Tunatumia theory na/ hypothesis kwa kuzingatia facts zingine za kisayansi ambazo tayari zipo!Mkuu napenda sayansi ila hii story nadhani iko uku bongo tu alienda wap akat mwanadanu hajawai safiri zaid ya 2second of speed of light ambao ni umbali wa dunian na kwenye mwezi uyo alienda wapi na kwa chombo gani? Hii ni nadhalia tu
Nyie ndio mnachanganya...hii sio ngumu ni impossible.
You can not travel through space faster than light hiyo ni sheria ya ulimwengu tunaoishi.
Hiyo sheria ndio imefanya matter na energy kuexist.
Kungekuwa hakuna speed limit, kusingekuwa na causality na ulimwengu tunaoujua na kuupenda usingeform.
Mtaalamu Albert Einstein kaacha maswali mengi kuliko majibu kupitia Three dimension (3D) theory, Einstein anasema kwamba kitu chochote kinachokwenda katika mwendo kasi kitaloss gravitation na kucover large space at short time.
Na Ndipo hapa suala la space and time linaleta sintofahamu. Ukitumia speed kubwa sana kuikaribia speed ya mwanga kifizikia 3×10^8m/s una uwezo wa kurudi nyuma ya MUDA(TIME).
Anasema basi mwanadamu atakua na uwezo wa kwenda at the PAST (TIME TRAVELER).
Wataalamu wa Anga na fizikia inawezekanaje hili Jambo kwa dunia ya Sasa? Kuna Siri gani?
You can not change the past.....Hii haiwezakani
If we travel to the past then we can change the present and the future
Imagine the consequences
Hii speed limit sio kwa mass tu...no information can travel through space faster than light.Kwa idea yako wewe the only way ya kusafiri ni lazima iwe hivi hivi?body of mass?umewahi waza njia zingine? hologram unaifaham?
Hakuna kurudi past. The best you can get is time kustop ila sio kurudi nyuma.
Na hii ni kwasababu ya speed limit ya causality yani nothing can travel faster than 299,792,458 m/s
Na katika hiyo speed ndio inakua time imestop.
So Kama wewe ni photon uliyetoka galaxy iliyo 3billion lightyears away...ukiondoka huko na kufika duniani kwako inakuwa instantly, yani in 0seconds...wakati distance uliyotembea umetembea kwa 3billion years.
Hii inatokana na time dilation, na Lenght contraction
Unajua kwanini huwezi kusafiri zaidi ya speed ya mwanga?
Safi.Time ni nn!??
Ukijibu hilo swali basi inawezekana.
Ukisoma kitabu cha stephene Hawk na kile Reality is not real kuna concept nyingi za future science kwenye cosmology kitabu kimeelezea mpaka mwanzo wa mda na before big bang kulikuwa na nn, kuna promising kubwa majibu yatapatikana.
Pia kimeeleza mpaka ulimwengu ni duara ya 4d ukisafiri in straight line utarudi pale pale
Uko sahihi kwa kiasi kikubwaHakuna na haitakuja kutokea kitu chochote kilicho tengenezwa na binadamu kikaweza kusafiri kwa speed ya mwanga, kwanini?, kwasababu kitu kiweze kusafiri kwa speed ya mwanga kinabidi kwanza uzito (mass) upotee kabisa na matter (maada) lazima iwe na mass hivyo kabla ya kufikia speed ya mwanga lazima kita disintegrate (kuvunjika vunjika).
Mpaka sasa hivi ni photons tu za mwanga ndo zinasafiri kwa hiyo speed, na kumbuka photons hazijatengenezwa na binadamu bali ziligunduliwa tu kuwa kwenye mwanga kuna photons. Mpaka sasa hakuna mwenye uwezo wa kutengeneza hizi photons za mwanga inakuwaje mtu useme kuwa itawezekana kutengeneza chombo kikubwa cha kuweka binadamu kinachosafiri kwa speed ya light.
Uko sahihi kwa kiasi kikubwa
Evolution ya Science inataka kuvunja huo ukuta.
Matter is where we are blocked...
But inside Matter there is even all which is not Matter...
Sasa hivi Science inahangaika na SMART LIFE..
Kwa mfano kwa sasa kuna Engineering juu ya DNA...
DNA itatuletea majawabu mengi sana....
Nayo ina Derivatives in Billions...
But the beuty of this is Energy which is everywhere...
The Light itself is an Energy...
Behing the Matter there is an Energy...
So at times we de-code these codes...
Everything shall be possible...
Hapa iko hivi;
Mass of gravity ni sawasawa na oxygen atom za kwenye space ya kawaida wakati acceleration ya photon yenye 2.0999 per second inafunction kikawaida kwenye radiation za estomosisi . Jambo hili pia linaweza kitokea iwapo time travelling ita respond na intactibility ya mwang wa jua tulionao kwa sasa.. simpo tu
Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
Ni kwamba ukienda past ile past inageuka future yako na ukibadilisha chochote basi tayari utakuwa umetengeneza timeline nyingine.Am completely lost...
Sijaelewa lolote
Theory ya writer inamake sense a lot.Hulk, Avengers: Endgame.
Kipo kinachokimbia zaidi ya mwangaMkuu hauwezi kurudi kwa past labda usafiri zaidi ya spidi ya mwanga.
Na hakuna kitu chenye mass kinaweza kusafiri kwa spidi ya mwanga.
Hakuna kitu chochote kinaweza kuvuka spidi ya mwanga
Ukisafiri kwa spidi ya mwanga, muda unasimama.
Yani mfano wewe ukisafiri kwa spidi ya mwanga kwa miaka billioni moja halafu ukasimama...Wewe utaona ni kufumba na kufumbua haijachukua hata sekunde.
Na utakuwa uko wapi ukiamua kusimama?Mkuu hauwezi kurudi kwa past labda usafiri zaidi ya spidi ya mwanga.
Na hakuna kitu chenye mass kinaweza kusafiri kwa spidi ya mwanga.
Hakuna kitu chochote kinaweza kuvuka spidi ya mwanga
Ukisafiri kwa spidi ya mwanga, muda unasimama.
Yani mfano wewe ukisafiri kwa spidi ya mwanga kwa miaka billioni moja halafu ukasimama...Wewe utaona ni kufumba na kufumbua haijachukua hata sekunde.
Hakuna kitu chenye mass kinachoweza kusafiri through space kuzidi spidi ya mwanga.Kipo kinachokimbia zaidi ya mwanga
Ulimwengu una expand kuliko speed ya mwanga