greater than
JF-Expert Member
- Sep 22, 2018
- 1,653
- 3,060
Unaona unapobanwa, unashindwa hata jitetea,,,1. Gravity nimelijibu ✔️
2. Eclipse✔️ & moon phase ⌛(Ni kweli moon phases sina details zaidi kuhusu, even though moon phases hai support by any means the idea kwamba Dunia ni Tufe.
3. Not only Jua & Mwezi.,..Sina details zaidi ya nini kinafanya celestial bodies zizunguke...&That doesn't mean kwamba theories ndiyo zinaelezea 100% correctly on what drives the celestial bodies.
Sasa kama hamna Gravity tueleze basi kinachofanya vitu vianguke chini unabaki kuhaha.
Basi lete hata theory yako ya kuelezea hiko kitu,,
-hivi unajua hata maana ya Gravity mkuu..
-hivi unajua ukikataa uwepo wa Gravity unakataa hata matumizi ya kipimo cha mzani, ,yaani unakataa hata hizo Kilo ulizonazo.
-Je,unajua kuwa kuna special rooms za kuuwa gravity.
Haya kwenye kupatwa kwa jua na mwezi, unashindwa hata jibu, unabaki kuzunguka...
Weka hata reference yako.
Haya kwenye Jua na Mwezi unasema hauna details zake,,Je,utaweza elezea ya dunia.
Ukipewa references za kupitia za kusoma unakataa,
Tukikuomba wewe hauleti...
Usiende kwa hisia lete ushahidi wenu wa picha na mahesabu hapa na siyo falsafa.