yapata mbabe Ligi Kuu, YABAMIZWA na Dodoma Jiji magoli 3-2
Hizi dhuluma hazitafika popote zaidi na zaidi wana uharibu mpira wa bongo.
Huyu mleta mada kajaa mavi kichwani. Kama aliangalia nafasi walizochezea hao sidhani kama angeandika huu upuuziHujuma ipi nafas unapata unashindwa kufunga
Dube 4 open chances anashindwa kifunga halafu mnalilaumu shirikisho
Nafas kama zile timu za northen Africa unaongea mengine
Sajil WATU wa maamuz mech zilizobak zinahtaj maamuz
SIMBA MSHINDWE NYIE SASA
Hii nimewahi kuwaza japo kipeke yangu. Kumbe wapo wanaofikiri hivyo piaSiamini kabisa kwa huu mtindo wa kisasa wa kununua wachezaji kutoka nje kwani ukweli ni kwamba wachezaji wanaonunuliwa kutoka nje ya nchi hawana kabisa mpira wa kuwashinda wachezaji wa ndani.
Sasa yule Dube ni mchezaji sampuli gani na kuna haja gani ya kuwa na mchezaji kama yule alipwe hela nyingi za bure.
Yanga waache kabisa visingizio hawana wachezaji wa ajabu kama wanavyodhani, wana wachezaji wanaocheza na jukwaa tu.
Hawa wachezaji wa kigeni kuna asilimia wanawagawia viongozi wa hivi vilabu vikubwa, sio bure.
Uko sahihi na juzi simba wamemfukuza kocha wa yangaKuna hujuma za chinichini Yanga anafanyiwa ili kusudi asibebe kombe msimu huu maana walishaona ligi imepoteza mvuto mapato yanayopatikana ni hafifu hivyo wanaihujumu Yanga kimakusudi angalau mashabiki wa Simba nao wapate nguvu ya kuingia uwanjani kuongeza mapato.
Soma Pia: Hatimaye Yanga yapata mbabe Ligi Kuu, YABAMIZWA na Dodoma Jiji magoli 3-2
Hizi dhuluma hazitafika popote zaidi na zaidi wana uharibu mpira wa bongo.
Labda kwa mambo mengine lakini mechi ya leo ni Mungu alipanga tushindweKuna hujuma za chinichini Yanga anafanyiwa ili kusudi asibebe kombe msimu huu maana walishaona ligi imepoteza mvuto mapato yanayopatikana ni hafifu hivyo wanaihujumu Yanga kimakusudi angalau mashabiki wa Simba nao wapate nguvu ya kuingia uwanjani kuongeza mapato.
Soma Pia: Hatimaye Yanga yapata mbabe Ligi Kuu, YABAMIZWA na Dodoma Jiji magoli 3-2
Hizi dhuluma hazitafika popote zaidi na zaidi wana uharibu mpira wa bongo.
Kuna hujuma za chinichini Yanga anafanyiwa ili kusudi asibebe kombe msimu huu maana walishaona ligi imepoteza mvuto mapato yanayopatikana ni hafifu hivyo wanaihujumu Yanga kimakusudi angalau mashabiki wa Simba nao wapate nguvu ya kuingia uwanjani kuongeza mapato.
Soma Pia: Hatimaye Yanga yapata mbabe Ligi Kuu, YABAMIZWA na Dodoma Jiji magoli 3-2
Hizi dhuluma hazitafika popote zaidi na zaidi wana uharibu mpira wa bongo.
Hayo ndio matatzo ya kufikiri kwa kutumia matako. Hujuma ipi amefanyiwa yanga? Wakati goli la pili la yanga ni clear offside,Kuna hujuma za chinichini Yanga anafanyiwa ili kusudi asibebe kombe msimu huu maana walishaona ligi imepoteza mvuto mapato yanayopatikana ni hafifu hivyo wanaihujumu Yanga kimakusudi angalau mashabiki wa Simba nao wapate nguvu ya kuingia uwanjani kuongeza mapato.
Soma Pia: Hatimaye Yanga yapata mbabe Ligi Kuu, YABAMIZWA na Dodoma Jiji magoli 3-2
Hizi dhuluma hazitafika popote zaidi na zaidi wana uharibu mpira wa bongo.