Best Tanzania
JF-Expert Member
- Aug 8, 2020
- 483
- 688
Wazo zuri🙄Mi Nashauri Kondoo Wa Bwana tulipe kwanza huu mkopo Hayo mambo tuwaachie wao na Mungu wao watajuana.
Kumbe na huku kkkt nako wanagombanaga nilidhani hayo mambo yapo kwenye makanisa madogo madogo tuSIRI imefichuka, kwamba kiini cha mgogoro unaofukuta ndani ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Konde, Mbeya, kinatajwa kuwa ni kuficha udanganyifu kwenye mkopo uliochukuliwa na Kanisa hilo, takribani miaka minane iliyopita.
Raia Mwema ilielezwa kuwa baadhi ya viongozi wa Dayosisi ya Konde, wanatuhumiwa kughushi nyaraka za Kanisa, ikiwamo mihutasari wa vikao vya Bodi kwa lengo la kuwezesha kutolewa mkopo huo (miaka 8 iliyopita).
Taarifa kutoka ndani ya Kanisa hilo zinasema, baadhi ya wakubwa ndani ya KKKT wameanzisha mgogoro katika Dayosisi ya Konde, ili kuficha udhaifu wa deni la takribani Sh bilioni 4.7 zinazodaiwa Kanisa na benki ya kibiashara ya CBA.
Benki ya CBA Commercial Bank of Africa-ilitoa kwa Kanisa Sh bilioni 1.7, kufadhili ujenzi wa ukumbi katika chuo kikuu cha Makumila, tawi la Mbeya, kilichoko Uyole (kilikufa kwa ubadhirifu), ambacho zamani kilitambulika kama Chuo cha Ualimu Uyole.
Hata hivyo, mkopo huo haukutumika kama ulivyopangwa, badala yake waliokuwa viongozi wa Kanisa, walizielekeza kwenye matumizi mengine binafsi ambayo hayakufahamika na Kanisa. Mpaka sasa, deni la Benki kwa KKKT, Dayosisi ya Konde limefikia Sh. bilioni 4.7 na tayari benki hiyo, imekwenda mahakamani na kupata amri ya kulipwa deni lake.
Mkopo huo, ulichukuliwa wakati Dayosisi ya Konde, ikiongozwa na Askofu Israel Mwakyolile (Msaidizi wake akiwa Mwakihaba aliyeteuliwa kuwa Askofu sasa), huku Mkuu wa KKKT, akiwa Askofu Dk. Alex Malasusa, ambaye alimaliza utumishi wake kwa mujibu wa Katiba ya Kanisa hilo mwaka 2015.
Nyaraka ambazo gazeti Raia Mwema imezipata, zinaonesha kuwa Kanisa lilitumia majengo ya hoteli ya Matema Beach yaliyopo Ziwa Nyasa Kyela, kama dhamana ya kujipatia mkopo benki.
"Askofu Mwakyolile akishirikana na Mchungaji Mwakihaba walichota fedhia za mkopo, lakini ghafla Mwakihaba ameteuliwa na Askofu Shoo kuwa Askofu wa Konde katika mazingira ya kutatanisha," alieleza mmoja wa wachungaji wa Kanisa hilo
Kwa mujibu wa mtoa taarifa, kinachomponza Askofu Mwaikali, ni msimamo wake wa kugoma kusaini nyaraka za kuitoa hoteli ya Matema Beach kwa "wafanyabiashara wawili mashuhuri jijini Mbeya (wamiliki wa hoteli kubwa jijini Mbeya), ambao wamekubali kulipa deni la benki (nyongeza kwa ahadi ya kusimamia hoteli kwa miaka 100).
Benki ya CBA ilipeleka shauri mahakamani kulishitaki Kanisa. Wakati huo Malasusa aliishaondoka madarakani na Askofu Shoo Akakana kulijua hilo deni.
Kanisa likaunda Tume iliyoongozwa na Askofu wa Singida, Alinikisa Mkumbo, ikabaini 'madudu' yaliyomgusa Askofu Mwakyolile na kustaafu kabla ya wakati.
Askofu Shoo alishikilia msimamo, kuwa mkopo si wa Kanisa, lakini akaamua kuwaacha akina Mwakyolile kwa sababu binafsi, Hili linalotokea sasa, chanzo chake ni hicho"
Baraza la Maaskofu la KKKT, linatarajiwa kukutana Dodoma, Jumatatu ijayo ambako moja ya ajenda zinazotarajiwa kutawala, ni mgogoro ulioibuka kwenye Dayosisi ya Konde
Kwa mujibu wa taarifa kutoka ndani ya Kanisa hilo, maaskofu karibu wote, wamekasirishwa na kitendo cha mkuu wao wa Kanisa, Askofu Dk Fredrick Shoo kuchochea mgogoro kwenye Dayosisi hiyo na makanisa mengine ya KKKT.
"Haya mambo yakiachwa hivi, kesho hawa watu wanaweza kutengeneza magenge na kuwang'oa maaskofu wasiowataka," alieleza Askofu mmoja wa KKKT, ambaye hakupenda kutajwa gazetini.
Alisema, "tunakwenda Dodoma, tukiwa tunakumbuka madhila yaliyompata mwenzetu. Tunakwenda tukiwa wamoja na tunataka vitendo hivi vya kupinduana kinyemela vikomeshwe kwenye Kanisa letu.
Chanzo: Raia Mwema, Machi 26, 2022
NB
Kwanini Shoo kajiingiza kwenye mgogoro? Baadhi wanadai siku zote toka achaguliwe Askofu Mwaikali na baadhi ya maaskofu wasomi wamekuwa tishio kwa Askofu Shoo kuchukua nafasi yake.
View attachment 2165336
Huko nako matatizo ni yale yale hao watawa wanawalawiti watoto wa kiumeSasa naelewa kwanini watawa wa Roman catholic hawaoi
Waache wakutane na jela.
Anafahamu maana ya:
1.Mkuu wa kanisa?
2.Askofu Mkuu?
Akijua kutofautisha 1 na 2 atulie.
Kanisa la KKKT ndilo lenye usajili nchini.
Hakuna KKK KONDE bila mwavuli wa KKKT.Mahakama ilimshauri wakakae mezani,waliomwita mezani wakampa arudishe kiti hakutii.
Anadhani Mkuu wa kanisa anafanya kazi bila vyombo vya ulinzi kiini cha mgogolo.Askofu hadi unafukuzwa msibani huwezi Jitafakari
Pole sana kamanda.Huko nako matatizo ni yale yale hao watawa wanawalawiti watoto wa kiume
Asante mtawaPole sana kamanda.
Acha kukurupukaHuko nako matatizo ni yale yale hao watawa wanawalawiti watoto wa kiume
Haya makanisa hakuna wa kumnyooshea kidole mwenzake
Wote janja janja tu
Raia Mwema inajulikana kw habari za kughushi.SIRI imefichuka, kwamba kiini cha mgogoro unaofukuta ndani ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Konde, Mbeya, kinatajwa kuwa ni kuficha udanganyifu kwenye mkopo uliochukuliwa na Kanisa hilo, takribani miaka minane iliyopita.
Raia Mwema ilielezwa kuwa baadhi ya viongozi wa Dayosisi ya Konde, wanatuhumiwa kughushi nyaraka za Kanisa, ikiwamo mihutasari wa vikao vya Bodi kwa lengo la kuwezesha kutolewa mkopo huo (miaka 8 iliyopita).
Taarifa kutoka ndani ya Kanisa hilo zinasema, baadhi ya wakubwa ndani ya KKKT wameanzisha mgogoro katika Dayosisi ya Konde, ili kuficha udhaifu wa deni la takribani Sh bilioni 4.7 zinazodaiwa Kanisa na benki ya kibiashara ya CBA.
Benki ya CBA Commercial Bank of Africa-ilitoa kwa Kanisa Sh bilioni 1.7, kufadhili ujenzi wa ukumbi katika chuo kikuu cha Makumila, tawi la Mbeya, kilichoko Uyole (kilikufa kwa ubadhirifu), ambacho zamani kilitambulika kama Chuo cha Ualimu Uyole.
Hata hivyo, mkopo huo haukutumika kama ulivyopangwa, badala yake waliokuwa viongozi wa Kanisa, walizielekeza kwenye matumizi mengine binafsi ambayo hayakufahamika na Kanisa. Mpaka sasa, deni la Benki kwa KKKT, Dayosisi ya Konde limefikia Sh. bilioni 4.7 na tayari benki hiyo, imekwenda mahakamani na kupata amri ya kulipwa deni lake.
Mkopo huo, ulichukuliwa wakati Dayosisi ya Konde, ikiongozwa na Askofu Israel Mwakyolile (Msaidizi wake akiwa Mwakihaba aliyeteuliwa kuwa Askofu sasa), huku Mkuu wa KKKT, akiwa Askofu Dk. Alex Malasusa, ambaye alimaliza utumishi wake kwa mujibu wa Katiba ya Kanisa hilo mwaka 2015.
Nyaraka ambazo gazeti Raia Mwema imezipata, zinaonesha kuwa Kanisa lilitumia majengo ya hoteli ya Matema Beach yaliyopo Ziwa Nyasa Kyela, kama dhamana ya kujipatia mkopo benki.
"Askofu Mwakyolile akishirikana na Mchungaji Mwakihaba walichota fedhia za mkopo, lakini ghafla Mwakihaba ameteuliwa na Askofu Shoo kuwa Askofu wa Konde katika mazingira ya kutatanisha," alieleza mmoja wa wachungaji wa Kanisa hilo
Kwa mujibu wa mtoa taarifa, kinachomponza Askofu Mwaikali, ni msimamo wake wa kugoma kusaini nyaraka za kuitoa hoteli ya Matema Beach kwa "wafanyabiashara wawili mashuhuri jijini Mbeya (wamiliki wa hoteli kubwa jijini Mbeya), ambao wamekubali kulipa deni la benki (nyongeza kwa ahadi ya kusimamia hoteli kwa miaka 100).
Benki ya CBA ilipeleka shauri mahakamani kulishitaki Kanisa. Wakati huo Malasusa aliishaondoka madarakani na Askofu Shoo Akakana kulijua hilo deni.
Kanisa likaunda Tume iliyoongozwa na Askofu wa Singida, Alinikisa Mkumbo, ikabaini 'madudu' yaliyomgusa Askofu Mwakyolile na kustaafu kabla ya wakati.
Askofu Shoo alishikilia msimamo, kuwa mkopo si wa Kanisa, lakini akaamua kuwaacha akina Mwakyolile kwa sababu binafsi, Hili linalotokea sasa, chanzo chake ni hicho"
Baraza la Maaskofu la KKKT, linatarajiwa kukutana Dodoma, Jumatatu ijayo ambako moja ya ajenda zinazotarajiwa kutawala, ni mgogoro ulioibuka kwenye Dayosisi ya Konde
Kwa mujibu wa taarifa kutoka ndani ya Kanisa hilo, maaskofu karibu wote, wamekasirishwa na kitendo cha mkuu wao wa Kanisa, Askofu Dk Fredrick Shoo kuchochea mgogoro kwenye Dayosisi hiyo na makanisa mengine ya KKKT.
"Haya mambo yakiachwa hivi, kesho hawa watu wanaweza kutengeneza magenge na kuwang'oa maaskofu wasiowataka," alieleza Askofu mmoja wa KKKT, ambaye hakupenda kutajwa gazetini.
Alisema, "tunakwenda Dodoma, tukiwa tunakumbuka madhila yaliyompata mwenzetu. Tunakwenda tukiwa wamoja na tunataka vitendo hivi vya kupinduana kinyemela vikomeshwe kwenye Kanisa letu.
Chanzo: Raia Mwema, Machi 26, 2022
NB
Kwanini Shoo kajiingiza kwenye mgogoro? Baadhi wanadai siku zote toka achaguliwe Askofu Mwaikali na baadhi ya maaskofu wasomi wamekuwa tishio kwa Askofu Shoo kuchukua nafasi yake.
View attachment 2165336
Pole sana mkuu, wewe pia ulilawitiwa ulivyokuwa mdogo?Huko nako matatizo ni yale yale hao watawa wanawalawiti watoto wa kiume
Haya makanisa hakuna wa kumnyooshea kidole mwenzake
Wote janja janja tu
Ungekua hukurupuki ni mtu wa mipango usingekua unaishi hayo maisha ya kuunga unga na gundiAcha kukurupuka
Nyie waumini mnajitoaga ufahamu,ina maana wewe husikii kwenye vyombo vya habari duniani kuhusu hizo taarifa na kashfa kutoka vatican mpk mapapa wanajiuzulu?Pole sana mkuu, wewe pia ulilawitiwa ulivyokuwa mdogo?
Mleta mada hujui chochote kuhusu huo mgogoro,ila upo upande mmoja usioujua kiundani.
Kuhusu chuo kamuulize mstaafu mmoja mdegela atakuambia A to Z.
Mleta mada ww ni miongoni mwa zoazoa mnaoharibu JF. Kitu kama umekopi na kupest onyesha upande uliopo.
BARAZA la Vijana wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania KKKT, Dayosisi ya Konde, limemtupia lawama Mkuu wa kanisa hilo nchini, Askofu Dk. Fredrick Shoo, likidai kuongoza mkutano wa kumwondoa Askofu wa dayosisi hiyo, Dk. Edward Mwaikali, badala ya kutafuta njia sahihi ya kumaliza mgogoro ....Nakumbuka sana chuo cha SEKOMU kilifirisika kwa sababu ya hawahawa viongozi wa KKKT na mzigo uliletwa kwa waumini yaani wao walikula hela,waumini wakalipa
Ndiyo maana naamini hao kina Mwaikali watakula sahani moja na dola.Waache wakutane na jela.
Anafahamu maana ya:
1.Mkuu wa kanisa?
2.Askofu Mkuu?
Akijua kutofautisha 1 na 2 atulie.
Kanisa la KKKT ndilo lenye usajili nchini.
Hakuna KKK KONDE bila mwavuli wa KKKT.Mahakama ilimshauri wakakae mezani,waliomwita mezani wakampa arudishe kiti hakutii.
Anadhani Mkuu wa kanisa anafanya kazi bila vyombo vya ulinzi kiini cha mgogolo.Askofu hadi unafukuzwa msibani huwezi Jitafakari
Sijawahi sikia baraza la vijana KKKT KONDE kuwa namamlaka yakutoa tamko.
Chawa wote wa Mwaikali wanapoteza muda.
1.Mkuu wa jimbo unatoa tamko kwa wajumbe wa mkutano mkuu huku ukijua unawajibika kwao.
2.Mkuu wa jimbo sio msemaji wa Dayosisi na wala wewe sio mtendaji Mkuu wa Dayosisi.
3.Mkuu wa jimbo unamtolea tamko Mkuu wa kanisa.
4.Mkuu wa jimbo hujuwi mipaka yako kiutumishi na huduma.
5.Mkuu wa jimbo hujui usajili wa Dayosisi ya konde ipo kitalu gani.
6.Mkuu wa kanisa amefanya yampasayo.Kama Mwaikali alikuwa sahihi hao wajumbe wa mkutano Mkuu hawangeitikia wito wa mgeni,wangesema hatukutambui.
ENYI WAPAMBE WA MWAIKALI KUBALINI BOSI WENU ALIONYESHA DHARAU KUHAMISHA UASKOFU MAHALIA BILA TARATIBU ZILIZOMPA FIMBO YA KIASKOFU
Endeleeni kupeleka sadaka huko wengine wameshaweka ndani 1.7b sisi waafrika sijui nani ametuloga na hizi dini za wazunguSIRI imefichuka, kwamba kiini cha mgogoro unaofukuta ndani ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Konde, Mbeya, kinatajwa kuwa ni kuficha udanganyifu kwenye mkopo uliochukuliwa na Kanisa hilo, takribani miaka minane iliyopita.