hateeb10
JF-Expert Member
- Dec 8, 2022
- 2,920
- 1,223
Hiyo ni logic tu sio kanuni ya Physics....hii ni kanuni gani katika physics mkuu??
Kwamba:-
1. Ukishasema maji yanashikiliwa na gravity,... Ndiyo maana hayaanguki.
2. Huna haja tena ya kusema maji ni mazito kuliko hewa.... ndiyo maana hayaanguki.
One statement automatically excludes the other!