fundinaizer
JF-Expert Member
- Dec 15, 2016
- 1,758
- 2,713
Uzi huu umekaa ki- team Rainbow
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna watu humu wanaongea utadhani ndio wapanga mikakati wa marekani au Urusi.
Mambo haypo kama wengi wanavyofikiria na ingekuwa hivyo leo hii tungeona kama alivyofanya Nancy Pelosi alikuwa anaenda China.
Fire power aliyonayo mrusi ni kubwa aidha kuizidi US au at per. Ndio maana always US hata maneno anayosema dhidi ya Urusi anachagua.
Tuongee simba na yanga labda tunazo taarifa sahihi zaidi kuliko haya ya Urusi na marekani
Sasa kama unayoyasema yana ukweli, mnaogopa nini kwenda kumfurusha ktk maeneo aliyojimegea?? Kama mlivyomfurusha Sadamu kule kuweitJitahidi kujielimisha zaidi kwa kusoma majarida mengi about military might of the super powers utaona US iko level zipi! Military installations in US bases around the world [emoji289] and underwater fleet of attacking vehicles compares to non in the world. Russia [emoji635] ni Soviet style propaganda zaidi kuliko the true capacity.
Hapa unajadiliana na watu wenye akili na si wavuta bangi wenzako kwa jaribu kuwa na staha.Wewe mpumbavu Marekani kapigana lini vita Syria au Yemen , hivi unafikiri humu unajadiliana na ngumbaru wenzako sio ?
Ushabiki mwingine wa kijinga tu. Sasa ulichosema sio sawa na kilichoandikwa kwa kingereza.Kwamba siku akitumia nyuklia ndio atakutana na anachokitafuta. Wazimu mwenye haraka ya kubonyeza vitufe vya nyuklia, hataruhusiwa dunia hii.
======
View attachment 2366311The U.S. has privately been warning the Kremlin for months of consequences if they use a nuclear weapon in their conflict with Ukraine, according to officials.
Anonymous officials told The Washington Post that the White House has publicly been purposefully vague about what those consequences would be in an attempt to build concern among Russian leaders, a method of nuclear deterrence called “trategic ambiguity.”
President Biden underlined his opposition to Russian President Vladimir Putin’s threat to use nuclear weapons in an interview with CBS’s “60 minutes” on Sunday, where he warned the Russian leader not to “change the face of war.”
“Don’t. Don’t. Don’t. You will change the face of war unlike anything since World War II,” Biden said when host Scott Pelley asked for a message to Putin concerning weapons of mass destruction.
Biden added that the U.S. response to Russian use of nuclear weapons would depend on “the extent of what they do.”
MSN
Nilijua lazima upaliwe!Yaani wewe ndio unajua internal politics na strategic advantages za Marekani sio ?
Mxieew
Poleni in advance. Ha hahahaha a!Continue dreaming [emoji42]
Mkuu humu kuna ushabiki maandazi, hivi urusi ingekua iko afrika kwenye opareshen ya miezi 7, mmarekani bado anatishia, kifupi marekani anamwogopa huyo mrusi na ushawishi wa marekani unazidi kupungua,Kuna watu humu wanaongea utadhani ndio wapanga mikakati wa marekani au Urusi.
Mambo haypo kama wengi wanavyofikiria na ingekuwa hivyo leo hii tungeona kama alivyofanya Nancy Pelosi alikuwa anaenda China.
Fire power aliyonayo mrusi ni kubwa aidha kuizidi US au at per. Ndio maana always US hata maneno anayosema dhidi ya Urusi anachagua.
Tuongee simba na yanga labda tunazo taarifa sahihi zaidi kuliko haya ya Urusi na marekani
Issue ni "you have been warned"; usije kusema hukuambiwa.Kwa hiyo tuseme,Urusi akizidiwa ataomba ruhusa ya Marekani kutumia nyukilia?
Marekani alipigana Nchini Vietnam kwa miaka 10 mpaka akashindwa na kuamua Kurudisha nyumbani Wanajeshi,Licha ya Vietnam kusaidiwa kwa kupokea Silaha na Wanajeshi kutoka China na Usoviet lakini Marekani haikutumia Silaha za Nyuklia licha ya Kuwa nazo kipindi hicho. Sasa Nini kinakushawishi kwamba Urusi itatumia Silaha za Nyuklia endapo itashindwa Vita huko Ukraine?Kwa hiyo tuseme,Urusi akizidiwa ataomba ruhusa ya Marekani kutumia nyukilia?
Amewaacha vijana wachangamshane kwanza.Kwanini hajaionya iache vita?
ina maana USA ananufaika na hii kitu?
Ndo maana nakwambia hakuna vita Russia atashinda kwa USA.Hakuna kitu kibaya kama kukalili.
Toka Dunia iumbwe Marekani haijawahi kupigana vita kubwa ndani ya ardhi yake.
Tukio alilopigwa Marekani na Japan Pear Harbour ndilo lilopelekea Marekani kutumia nyukilia.
Nakukumbusha Urusi Sio Japan.
Aimalize alivyoianzisha.Kwanini hajaionya iache vita?
ina maana USA ananufaika na hii kitu?
Dah! Huu ni msiba. Hivi umeelewa vizuri nilichokisema?Nikuulize swali dogo TU;
Hivi unafikili Ni Nini kinaizuia Israel kushusha Kombora moja la Nyuklia Pale GAZA na kuwaangamiza Wapiganaji wa HAMAS ambao wameisumbua Israel tangu miaka Nenda Rudi?
Je,Nini kinaizuia Israel Kushusha Makombora Kama 30 ya Nyuklia pale Lebanon na kuwasambaratisha Wapiganaji wa Hizbollah ambao wanaisumbua Israel tangu enzi za Dahari?
Je,Nini kinaizuia Pakstan Kushusha Makombora hata 10 ya Nyuklia pale Kabul Afghanistan ili kuwasambaratisha Taliban wanaoisumbua Mara kwa Mara huko mipakani?
Maoni yangu
Endapo Urusi itatumia Silaha za Nyuklia pale Ukraine Basi Dunia ijiandae kushuhudia Mataifa mengine yakitumia Silaha Hizo dhidi ya Majirani zao ili kuwawahi mapema. Mojawapo Ni;
(i) Israel Kurusha Makombora hayo huko Tahran na kuisambaratisha Iran.
(iii) Israel Kurusha Nyuklia Lebanon na kuwasambaratisha Hizbollah.
(iii) Israel Kurusha Makombora ya Nyuklia na kuifuta Gaza na Hamas kwenye ramani ya Dunia.
(iv) Korea Kaskazini Kurusha Makombora ya Nyuklia Korea Kusini
(v) China na India Kurushiana Makombora ya Nyuklia.
(vi) Pakstan na India Kurushiana Makombora ya Nyuklia.
Kiufupi Dunia itashuhudia Mapigano ambayo hayakuwahi kutokea,Na ule Ushindi ambao Urusi inautaka huko Ukraine hautakuwa na maana Tena.
Kwamba ukrain hana hizo silaha za nuclear?Naona mnavyo lishana pumba tu.
Mtu yeyote anaye fikiria kuwa Marekani yupo tiyari kupigana vita vya kinyukilia na Urusi kwa sababu ya Ukraine kama sio kichaa basi akili yake imejaa mihemko ya kipuuzi.
Yaan Urusi idondoshe atomic Kiev na kuiangamiza alafu Marekani ajibu kwa kudondosha atomic kwenye jiji la sochi au Moscow haaa kama una fikira za namna hiyo basi kuanzia sasa jitambue kuwa kichwa chako kina tatizo kubwa sana.
Iwapo Urusi ikiamuwa kutumia silaha za nyukilia dhidi ya Ukraine hakuna kitu Marekani ataweza fanya zaidi ya kubweka na kulaani , narudia Tena Marekani hawezi thubutu kufanya upuuzi wa aina hiyo.
Ila taadhari kwa Urusi ikifanya hivyo ijiandae kulipa gharama kubwa kisiasa na kidpromasia.
Mkuu umeniuliza ukiwa umemaanisha au unatania?Kwamba ukrain hana hizo silaha za nuclear?
Namaanisha..au w ushabik umekulevya na kudhan tu mwenye nuclear ni mrussia tu?Mkuu umeniuliza ukiwa umemaanisha au unatania?
Nime kuuliza hivyo ili nipime uelewa wako na bahati nzuri kutokana na ulicho nijibu nimegundua una uelewa ni mdogo sana kuhusu siasa za kimataifa hivi unadhani kumiliki nyukilia ni rahisi eti?Namaanisha..au w ushabik umekulevya na kudhan tu mwenye nuclear ni mrussia tu?
Unajua sheria ya kimataifa kuhusu matumiz ya nuclear bom?ingekuwa rahc kama unavyofikiria huyo mpiga kelele wa rushia angeshayatumia ila anaogopa maana akijarbu tumia tu atapigwa kama ngoma....kiuhalisia hata hizo silaha zinazoletwa na west hata nukes zipo kwa hyo usikarir kwa kusema tu rushiq ndo mmilik wa hzo zana tu...watu wanazo ila wanamlia timing tu ajichanganye ili wampasueNime kuuliza hivyo ili nipime uelewa wako na bahati nzuri kutokana na ulicho nijibu nimegundua una uelewa ni mdogo sana kuhusu siasa za kimataifa hivi unadhani kumiliki nyukilia ni rahisi eti?
Ukraine ingekuwa na silaha za kinyukilia Urusi isinge thubutu kufanya anacho kifanya sasa hivi.