greater than
JF-Expert Member
- Sep 22, 2018
- 1,653
- 3,060
Bro ili uweze ili uweze kuelea au kuruka lazima u-apply force ambayo kinzana na force ya Gravity.Ndege anajitengenezea ngazi(lift) kwenye hewa Kwa kutumia mbawa zake.., na sio kwamba anavunja nguvu ya gravity.
Ukimnyonyoa hatoweza tena kuruka kwasababu umemuondolea mechanism ya kutengeneza lift....
....
Hata unaporuka una apply Kinetic energy yenye force kubwa kuliko force of Gravity....
By definition ya form two:Force is simply as push or pull....