Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?


  • Total voters
    710
Okay me sipo vzr huko, nisije nikabadili maana.
 
Me sio mjinga au hukuona neno Egg shaped hapo?
Lakini pia unafahamu kwamba,.. Dunia ambayo ipo Egg -shaped/elipsoid kama ambavyo huwa inachorwa haifanani kabisa na Dunia Tufe?

Yaani Tufe na elipsoid ni tofauti kabisa,.. atleast elipsoid inaonekana as if it's flat kama tunavyo observe kuliko Tufe la namna hii👇🏼.......
 
Yes n
Yes najua, ninatumia sphere kama wengi wanavyotumia lakini hata NASA wamebainisha vizuri Hilo ondoa shaka👇👇
"Even though our planet is a sphere, it is not a perfect sphere. Because of the force caused when Earth rotates, the North and South Poles are slightly flat. Earth’s rotation, wobbly motion and other forces are making the planet change shape very slowly, but it is still round." NASA.
 
Dunia sio tufe,..so hakuna kitu kama upande wa pili wa Dunia kwenye dunia Tufe.

Atleast ungesema upande wa pili wa Dunia kwenye flattened spread-out earth.
Sa unaona mambo yako?
Kwahy hapa napoteza muda we unamajibu yako hapa uliyotundikiwa na YouTubers na Facebook Memes sa umeziba sio masikio tu mpka ubongo.

Aya tuoneshe picha ya Dunia ilivyo flat as a whole.
 
Unadhani nmekuuliza wewe kwa bahati mbaya ? Ama unadhani nmekuuliza swali ambalo majibu yake siyafahamu ?


Nmekuuliza wewe unijibu kwa mtazamo na elimu yako kuhusu haya tunayoyajadili hapa.
 
Yaani huku unaambiwa movements za Jua na Mwezi,..kisha Aya nyingine inakuambia kuhusu ardhi kuwa spread-out/flattened,....then unasema eti ni contradiction.


Inaonekana hata maswali ya kuoanisha yalikupa shida. anthony_art
Me sio mjinga au hukuona neno Egg shaped hapo?
 
Hahahaha huyu jamaa nlishasema tangu mwanzo nna wasi wasi hata na uwezo wake wa kufikiri.
 
hateeb10 Hii huoni kabisa😄😄
Soma elewa sema wapi hapako sawa, sio una skip tu bila kusema chochote kama unakubaliana nacho au la! Na kwann?
 
Hapa ndio utakimbia kabisa,


Yani hapa ndio utapuyanga haswa, hautakua na point yoyote ile....

Bora uishie huku huku kwenye maandishi unajitahidi kuleta bla bla zako.
 
Hahahaha huyu jamaa nlishasema tangu mwanzo nna wasi wasi hata na uwezo wake wa kufikiri.

Hajui kitu alafu anakielezea kama anajua😄.
Nimempa application mbali mbali tunazotumia hasa kwenye engineering field zinazohusisha Moja Kwa moja umbo la Dunia kuwa Duara na uwepo wa gravity na zina work out vzr mfano water supply designs mpka maji yanamfikia hapo alipo Kuna applications za gravity, geological na land surveying(GPS), karuka ndukii hajajibu chochote.
 
which is better than staying there waiting for NASA to come with CGI's and Indoctrinate your brain.
Unatumia vigezo Gani kusema picha za NASA ni CGI's? Kwa mfano hii👇👇




Nipe sababu kutoka kwenye hii picha la sivyo, utakuwa umekaririshwa tu kuwa ni computer generated images.

Na mnakimbiliaga eti tumekuwa Indoctrinated, je kama wewe ndo umekuwa Indoctrinated?
 
Reactions: Tsh
Tatizo lake anachukulia huu ni ushindani,

Akikutana na swali ambalo anahisi linayumbisha hoja zake zote lazima akimbie...Hajibu na akijibu anajibu bla bla na anakulazimisha uelewe hivyo

hateeb10 una matatizo gani ?
 
Hapa ndio utakimbia kabisa,


Yani hapa ndio utapuyanga haswa, hautakua na point yoyote ile....

Bora uishie huku huku kwenye maandishi unajitahidi kuleta bla bla zako.
Hahh kwahiyo tukiamua kukutana physically na kufanya real observation utaweza Ku prove Dunia Tufe?

Kwanza Dunia Tufe mwenzako anthony_art tayari ame confirm kwamba Dunia sio tufe la namna hii ➡️🌍,..
 
So, tumalize mjadala huu kwamba Dunia sio tufe la namna hii ➡️🌍????!


Sasa Kwanini muda wote unasema Dunia ni Tufe?! au upo hapa Ku support Dunia Tufe wengine kina Chosen Rich...huku wewe ukiwa na mtazamo tofauti kabisa?

Hoja hii ya Dunia Tufe imeisha ,.. kilichobaki ni kukiri kwamba ipo stationary.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…