Siri ipi iliyojificha kati ya 'Space and Time' kwa kutumia 'Relativity Theory' ya Albert Einstein?

Hakuwa kwenye past. Time kwake ilikuwa inamove slowly lakini sio kurudi nyuma.
Kwenda past ni pale time inarudi nyuma, yani miaka inarudi nyuma.
Itafika mda time itakua slowmpak itamantain past mkuu katk speed hiyo na zaidi kwahy ikizid apo tunarudi nyuma mfano 1961 Tanganyika inapata Uhuru.
 
Itafika mda time itakua slowmpak itamantain past mkuu katk speed hiyo na zaidi kwahy ikizid apo tunarudi nyuma mfano 1961 Tanganyika inapata Uhuru.
Hakuna kurudi past. The best you can get is time kustop ila sio kurudi nyuma.
Na hii ni kwasababu ya speed limit ya causality yani nothing can travel faster than 299,792,458 m/s
Na katika hiyo speed ndio inakua time imestop.
So Kama wewe ni photon uliyetoka galaxy iliyo 3billion lightyears away...ukiondoka huko na kufika duniani kwako inakuwa instantly, yani in 0seconds...wakati distance uliyotembea umetembea kwa 3billion years.
Hii inatokana na time dilation, na Lenght contraction
 
Impossible is possible mkuu ata hapa tulipofikia Kuna watu walisemaga haiwezekan ,labd limit itakua ni technology tu na knowledge miaka 1000 mbele ,kwa kizazi Chao watakua wamemodify vitu atleast
 
Impossible is possible mkuu ata hapa tulipofikia Kuna watu walisemaga haiwezekan ,labd limit itakua ni technology tu na knowledge miaka 1000 mbele ,kwa kizazi Chao watakua wamemodify vitu atleast
Sawa, lakini to our current understanding and theories..it is impossible.
So kuongelea possibility ya kurudi past ni sawa na kuongelea possibility ya binadamu kuwa na uwezo wa kujigeuza kuwa paka.
Cool thoughts, but nevertheless impossible
 
' The only reason for time is so that everything doesn't happen at once'

Albert Einstein
 
Science inatafsiri uumbaji.

Hakuna kitu kipya kwa wanasayansi wanatueleza tu Mungu alivyovifanya tayari ila kwa Lugha yao iliyojaa mbwembwe nyingi ila hawana lolote.
 
Time travel is impossible sababu considerably mass increases with speed acceleration.
 
Physically ni ngumu mkuu,kusafir Zaid ya speed ya light , consequences unaweza kujikuta kweny black holes mazimaa
Kivipi? Kwanini ni ngumu physically?
Na kivipi ujikute kwenye blackhole?
 
Kivipi? Kwanini ni ngumu physically?
Na kivipi ujikute kwenye blackhole?
Iko ivi any body in motion inatumia energy(nishati) ambay Ina functional na mass na velocity sas beyond speed of light hakuna matter yoyote katka universe inayoweza withstand iyo nishati ata nukta ,particle na ndio maan smallest particle ikaw iyo photon of light otherwise utujuze mwanasayansi... nieleweke apo.
 
Hii haiwezakani
If we travel to the past then we can change the present and the future
Imagine the consequences
That's impossible.
Wanasema if you travel to the past, that past becomes your future, and your real future becomes the past which now cannot be changed by your present future.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…