Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    710
hii ni kanuni gani katika physics mkuu??
Hiyo ni logic tu sio kanuni ya Physics....

Kwamba:-
1. Ukishasema maji yanashikiliwa na gravity,... Ndiyo maana hayaanguki.

2. Huna haja tena ya kusema maji ni mazito kuliko hewa.... ndiyo maana hayaanguki.

One statement automatically excludes the other!
 
Ndege anajitengenezea ngazi(lift) kwenye hewa Kwa kutumia mbawa zake.., na sio kwamba anavunja nguvu ya gravity.
ndio maana mimi nawewe hatuwezi kupaa mpaka tuivunje nguvu hiyo kwa vifaa maalum kama ambayo anavyo ndege.

kanuni ya kurusha ndege bila kuvunja nguvu ya gravity ndege haipai.inavunjwa na nini,na mabawa,kwa mechanism ya kuyatembeza kwa speed kubwa sana hewani yakiwa na umbo maalum.
Ukimnyonyoa hatoweza tena kuruka kwasababu umemuondolea mechanism ya kutengeneza lift....
nikimtoa manyonya sijamuondolea mechanism,nimemuondolea tools muhimu ktk kutengeneza hiyo mechanism.
 
Hiyo ni logic tu sio kanuni ya Physics....

Kwamba:-
1. Ukishasema maji yanashikiliwa na gravity,... Ndiyo maana hayaanguki.

2. Huna haja tena ya kusema maji ni mazito kuliko hewa.... ndiyo maana hayaanguki.

One statement automatically excludes the other!
kwahiyo sasa unakubali kwamba gravity inashikilia maji na vingine kwa kuzingatia uzito ama bado hakuna kitu???
 
Ili uelewe chagua option moja Kati ya hizi mbili:-
1. Maji yanashikiliwa na gravity,... Ndiyo maana hayaanguki.

2. Maji ni mazito kuliko hewa.... ndiyo maana hayaanguki.

Haya nasubiri majibu hapo..ili tukamilishe mjadala kuhusu gravity.
 
ndio maana mimi nawewe hatuwezi kupaa mpaka tuivunje nguvu hiyo kwa vifaa maalum kama ambayo anavyo ndege.

kanuni ya kurusha ndege bila kuvunja nguvu ya gravity ndege haipai.inavunjwa na nini,na mabawa,kwa mechanism ya kuyatembeza kwa speed kubwa sana hewani yakiwa na umbo maalum.

nikimtoa manyonya sijamuondolea mechanism,nimemuondolea tools muhimu ktk kutengeneza hiyo mechanism.
Kwahiyo Ku generate lift ndiyo kuvunja gravity?
 
Ili uelewe chagua option moja Kati ya hizi mbili:-
1. Maji yanashikiliwa na gravity,... Ndiyo maana hayaanguki.

2. Maji ni mazito kuliko hewa.... ndiyo maana hayaanguki.

Haya nasubiri majibu hapo..ili tukamilishe mjadala kuhusu gravity.
zote nachagua maana hazipingani na kanuni yoyote ya physics.
 
Hahhh,.sijaleta maneno nimekupa njia ya kuthibitisha kama Dunia ni flattened, through one of the scientific research method known as "OBSERVATIONAL METHOD".... which is better than staying there waiting for NASA to come with CGI's and Indoctrinate your brain.

Au ikiwezekana watu wa Dunia Tufe wote mjitolee physically tukutane tufanye observation live kabisa tuone whether Dunia ni flat or Tufe,. Hahh
Sasa scientific observation method ndiyo huitwa experiment mkuu.
In science we dont just see,or smell, we prepare experiments,,,ambapo data zitapatikana. Na kuleta Conclusion.
Nilishakwambia upo shallow kwenye Science ukabisha
😂😂😂😂😂🤣🤣🤣
Ngoja sasa mimi ntakujia na experiments uone sasa. Tena experiment nyepesi.
 
Safi Sasa unakuja nilipokuwa nataka, nimeshakutoa huko kwenye mechanism ya kupaa Sasa upo kwenye density. Safi😁.

Sasa ipo hivi ni kweli less denser than air lazima kipande juu, higher denser kitashuka chini.
Unajua kwann higher denser kitashuka chini na less denser kitapanda juu and not otherwise?

Ipo hivi, Kuna forces mbili zinakuwa zinaact kwenye huo mpira, bouyancy force na gravity kama hapa chini.
View attachment 2926682

Lakini kumbuka formula ya bouyancy force ni
Fb = density x gravity x volume.
Umeona gravity Bado ipo.

Kwahy Ili mpira uelewe either kwenye air au maji ni lazima bouyancy force iwe Kubwa zaidi ya gravity. Na ndivyo helium balloons zinafanya kazi.
Mkuu,.Kwenye hiyo kesi ya mpira kuelea kwenye maji ya bahari.,..Gravity haihusiki kabisa 100%

Vitu pekee vinavyohusika kwenye kuurusha mpira na mpira kuelea kwenye maji ya bahari kama ulivyotolea mfano ni :-

1. Uzito wa mpira
2. Uzito wa Maji
3. Uzito wa hewa.

With reference to each other,...

Hizo hadithi na formula za gravity ni nadharia tu &non-existent kwenye uhalisia na mfano huo ulioutoa
.
 
Sasa scientific observation method ndiyo huitwa experiment mkuu.
In science we dont just see,or smell, we prepare experiments,,,ambapo data zitapatikana. Na kuleta Conclusion.
Nilishakwambia upo shallow kwenye Science ukabisha
😂😂😂😂😂🤣🤣🤣
Ngoja sasa mimi ntakujia na experiments uone sasa. Tena experiment nyepesi.
Wewe unaamini upo deep kwenye Sayansi,..
Kumbe Kwa bahati mbaya upo deep kwenye kukariri.

Hivyo ni vitu viwili tofauti kabisa.
 
Mkuu,.Kwenye hiyo kesi ya mpira kuelea kwenye maji ya bahari.,..Gravity haihusiki kabisa 100%

Vitu pekee vinavyohusika kwenye kuurusha mpira na mpira kuelea kwenye maji ya bahari kama ulivyotolea mfano ni :-

1. Uzito wa mpira
2. Uzito wa Maji
3. Uzito wa hewa.

With reference to each other,...

Hizo hadithi na formula za gravity ni nadharia tu &non-existent kwenye uhalisia na mfano huo ulioutoa
.
Kama unataka kujua kwanini kitu hudondoka chini,..pitia hapo juu 👆🏼naamini utapata kitu...

Chosen Rich
 
Kwahiyo ulivyosikia objects ulijua ni mawe au?
Sasa Kijana hapo kuna Solar na Lunar eclipses sijui unajua hilo,,,yaani kupatwa kwa jua na mwezi...
Solar eclipse ni pale mwezi hukaa kati ya Jua na dunia,,kivuli cha mwezi huja duniani...check movie ya Apocalypto.

Lunar eclipse ni pale Dunia hukaa between Sun na mwezi ,kivuri cha Dunia huenda kwenye mwezi...na always kivuli huwa round...

Sasa kwenye uthibitisho wa Dunia ni sphere, Lunar eclipse...

Sasa kama Ukisema mwezi nao unablock sun kwenye Lunar,ina maana huo huo mwezi u-block na kivuli chake kiende tena kwenye mwezi....

Nawe unaona unaona una make sense kweli...!?
 
Wewe una uthibitisho gani kama Dunia inakua katikati ya Jua na Mwezi during Lunar eclipse?

Au umeamini tu
 
Gravity is just a theory,. Ukishalitambua hilo akili yako inapaswa ifanye kazi vizuri sasa..

Cha kukushauri andaa peni na karatasi., baadae nitatoa Shule hapa....Hahh
Sasa hivi unaelewa hata maana Scientific theory,,
hivi unajua hata kanuni za kanakwamba theory ipite na kukubaliwa dunia nzima...
Au unadhani people just come with dreams na kunena tu....
Bro ,hasa falsafa kwenye sayansi, unaumbuka hapa.
 
Wewe una uthibitisho gani kama Dunia inakua katikati ya Jua na Mwezi during Lunar eclipse?

Au umeamini tu
😂😂😂🤣🤣🤣🤣 So huwa ni mwezi una block mwezi,,,
Mimi ndiyo Nimekuuliza kwanza na hauja nijibu.
Hapo nakuruhusu omba hata msaada wa wenzio...
Kwenye Lunar eclipse, kile kivuli cha kwenye mwezi huwa ni nini.?
 
Back
Top Bottom