Yule jerry mngwamba aliishi kifahari sana, alichukua uraia wa marekani yeye na familia yake wakaenda kushi US, huku akiongoza kanisa kwa kutuma waraka kila jumapili...nakumbuka kila jumapili sharika zote za dayosisi lazima usomwe WARAKA KUTOKA KWA BABA ASKOFU JERRY MNGWAMBA' huku yeye yupo marekaniiiii....alikuwa mjanjajanja sanaJerry alikua noma sana nafikiri ilikuwa miaka ya late 1990 au early 2000 kama sijakosea. Jamaa nasikia alikuwa akipiga pamba na kusukuma ndinga kali balaa pamoja na chuchuz.
😁Alikuwa braza man. Halafu pamba zilikuwa zinamkubali, no kitambi.Jerry alikua noma sana nafikiri ilikuwa miaka ya late 1990 au early 2000 kama sijakosea. Jamaa nasikia alikuwa akipiga pamba na kusukuma ndinga kali balaa pamoja na chuchuz.
Hii yote ni kwasababu ya kanisa kutokuwa na hierachy inayoeleweka.SIRI imefichuka, kwamba kiini cha mgogoro unaofukuta ndani ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Konde, Mbeya, kinatajwa kuwa ni kuficha udanganyifu kwenye mkopo uliochukuliwa na Kanisa hilo, takribani miaka minane iliyopita.
Raia Mwema ilielezwa kuwa baadhi ya viongozi wa Dayosisi ya Konde, wanatuhumiwa kughushi nyaraka za Kanisa, ikiwamo mihutasari wa vikao vya Bodi kwa lengo la kuwezesha kutolewa mkopo huo (miaka 8 iliyopita).
Taarifa kutoka ndani ya Kanisa hilo zinasema, baadhi ya wakubwa ndani ya KKKT wameanzisha mgogoro katika Dayosisi ya Konde, ili kuficha udhaifu wa deni la takribani Sh bilioni 4.7 zinazodaiwa Kanisa na benki ya kibiashara ya CBA.
Benki ya CBA Commercial Bank of Africa-ilitoa kwa Kanisa Sh bilioni 1.7, kufadhili ujenzi wa ukumbi katika chuo kikuu cha Makumila, tawi la Mbeya, kilichoko Uyole (kilikufa kwa ubadhirifu), ambacho zamani kilitambulika kama Chuo cha Ualimu Uyole.
Hata hivyo, mkopo huo haukutumika kama ulivyopangwa, badala yake waliokuwa viongozi wa Kanisa, walizielekeza kwenye matumizi mengine binafsi ambayo hayakufahamika na Kanisa. Mpaka sasa, deni la Benki kwa KKKT, Dayosisi ya Konde limefikia Sh. bilioni 4.7 na tayari benki hiyo, imekwenda mahakamani na kupata amri ya kulipwa deni lake.
Mkopo huo, ulichukuliwa wakati Dayosisi ya Konde, ikiongozwa na Askofu Israel Mwakyolile (Msaidizi wake akiwa Mwakihaba aliyeteuliwa kuwa Askofu sasa), huku Mkuu wa KKKT, akiwa Askofu Dk. Alex Malasusa, ambaye alimaliza utumishi wake kwa mujibu wa Katiba ya Kanisa hilo mwaka 2015.
Nyaraka ambazo gazeti Raia Mwema imezipata, zinaonesha kuwa Kanisa lilitumia majengo ya hoteli ya Matema Beach yaliyopo Ziwa Nyasa Kyela, kama dhamana ya kujipatia mkopo benki.
"Askofu Mwakyolile akishirikana na Mchungaji Mwakihaba walichota fedhia za mkopo, lakini ghafla Mwakihaba ameteuliwa na Askofu Shoo kuwa Askofu wa Konde katika mazingira ya kutatanisha," alieleza mmoja wa wachungaji wa Kanisa hilo
Kwa mujibu wa mtoa taarifa, kinachomponza Askofu Mwaikali, ni msimamo wake wa kugoma kusaini nyaraka za kuitoa hoteli ya Matema Beach kwa "wafanyabiashara wawili mashuhuri jijini Mbeya (wamiliki wa hoteli kubwa jijini Mbeya), ambao wamekubali kulipa deni la benki (nyongeza kwa ahadi ya kusimamia hoteli kwa miaka 100).
Benki ya CBA ilipeleka shauri mahakamani kulishitaki Kanisa. Wakati huo Malasusa aliishaondoka madarakani na Askofu Shoo Akakana kulijua hilo deni.
Kanisa likaunda Tume iliyoongozwa na Askofu wa Singida, Alinikisa Mkumbo, ikabaini 'madudu' yaliyomgusa Askofu Mwakyolile na kustaafu kabla ya wakati.
Askofu Shoo alishikilia msimamo, kuwa mkopo si wa Kanisa, lakini akaamua kuwaacha akina Mwakyolile kwa sababu binafsi, Hili linalotokea sasa, chanzo chake ni hicho"
Baraza la Maaskofu la KKKT, linatarajiwa kukutana Dodoma, Jumatatu ijayo ambako moja ya ajenda zinazotarajiwa kutawala, ni mgogoro ulioibuka kwenye Dayosisi ya Konde
Kwa mujibu wa taarifa kutoka ndani ya Kanisa hilo, maaskofu karibu wote, wamekasirishwa na kitendo cha mkuu wao wa Kanisa, Askofu Dk Fredrick Shoo kuchochea mgogoro kwenye Dayosisi hiyo na makanisa mengine ya KKKT.
"Haya mambo yakiachwa hivi, kesho hawa watu wanaweza kutengeneza magenge na kuwang'oa maaskofu wasiowataka," alieleza Askofu mmoja wa KKKT, ambaye hakupenda kutajwa gazetini.
Alisema, "tunakwenda Dodoma, tukiwa tunakumbuka madhila yaliyompata mwenzetu. Tunakwenda tukiwa wamoja na tunataka vitendo hivi vya kupinduana kinyemela vikomeshwe kwenye Kanisa letu.
Chanzo: Raia Mwema, Machi 26, 2022
NB
Kwanini Shoo kajiingiza kwenye mgogoro? Baadhi wanadai siku zote toka achaguliwe Askofu Mwaikali na baadhi ya maaskofu wasomi wamekuwa tishio kwa Askofu Shoo kuchukua nafasi yake.
View attachment 2165336
hapa juzi huku nako ilikuwa kulipa pesa isiyojulikana,
sasa hili kanisa inakuwaje, tutahamia wapi
wanakemeaje uovu wakati maskofu wao ni wakola?hilo kanisa migogoro haitaisha na haijaanza juzi.hawa ni sawa na madhehebu mengine yaliyobaki kazi yao kubwa ni ukola tu ndo maana hata magari wanayotembelea ni posh car huwezi kukuta askofu wa kikatoloki akatembelea magari ya kifahari.Katoliki pekee ndio wameonyesha uwezo wa kuendesha miradi ya kiuchumi.
Siri kubwa kwao ni kufanikiwa kulitenga kanisa na shughuli zake za uchumi kwa kuanzisha mashirika yanayokua chini ya masista. Hawa wengini wanafeli maana askofu anajiona yuko juu ya miradi.
Wanachukua pesa kwwnye miradi na kuzitafuna bila huruma hadi miradi inakufa. Si ajabu hawa watu kushindwa kukemea uovu.
Walikulawiti lini ?Huko nako matatizo ni yale yale hao watawa wanawalawiti watoto wa kiume
Haya makanisa hakuna wa kumnyooshea kidole mwenzake
Wote janja janja tu
Walimlawiti mama yakoWalikulawiti lini ?
Wee dad etu nawe unasali kkkt kumbe hata mm nimuhumini mzuri na mtifu wa kanisa hilohapa juzi huku nako ilikuwa kulipa pesa isiyojulikana,
sasa hili kanisa inakuwaje, tutahamia wapi
Mpuuzi San mleta mada shoo anahusika vip na migogoro ya wanyakiyusaTangu mgogoro uanze hakuna hata upande mmoja uliowahi kutaja deni, mvutano ni makao makuu ya dayosisi hayo mengine ni kutapa tapa kwa waliofukuzwa.
Halafu unauliza Shoo ameingiaje? Kwamba hujui ni mkuu wa kanisa? Atulie tu wagawane mbao sio?
Umeeleza vzr San mkuuHii inapotosha ukweli kabisa,kiini cha mgogoro uliopo ni kuhamisha makao makuu ya dayosisi kutoka Tukuyu na kwenda Mbeya Mjini katika usharika wa Ruanda,ofisi za Askofu ziko ofisi ya Rwanda ingawa Usharika anaosali Uko Betheli na kuna kiti chake cha Askofu ila KITI CHA UASKOFU KIPO USHARIKA WA RWANDA.
Baada ya kulazimisha kibabe makao makuu yahamie Mbeya mjini na stering Mkuu ni mkuu wa jimbo ambapo hapo Usharika wa Ruanda ndipo ilipo ofisi ya jimbo.
Mchungaji mwakihaba alijiuzuru usaidizi wa Askofu maana alikua msaidizi wa Askofu Mwaikali aliyetenguliwa baadae katibu mkuu naye akajiuzuru nafasi yake,mgogoro ulianza kushika kasi baada ya washarika kuanza kuandamana hasa wa Tukuyu ambapo yalikua makao makuu baada ya jengo la dayosisi kupangishwa bank ya CRDB kwa njia za panya.
Baadae sharikanza Mbeya mjini nazo zikaanza mgomo kwa kusitisha mapato ya kila jumapili kwenda jimboni na dayosisi hapo mgogoro ukakua Kwa sababu wachungaji walishindwa kupata mishahara toka dayosisi.
Mgogoro kiini chake ni kuhamishwa ofisinza dayosisi na sio hayo maelezo ya kihuni. Askofu Shoo aliingilia kati baada ya kuona washarika wa dayosisi ya Konde wameshagawanyika,wachungaji nao wamegawanyika na takribani wachungaji 50 walisimamishwa uchungaji akiwepo Askofu mteule Mchungaji mwakihaba,
Vimefanyika vikao zaidi ya 55 kusuluhisha mgogoro lakini ilishindikana ndipo Baba Askofu aliingilia kati kwa kusimamisha halmashauri kuu ya dayosisi na ikaundwa kamati ya kusimamia ikiwa chini Askofu Malasusa ambao walikua na jukumu kuivusha dayosisi hadi uchaguzi ufanyike,pande zote mbili wale waliohamisha dayosisi na wale wanaotaka dayosisi irudi Tukuyu lakini hawakufikia muafaka baada ya upande wa Askofu Mwaikali kukacha vikao kisa wanasema Askofu Shoo kawaingilia na hana mamlaka hayo wakati sio Kweli.
Ilipofikia sasa hivi Askofu Mwakihaba ni Askofu halali ila mamlaka ya kiti bado wanacho kina Mwaikali na mkuu wa jimbo ambaye ndiye swaiba wake mkuu na Ndio mcheza michezo michafu yote.kwa kifupi ndo iko hivyo ingawa bado juhudi za kuchukua kiti zinaendelea
Umeainisha vyema snaaInawezekana kukawapo na deni kweli,lakini chanzo Cha mgogoro ni kuhamisha makao kinyemela. Mgogoro umeanzia chini na siyo huko unakokusema. Sasa Kama na Mwaikali ameona naye atafute wa kufa naye sawa.
Alipofukuzwa kanisani Askofu Mwaikali huko Tukuyu,Askofu Shoo alikuwepo? Au Malasusa? Mwaikali alikosea na sisi wanakonde tunaelewa. Awali makao makuu ya Dayosisi ya Konde yalikuwa Manow na yaliyamishiwa Tukuyu na Askofu Amon Mwakisunga, kwa nini hakukutokea mgogoro? Mwakisunga alishirikisha vikao vyote na vilitoa baraka zote.
Tusihamishe magoli chanzo cha mgogoro huu, ni kuhamishwa makao makuu kinyemela na ubabe wa baadhi ya wapambe wa Askofu Mwakisunga. Aidha ni vema kuelewa Askofu wa Dayosisi yoyote ya KKKT huchaguliwa na mkutano mkuu wa Dayosisi Hakuna Askofu anayechaguliwa na KKKT makao makuu ikimuondoa Dr. Mwakabana ambaye pia hakuwahi kuwa na Dayosisi Bali alitumika kusimamia Dayosisi zinazokuwa na migogoro mpaka itakapotatuliwa na akachaguliwa Askofu mwingine na mkutano mkuu wa Dayosisi husika then anaondoka na hii iliwahi tokea pindi Dayosisi ya Masharikina na Pwani ilipokuwa na mgogoro uliomuondoa Askofu Mgwamba kabla ya kuchaguliwa kwa Askofu Dr. Alex Malasusa.
Kuwepo kwa Askofu Dr. Shoo na Malasusa kwenye mkutano mkuu huwa Ni kawaida kwani uchaguzi wowote wa Askofu ni awepo msimamizi wa Uchaguzi ambaye ni Askofu kutoka Dayosisi nyingine atakayealikwa na halmashauri kuu ya dayosisi yenyewe au kupitia kwa Askofu aliyepo madarakani anayemaliza kama Ni uchaguzi wa kawaida.
Wajumbe wa mkutano mkuu huundwa na wajumbe kutoka sharika zote za Dayosisi. Idadi hutegemea na ukubwa wa sharika, kwamba sharika yenye washarika wengi huwa na idadi kubwa ya uwakilishi. Na mkutano mkuu wa Dayosisi ya Konde ulikuwa na wajumbe zaidi ya 1000. Na ndio waliopiga kura ya kumchagua Askofu mpya.
Mkuu wa kanisa husimamia zoezi la kumsimamisha au kumuondoa Askofu aliyekiuka maadili kwa kupokea taarifa kutoka halmashauri kuu ya dayosisi husika. Hushirikiana na maaskofu wengine kwa kufuata katiba ya kanisa.
Kwa kuwa Askofu anawekwa wakfu na kusimikwa na maaskofu, washarika wao huishia kumkataa tuu na siyo kumtoa kwani hawakumsimika wao.
Hivyo ni sahihi kwa Askofu Shoo kuwepo na kusimamia shughuli nzima na anaweza kumualika Askofu yeyote wa kusaidiana naye.
Kama kuna eneo siko Wana KKKT wamo humu watakosoa au wataboresha.
Malazuza ndie anaye injinia haya yote Yuko nyuma ya mgogoro huu wa kondeHuu mgogoro kiukweli haukutakiwa kusuluhishwa na malasusa Kwan anamaslah katika mgogoro huu.
Kwao ni huko tukuyu
Cjajua mgogoro wa wa dayosisi ya kusini umefikia wapi, maana jimbo la mufindi ni kma Crimea katika nchi ya Ukraine
Saas Hawa machawa Ni vijana wa luanda kkkt pale ambako ndio kiti Cha uaskofu imepelekwa kinyemela pale nawapata vzr San Hilo kundi la hao wahuniSijawahi sikia baraza la vijana KKKT KONDE kuwa namamlaka yakutoa tamko.
Chawa wote wa Mwaikali wanapoteza muda.
1.Mkuu wa jimbo unatoa tamko kwa wajumbe wa mkutano mkuu huku ukijua unawajibika kwao.
2.Mkuu wa jimbo sio msemaji wa Dayosisi na wala wewe sio mtendaji Mkuu wa Dayosisi.
3.Mkuu wa jimbo unamtolea tamko Mkuu wa kanisa.
4.Mkuu wa jimbo hujuwi mipaka yako kiutumishi na huduma.
5.Mkuu wa jimbo hujui usajili wa Dayosisi ya konde ipo kitalu gani.
6.Mkuu wa kanisa amefanya yampasayo.Kama Mwaikali alikuwa sahihi hao wajumbe wa mkutano Mkuu hawangeitikia wito wa mgeni,wangesema hatukutambui.
ENYI WAPAMBE WA MWAIKALI KUBALINI BOSI WENU ALIONYESHA DHARAU KUHAMISHA UASKOFU MAHALIA BILA TARATIBU ZILIZOMPA FIMBO YA KIASKOFU
Hao maaskofu wana usomi gani ambao Askofu Shoo hana?skofu Mwaikali na baadhi ya maaskofu wasomi wamekuwa tishio kwa Askofu Shoo
Mijitu mipigaji mpaka kwenye shamba la Bwana, huko kwa kaisari itakuwaje.SIRI imefichuka, kwamba kiini cha mgogoro unaofukuta ndani ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Konde, Mbeya, kinatajwa kuwa ni kuficha udanganyifu kwenye mkopo uliochukuliwa na Kanisa hilo, takribani miaka minane iliyopita.
Raia Mwema ilielezwa kuwa baadhi ya viongozi wa Dayosisi ya Konde, wanatuhumiwa kughushi nyaraka za Kanisa, ikiwamo mihutasari wa vikao vya Bodi kwa lengo la kuwezesha kutolewa mkopo huo (miaka 8 iliyopita).
Taarifa kutoka ndani ya Kanisa hilo zinasema, baadhi ya wakubwa ndani ya KKKT wameanzisha mgogoro katika Dayosisi ya Konde, ili kuficha udhaifu wa deni la takribani Sh bilioni 4.7 zinazodaiwa Kanisa na benki ya kibiashara ya CBA.
Benki ya CBA Commercial Bank of Africa-ilitoa kwa Kanisa Sh bilioni 1.7, kufadhili ujenzi wa ukumbi katika chuo kikuu cha Makumila, tawi la Mbeya, kilichoko Uyole (kilikufa kwa ubadhirifu), ambacho zamani kilitambulika kama Chuo cha Ualimu Uyole.
Hata hivyo, mkopo huo haukutumika kama ulivyopangwa, badala yake waliokuwa viongozi wa Kanisa, walizielekeza kwenye matumizi mengine binafsi ambayo hayakufahamika na Kanisa. Mpaka sasa, deni la Benki kwa KKKT, Dayosisi ya Konde limefikia Sh. bilioni 4.7 na tayari benki hiyo, imekwenda mahakamani na kupata amri ya kulipwa deni lake.
Mkopo huo, ulichukuliwa wakati Dayosisi ya Konde, ikiongozwa na Askofu Israel Mwakyolile (Msaidizi wake akiwa Mwakihaba aliyeteuliwa kuwa Askofu sasa), huku Mkuu wa KKKT, akiwa Askofu Dk. Alex Malasusa, ambaye alimaliza utumishi wake kwa mujibu wa Katiba ya Kanisa hilo mwaka 2015.
Nyaraka ambazo gazeti Raia Mwema imezipata, zinaonesha kuwa Kanisa lilitumia majengo ya hoteli ya Matema Beach yaliyopo Ziwa Nyasa Kyela, kama dhamana ya kujipatia mkopo benki.
"Askofu Mwakyolile akishirikana na Mchungaji Mwakihaba walichota fedhia za mkopo, lakini ghafla Mwakihaba ameteuliwa na Askofu Shoo kuwa Askofu wa Konde katika mazingira ya kutatanisha," alieleza mmoja wa wachungaji wa Kanisa hilo
Kwa mujibu wa mtoa taarifa, kinachomponza Askofu Mwaikali, ni msimamo wake wa kugoma kusaini nyaraka za kuitoa hoteli ya Matema Beach kwa "wafanyabiashara wawili mashuhuri jijini Mbeya (wamiliki wa hoteli kubwa jijini Mbeya), ambao wamekubali kulipa deni la benki (nyongeza kwa ahadi ya kusimamia hoteli kwa miaka 100).
Benki ya CBA ilipeleka shauri mahakamani kulishitaki Kanisa. Wakati huo Malasusa aliishaondoka madarakani na Askofu Shoo Akakana kulijua hilo deni.
Kanisa likaunda Tume iliyoongozwa na Askofu wa Singida, Alinikisa Mkumbo, ikabaini 'madudu' yaliyomgusa Askofu Mwakyolile na kustaafu kabla ya wakati.
Askofu Shoo alishikilia msimamo, kuwa mkopo si wa Kanisa, lakini akaamua kuwaacha akina Mwakyolile kwa sababu binafsi, Hili linalotokea sasa, chanzo chake ni hicho"
Baraza la Maaskofu la KKKT, linatarajiwa kukutana Dodoma, Jumatatu ijayo ambako moja ya ajenda zinazotarajiwa kutawala, ni mgogoro ulioibuka kwenye Dayosisi ya Konde
Kwa mujibu wa taarifa kutoka ndani ya Kanisa hilo, maaskofu karibu wote, wamekasirishwa na kitendo cha mkuu wao wa Kanisa, Askofu Dk Fredrick Shoo kuchochea mgogoro kwenye Dayosisi hiyo na makanisa mengine ya KKKT.
"Haya mambo yakiachwa hivi, kesho hawa watu wanaweza kutengeneza magenge na kuwang'oa maaskofu wasiowataka," alieleza Askofu mmoja wa KKKT, ambaye hakupenda kutajwa gazetini.
Alisema, "tunakwenda Dodoma, tukiwa tunakumbuka madhila yaliyompata mwenzetu. Tunakwenda tukiwa wamoja na tunataka vitendo hivi vya kupinduana kinyemela vikomeshwe kwenye Kanisa letu.
Chanzo: Raia Mwema, Machi 26, 2022
NB
Kwanini Shoo kajiingiza kwenye mgogoro? Baadhi wanadai siku zote toka achaguliwe Askofu Mwaikali na baadhi ya maaskofu wasomi wamekuwa tishio kwa Askofu Shoo kuchukua nafasi yake.
View attachment 2165336
Mimi naona huu mgogoro hauna sababu za msingi kwani dayosisi makao makuu yakihama ndio deni linafutwaSIRI imefichuka, kwamba kiini cha mgogoro unaofukuta ndani ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Konde, Mbeya, kinatajwa kuwa ni kuficha udanganyifu kwenye mkopo uliochukuliwa na Kanisa hilo, takribani miaka minane iliyopita.
Raia Mwema ilielezwa kuwa baadhi ya viongozi wa Dayosisi ya Konde, wanatuhumiwa kughushi nyaraka za Kanisa, ikiwamo mihutasari wa vikao vya Bodi kwa lengo la kuwezesha kutolewa mkopo huo (miaka 8 iliyopita).
Taarifa kutoka ndani ya Kanisa hilo zinasema, baadhi ya wakubwa ndani ya KKKT wameanzisha mgogoro katika Dayosisi ya Konde, ili kuficha udhaifu wa deni la takribani Sh bilioni 4.7 zinazodaiwa Kanisa na benki ya kibiashara ya CBA.
Benki ya CBA Commercial Bank of Africa-ilitoa kwa Kanisa Sh bilioni 1.7, kufadhili ujenzi wa ukumbi katika chuo kikuu cha Makumila, tawi la Mbeya, kilichoko Uyole (kilikufa kwa ubadhirifu), ambacho zamani kilitambulika kama Chuo cha Ualimu Uyole.
Hata hivyo, mkopo huo haukutumika kama ulivyopangwa, badala yake waliokuwa viongozi wa Kanisa, walizielekeza kwenye matumizi mengine binafsi ambayo hayakufahamika na Kanisa. Mpaka sasa, deni la Benki kwa KKKT, Dayosisi ya Konde limefikia Sh. bilioni 4.7 na tayari benki hiyo, imekwenda mahakamani na kupata amri ya kulipwa deni lake.
Mkopo huo, ulichukuliwa wakati Dayosisi ya Konde, ikiongozwa na Askofu Israel Mwakyolile (Msaidizi wake akiwa Mwakihaba aliyeteuliwa kuwa Askofu sasa), huku Mkuu wa KKKT, akiwa Askofu Dk. Alex Malasusa, ambaye alimaliza utumishi wake kwa mujibu wa Katiba ya Kanisa hilo mwaka 2015.
Nyaraka ambazo gazeti Raia Mwema imezipata, zinaonesha kuwa Kanisa lilitumia majengo ya hoteli ya Matema Beach yaliyopo Ziwa Nyasa Kyela, kama dhamana ya kujipatia mkopo benki.
"Askofu Mwakyolile akishirikana na Mchungaji Mwakihaba walichota fedhia za mkopo, lakini ghafla Mwakihaba ameteuliwa na Askofu Shoo kuwa Askofu wa Konde katika mazingira ya kutatanisha," alieleza mmoja wa wachungaji wa Kanisa hilo
Kwa mujibu wa mtoa taarifa, kinachomponza Askofu Mwaikali, ni msimamo wake wa kugoma kusaini nyaraka za kuitoa hoteli ya Matema Beach kwa "wafanyabiashara wawili mashuhuri jijini Mbeya (wamiliki wa hoteli kubwa jijini Mbeya), ambao wamekubali kulipa deni la benki (nyongeza kwa ahadi ya kusimamia hoteli kwa miaka 100).
Benki ya CBA ilipeleka shauri mahakamani kulishitaki Kanisa. Wakati huo Malasusa aliishaondoka madarakani na Askofu Shoo Akakana kulijua hilo deni.
Kanisa likaunda Tume iliyoongozwa na Askofu wa Singida, Alinikisa Mkumbo, ikabaini 'madudu' yaliyomgusa Askofu Mwakyolile na kustaafu kabla ya wakati.
Askofu Shoo alishikilia msimamo, kuwa mkopo si wa Kanisa, lakini akaamua kuwaacha akina Mwakyolile kwa sababu binafsi, Hili linalotokea sasa, chanzo chake ni hicho"
Baraza la Maaskofu la KKKT, linatarajiwa kukutana Dodoma, Jumatatu ijayo ambako moja ya ajenda zinazotarajiwa kutawala, ni mgogoro ulioibuka kwenye Dayosisi ya Konde
Kwa mujibu wa taarifa kutoka ndani ya Kanisa hilo, maaskofu karibu wote, wamekasirishwa na kitendo cha mkuu wao wa Kanisa, Askofu Dk Fredrick Shoo kuchochea mgogoro kwenye Dayosisi hiyo na makanisa mengine ya KKKT.
"Haya mambo yakiachwa hivi, kesho hawa watu wanaweza kutengeneza magenge na kuwang'oa maaskofu wasiowataka," alieleza Askofu mmoja wa KKKT, ambaye hakupenda kutajwa gazetini.
Alisema, "tunakwenda Dodoma, tukiwa tunakumbuka madhila yaliyompata mwenzetu. Tunakwenda tukiwa wamoja na tunataka vitendo hivi vya kupinduana kinyemela vikomeshwe kwenye Kanisa letu.
Chanzo: Raia Mwema, Machi 26, 2022
NB
Kwanini Shoo kajiingiza kwenye mgogoro? Baadhi wanadai siku zote toka achaguliwe Askofu Mwaikali na baadhi ya maaskofu wasomi wamekuwa tishio kwa Askofu Shoo kuchukua nafasi yake.
View attachment 2165336
Sasa rahisha mambo, umeshaambiwa na Mdegela chanzo Kuna haja gani mtu mwingine aende Tena kuuliza? Lete habari wewe mwenyewe.Mleta mada hujui chochote kuhusu huo mgogoro,ila upo upande mmoja usioujua kiundani.
Kuhusu chuo kamuulize mstaafu mmoja mdegela atakuambia A to Z.