Sio kabisa tu hata siasa wanevuruga pia ..Wachaga wanalivuruga sana hili kanisa.
Nakazia.Chanzo fedha, mpunga, Ankara, dooo
Ova
Majuzi Arusha waumini ikabidi wakomboe hotel ya Corridor Spring kutoka benki ya CRDB, mikopo ya aina hiyohiyo. Sharika zikapangiwa uwiano usiolipilika, waumini wakajikamua hadi deni likaisha. Bado tu hawakomi hawa viongozi?hapa juzi huku nako ilikuwa kulipa pesa isiyojulikana,
sasa hili kanisa inakuwaje, tutahamia wapi
Madhara ya uasi toka katoliki ndio hayohapa juzi huku nako ilikuwa kulipa pesa isiyojulikana,
sasa hili kanisa inakuwaje, tutahamia wapi
Haiwezekani kabisa. Kula wale wao, kulipa tulipe sisi!Nakumbuka sana chuo cha SEKOMU kilifirisika kwa sababu ya hawahawa viongozi wa KKKT na mzigo uliletwa kwa waumini yaani wao walikula hela,waumini wakalipa
Jerry alikua noma sana nafikiri ilikuwa miaka ya late 1990 au early 2000 kama sijakosea. Jamaa nasikia alikuwa akipiga pamba na kusukuma ndinga kali balaa pamoja na chuchuz.Halaf waje waseme hafai kuwa Mkuu wa Kanisa maana hashughulikii migogoro kwenye dayosisi
Yule Askofu Mwaikali mhuni tu, yupo sawa na Askofu mmoja wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani aliitwa Jerry Mngwamba, huyu alikuwa Askofu hapa halaf familia inaishi Ulaya, kila weekend anapanda zake ndege anakwenda kula bata Ulaya Kanisa likakosa Uongozi
Gazeti hili limeandika tofauti na chanzo kinachojulikaSIRI imefichuka, kwamba kiini cha mgogoro unaofukuta ndani ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Konde, Mbeya, kinatajwa kuwa ni kuficha udanganyifu kwenye mkopo uliochukuliwa na Kanisa hilo, takribani miaka minane iliyopita.
Raia Mwema ilielezwa kuwa baadhi ya viongozi wa Dayosisi ya Konde, wanatuhumiwa kughushi nyaraka za Kanisa, ikiwamo mihutasari wa vikao vya Bodi kwa lengo la kuwezesha kutolewa mkopo huo (miaka 8 iliyopita).
Taarifa kutoka ndani ya Kanisa hilo zinasema, baadhi ya wakubwa ndani ya KKKT wameanzisha mgogoro katika Dayosisi ya Konde, ili kuficha udhaifu wa deni la takribani Sh bilioni 4.7 zinazodaiwa Kanisa na benki ya kibiashara ya CBA.
Benki ya CBA Commercial Bank of Africa-ilitoa kwa Kanisa Sh bilioni 1.7, kufadhili ujenzi wa ukumbi katika chuo kikuu cha Makumila, tawi la Mbeya, kilichoko Uyole (kilikufa kwa ubadhirifu), ambacho zamani kilitambulika kama Chuo cha Ualimu Uyole.
Hata hivyo, mkopo huo haukutumika kama ulivyopangwa, badala yake waliokuwa viongozi wa Kanisa, walizielekeza kwenye matumizi mengine binafsi ambayo hayakufahamika na Kanisa. Mpaka sasa, deni la Benki kwa KKKT, Dayosisi ya Konde limefikia Sh. bilioni 4.7 na tayari benki hiyo, imekwenda mahakamani na kupata amri ya kulipwa deni lake.
Mkopo huo, ulichukuliwa wakati Dayosisi ya Konde, ikiongozwa na Askofu Israel Mwakyolile (Msaidizi wake akiwa Mwakihaba aliyeteuliwa kuwa Askofu sasa), huku Mkuu wa KKKT, akiwa Askofu Dk. Alex Malasusa, ambaye alimaliza utumishi wake kwa mujibu wa Katiba ya Kanisa hilo mwaka 2015.
Nyaraka ambazo gazeti Raia Mwema imezipata, zinaonesha kuwa Kanisa lilitumia majengo ya hoteli ya Matema Beach yaliyopo Ziwa Nyasa Kyela, kama dhamana ya kujipatia mkopo benki.
"Askofu Mwakyolile akishirikana na Mchungaji Mwakihaba walichota fedhia za mkopo, lakini ghafla Mwakihaba ameteuliwa na Askofu Shoo kuwa Askofu wa Konde katika mazingira ya kutatanisha," alieleza mmoja wa wachungaji wa Kanisa hilo
Kwa mujibu wa mtoa taarifa, kinachomponza Askofu Mwaikali, ni msimamo wake wa kugoma kusaini nyaraka za kuitoa hoteli ya Matema Beach kwa "wafanyabiashara wawili mashuhuri jijini Mbeya (wamiliki wa hoteli kubwa jijini Mbeya), ambao wamekubali kulipa deni la benki (nyongeza kwa ahadi ya kusimamia hoteli kwa miaka 100).
Benki ya CBA ilipeleka shauri mahakamani kulishitaki Kanisa. Wakati huo Malasusa aliishaondoka madarakani na Askofu Shoo Akakana kulijua hilo deni.
Kanisa likaunda Tume iliyoongozwa na Askofu wa Singida, Alinikisa Mkumbo, ikabaini 'madudu' yaliyomgusa Askofu Mwakyolile na kustaafu kabla ya wakati.
Askofu Shoo alishikilia msimamo, kuwa mkopo si wa Kanisa, lakini akaamua kuwaacha akina Mwakyolile kwa sababu binafsi, Hili linalotokea sasa, chanzo chake ni hicho"
Baraza la Maaskofu la KKKT, linatarajiwa kukutana Dodoma, Jumatatu ijayo ambako moja ya ajenda zinazotarajiwa kutawala, ni mgogoro ulioibuka kwenye Dayosisi ya Konde
Kwa mujibu wa taarifa kutoka ndani ya Kanisa hilo, maaskofu karibu wote, wamekasirishwa na kitendo cha mkuu wao wa Kanisa, Askofu Dk Fredrick Shoo kuchochea mgogoro kwenye Dayosisi hiyo na makanisa mengine ya KKKT.
"Haya mambo yakiachwa hivi, kesho hawa watu wanaweza kutengeneza magenge na kuwang'oa maaskofu wasiowataka," alieleza Askofu mmoja wa KKKT, ambaye hakupenda kutajwa gazetini.
Alisema, "tunakwenda Dodoma, tukiwa tunakumbuka madhila yaliyompata mwenzetu. Tunakwenda tukiwa wamoja na tunataka vitendo hivi vya kupinduana kinyemela vikomeshwe kwenye Kanisa letu.
Chanzo: Raia Mwema, Machi 26, 2022
NB
Kwanini Shoo kajiingiza kwenye mgogoro? Baadhi wanadai siku zote toka achaguliwe Askofu Mwaikali na baadhi ya maaskofu wasomi wamekuwa tishio kwa Askofu Shoo kuchukua nafasi yake.
View attachment 2165336
Gazeti hili limeandika tofauti na chanzo kinachojulika
Chanzo cha mgogoro ni juu ya wapi pawe makao makuu ya Dayosisi ya Konde, Mbeya mjini au yawe Tukuyu. Hata kesi aliuoipeleka mahakamani Askofu Mwaikali ni ya kuhusu wapi pawe makao makuu, hili la ufisadi ndo nalisikia.Kama ni hivyo basi na Mwaikali ni mnafiki,hajasema kile kinacholisibu Kanisa.
Lakini hayo yamepita maana Mkutano mkuu ambao ndicho chombo chenye mamlaka ya juu kimeisha amua tayari tangu tarehe 22.03.2022 na ni kwa mujibu wa katiba ya KKKT
Hii inapotosha ukweli kabisa,kiini cha mgogoro uliopo ni kuhamisha makao makuu ya dayosisi kutoka Tukuyu na kwenda Mbeya Mjini katika usharika wa Ruanda,ofisi za Askofu ziko ofisi ya Rwanda ingawa Usharika anaosali Uko Betheli na kuna kiti chake cha Askofu ila KITI CHA UASKOFU KIPO USHARIKA WA RWANDA.SIRI imefichuka, kwamba kiini cha mgogoro unaofukuta ndani ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Konde, Mbeya, kinatajwa kuwa ni kuficha udanganyifu kwenye mkopo uliochukuliwa na Kanisa hilo, takribani miaka minane iliyopita.
Raia Mwema ilielezwa kuwa baadhi ya viongozi wa Dayosisi ya Konde, wanatuhumiwa kughushi nyaraka za Kanisa, ikiwamo mihutasari wa vikao vya Bodi kwa lengo la kuwezesha kutolewa mkopo huo (miaka 8 iliyopita).
Taarifa kutoka ndani ya Kanisa hilo zinasema, baadhi ya wakubwa ndani ya KKKT wameanzisha mgogoro katika Dayosisi ya Konde, ili kuficha udhaifu wa deni la takribani Sh bilioni 4.7 zinazodaiwa Kanisa na benki ya kibiashara ya CBA.
Benki ya CBA Commercial Bank of Africa-ilitoa kwa Kanisa Sh bilioni 1.7, kufadhili ujenzi wa ukumbi katika chuo kikuu cha Makumila, tawi la Mbeya, kilichoko Uyole (kilikufa kwa ubadhirifu), ambacho zamani kilitambulika kama Chuo cha Ualimu Uyole.
Hata hivyo, mkopo huo haukutumika kama ulivyopangwa, badala yake waliokuwa viongozi wa Kanisa, walizielekeza kwenye matumizi mengine binafsi ambayo hayakufahamika na Kanisa. Mpaka sasa, deni la Benki kwa KKKT, Dayosisi ya Konde limefikia Sh. bilioni 4.7 na tayari benki hiyo, imekwenda mahakamani na kupata amri ya kulipwa deni lake.
Mkopo huo, ulichukuliwa wakati Dayosisi ya Konde, ikiongozwa na Askofu Israel Mwakyolile (Msaidizi wake akiwa Mwakihaba aliyeteuliwa kuwa Askofu sasa), huku Mkuu wa KKKT, akiwa Askofu Dk. Alex Malasusa, ambaye alimaliza utumishi wake kwa mujibu wa Katiba ya Kanisa hilo mwaka 2015.
Nyaraka ambazo gazeti Raia Mwema imezipata, zinaonesha kuwa Kanisa lilitumia majengo ya hoteli ya Matema Beach yaliyopo Ziwa Nyasa Kyela, kama dhamana ya kujipatia mkopo benki.
"Askofu Mwakyolile akishirikana na Mchungaji Mwakihaba walichota fedhia za mkopo, lakini ghafla Mwakihaba ameteuliwa na Askofu Shoo kuwa Askofu wa Konde katika mazingira ya kutatanisha," alieleza mmoja wa wachungaji wa Kanisa hilo
Kwa mujibu wa mtoa taarifa, kinachomponza Askofu Mwaikali, ni msimamo wake wa kugoma kusaini nyaraka za kuitoa hoteli ya Matema Beach kwa "wafanyabiashara wawili mashuhuri jijini Mbeya (wamiliki wa hoteli kubwa jijini Mbeya), ambao wamekubali kulipa deni la benki (nyongeza kwa ahadi ya kusimamia hoteli kwa miaka 100).
Benki ya CBA ilipeleka shauri mahakamani kulishitaki Kanisa. Wakati huo Malasusa aliishaondoka madarakani na Askofu Shoo Akakana kulijua hilo deni.
Kanisa likaunda Tume iliyoongozwa na Askofu wa Singida, Alinikisa Mkumbo, ikabaini 'madudu' yaliyomgusa Askofu Mwakyolile na kustaafu kabla ya wakati.
Askofu Shoo alishikilia msimamo, kuwa mkopo si wa Kanisa, lakini akaamua kuwaacha akina Mwakyolile kwa sababu binafsi, Hili linalotokea sasa, chanzo chake ni hicho"
Baraza la Maaskofu la KKKT, linatarajiwa kukutana Dodoma, Jumatatu ijayo ambako moja ya ajenda zinazotarajiwa kutawala, ni mgogoro ulioibuka kwenye Dayosisi ya Konde
Kwa mujibu wa taarifa kutoka ndani ya Kanisa hilo, maaskofu karibu wote, wamekasirishwa na kitendo cha mkuu wao wa Kanisa, Askofu Dk Fredrick Shoo kuchochea mgogoro kwenye Dayosisi hiyo na makanisa mengine ya KKKT.
"Haya mambo yakiachwa hivi, kesho hawa watu wanaweza kutengeneza magenge na kuwang'oa maaskofu wasiowataka," alieleza Askofu mmoja wa KKKT, ambaye hakupenda kutajwa gazetini.
Alisema, "tunakwenda Dodoma, tukiwa tunakumbuka madhila yaliyompata mwenzetu. Tunakwenda tukiwa wamoja na tunataka vitendo hivi vya kupinduana kinyemela vikomeshwe kwenye Kanisa letu.
Chanzo: Raia Mwema, Machi 26, 2022
NB
Kwanini Shoo kajiingiza kwenye mgogoro? Baadhi wanadai siku zote toka achaguliwe Askofu Mwaikali na baadhi ya maaskofu wasomi wamekuwa tishio kwa Askofu Shoo kuchukua nafasi yake.
View attachment 2165336
Hii inapotosha ukweli kabisa,kiini cha mgogoro uliopo ni kuhamisha makao makuu ya dayosisi kutoka Tukuyu na kwenda Mbeya Mjini katika usharika wa Ruanda,ofisi za Askofu ziko ofisi ya Rwanda ingawa Usharika anaosali Uko Betheli na kuna kiti chake cha Askofu ila KITI CHA UASKOFU KIPO USHARIKA WA RWANDA.baada ya kulazimisha kibabe makao makuu yahamie Mbeya mjini na stering Mkuu ni mkuu wa jimbo ambapo hapo Usharika wa Ruanda ndipo ilipo ofisi ya jimbo.Mchungaji mwakihaba alijiuzuru usaidizi wa Askofu maana alikua msaidizi wa Askofu Mwaikali aliyetenguliwa baadae katibu mkuu naye akajiuzuru nafasi yake,mgogoro ulianza kushika kasi baada ya washarika kuanza kuandamana hasa wa Tukuyu ambapo yalikua makao makuu baada ya jengo la dayosisi kupangishwa bank ya CRDB kwa njia za panya.
Baadae sharikanza Mbeya mjini nazo zikaanza mgomo kwa kusitisha mapato ya kila jumapili kwenda jimboni na dayosisi hapo mgogoro ukakua Kwa sababu wachungaji walishindwa kupata mishahara toka dayosisi.
Mgogoro kiini chake ni kuhamishwa ofisinza dayosisi na sio hayo maelezo ya kihuni.Askofu Shoo aliingilia kati baada ya kuona washarika wa dayosisi ya Konde wameshagawanyika,wachungaji nao wamegawanyika na takribani wachungaji 50 walisimamishwa uchungaji akiwepo Askofu mteule Mchungaji mwakihaba,vimefanyika vikao zaidi ya 55 kusuluhisha mgogoro lakini ilishindikana ndipo Baba Askofu aliingilia kati kwa kusimamisha halmashauri kuu ya dayosisi na ikaundwa kamati ya kusimamia ikiwa chini Askofu Malasusa ambao walikua na jukumu kuivusha dayosisi hadi uchaguzi ufanyike,pande zote mbili wale waliohamisha dayosisi na wale wanaotaka dayosisi irudi Tukuyu lakini hawakufikia muafaka baada ya upande wa Askofu Mwaikali kukacha vikao kisa wanasema Askofu Shoo kawaingilia na hana mamlaka hayo wakati sio Kweli.
Ilipofikia sasa hivi Askofu Mwakihaba ni Askofu halali ila mamlaka ya kiti bado wanacho kina Mwaikali na mkuu wa jimbo ambaye ndiye swaiba wake mkuu na Ndio mcheza michezo michafu yote.kwa kifupi ndo iko hivyo ingawa bado juhudi za kuchukua kiti zinaendelea
Umesoma vizuri content yangu?mi nilichoelezea kiini cha mgogoro ni kuhusu kuamishwa kwa ofisi za dayosisi na sio hicho walichoandika hapo kua ni ishu ya pesaUsilo lijua wewe hawa watu wamejianika wenyewe huku uraiani kwa vile kila kikao cha pande mbili zinazovutana kinakuwa na waandishi wa habari. Fanya utafiti wako vizuri. Kila upande unamapungufu yake. Na Katiba ya KKKT ina vipengele baadhi vinavyo ifanya kujisimamia yenyewe iwe na ugumu flani hivi. Wako watu wahusika kuiandika walichomeka maslahi yao flani ambayo kimsingi si maslahi ya Kazi ya Mungu na Bwana Yesu Kristo.
Vikao vingi vya Dayosisi lazima viitishwe na Mkuu wa Dayosisi sawa. Mkuu wa Dayosisi akiwa ni agenda ya kikao anaitishaje kikao kitakacho mjadili na pengine kumng'oa? Hivyo hivyo kwa majimbo na makanisa yao. Kukitokea tatizo linalo muhusu Kiongozi kulitatua inabidi waumini watumie njia ya crisis kama hivi, ndiyo hiyo migogoro inazuka.