Chosen Rich
JF-Expert Member
- Jan 7, 2019
- 1,467
- 989
Tangu umeanza kuziona umewahi kuona zikibadilika namna zilivyopangiliana ?Yes,.Orions nazifahamu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tangu umeanza kuziona umewahi kuona zikibadilika namna zilivyopangiliana ?Yes,.Orions nazifahamu
Hizo Nyota za Orions huwa zina move pamoja siku zote kwenye mpangilio mmoja.... ndiyo maana kila unapoona zipo hivyo.Tangu umeanza kuziona umewahi kuona zikibadilika namna zilivyopangiliana ?
1.Kwako siyo ishu kwasababu haujui hisabati, hilo ukubali kwanza.Kws
Kwanza siamini katika kitu kinaitwa GRAVITY... Hiyo ni fix nyingine! Kumbuka macalculations yamebuniwa na mwanadamu kwahiyo kuweza kuthibitika Kihisabati siyo ishu kwangu
Pili siamini katika aliens. Nauchukulia ni mpango wa shetani kuwafanya watu wayaogope sana mashetani na ikiwezekana mashetani yawatawale watu kabisa kwa mgongo wa viumbe kutoka sayari nyingine
Baridi unazoongelea wewe za msimu kaka ndo unataka kufananisha na baridi la kufa mtu la kudumu! Haupo serious wewe mbona ni juzi tu hapa kuna maeneo mpaka watu wakafa kwa baridi Marekani ikawa inahaha, hivi mbona mnasahau mapema sana hivyo?
Swala la kalenda kitabu changu kama nilivyokuambia kwenye hoja (comment) yangu ya msingi, kinaniambia hayo ni miongoni mwa manufaa (ya matumizi) ya jua na mwezi na wala siyo kuzunguka kwa dunia
Swali la kizushi:
Satellite unaijua? Yaani una uelewa nayo?
Huyu ndugu nimempa jaribio afanye, anajizungusha tu hapa....Tangu umeanza kuziona umewahi kuona zikibadilika namna zilivyopangiliana ?
Tupe reference wewe....3. Mpaka hivi tunavyozungumza teknolojia haijaruhusu bado kujua exactly Nyota zina move Kwa mtindo upi.....zilizopo ni assumptions na nadharia.
Kwahiyo wewe Kwa akili yako unaamini unaweza kukaa Duniani hapa na kujua Nyota zina move Kwa mtindo gani,..si ndiyo?Hata hili swala unasubiri hadi teknolojia ndio ikupe majibu ? tena teknolojia ya watu ambao wanatambua Dunia ni tufe.
Na nkurekebishe teknolojia ipo na mpaka muda huu kuna telescope ilisharushwa kwenye space inaitwa JAMES WEB TELESCOPE
Kwahiyo wewe unajua kama Nyota zina move Kwa mtindo gani,.si ndiyo?Tupe reference wewe....
Yani mpaka Black holes zimegunduliwa....watu wanahangaika na anti-matter...
Wewe unasema movement za nyota...
Na majibu tayari nishakupa au hujayaona?O
Huyu ndugu nimempa jaribio afanye, anajizungusha tu hapa....
Nimemwambia kama kashindwa aseme, anajidai haoni...
Akibanwa huwa anatapatapa.....
Kwani hao wa Ulaya wote ni wagunduzi,,,mbona mna kiba cha roho watu tukiwa wanasayansi...ww umegundua ipi ndugu maana wanasema african continent contribute to about 1.4% of the global scientific knowledge
Nlimaanisha hivyo kubadilika mpangilio jinsi zinayoonekana.Hizo Nyota za Orions huwa zina move pamoja siku zote kwenye mpangilio mmoja.... ndiyo maana kila unapoona zipo hivyo.
Au unamaanisha kubadilika vipi?
Ngoja niende nae pole pole, atajikamata sehemu yeye mwenyewe.O
Huyu ndugu nimempa jaribio afanye, anajizungusha tu hapa....
Nimemwambia kama kashindwa aseme, anajidai haoni...
Akibanwa huwa anatapatapa.....
Kwahiyo wewe Kwa akili yako unaamini unaweza kukaa Duniani hapa na kujua Nyota zina move Kwa mtindo gani,..si ndiyo?"Kwahiyo wewe Kwa akili yako unaamini unaweza kukaa Duniani hapa na kujua Nyota zina move Kwa mtindo gani,..si ndiyo?
"Mimi Sipo hapa kupinga kila kitu,.kama kitu au idea ikiletwa na watu wa Dunia Tufe na ina ukweli 100% Kwanini niipinge sasa?
Nimekuuliza baada ya wewe kushangaa niliposema kwamba teknolojia ni muhimu kwenye kujua Nyota zina move Kwa mtindo wa Aina gani.Kwahiyo wewe Kwa akili yako unaamini unaweza kukaa Duniani hapa na kujua Nyota zina move Kwa mtindo gani,..si ndiyo?
HAPO NDIO UNAHARIBU, wewe nijibu maswali yangu.
Hahh sawa twende pole pole.Ngoja niende nae pole pole, atajikamata sehemu yeye mwenyewe.
Nlikujibu kuwa teknolojia ipo, Na telescope zipo za uwezo mbali mbaliNimekuuliza baada ya wewe kushangaa niliposema kwamba teknolojia ni muhimu kwenye kujua Nyota zina move Kwa mtindo wa Aina gani.
Hiyo sio nadharia bali ni fact kwamba muda wote Nyota hizo huonekana pamoja...so conclusion ni kwamba zina move pamoja zikitengeneza Orion shape.Nlimaanisha hivyo kubadilika mpangilio jinsi zinayoonekana.
Anyways kwenye swali langu number 3 Ulijibu hivi [emoji116]
"Mpaka hivi tunavyozungumza teknolojia haijaruhusu bado kujua exactly Nyota zina move Kwa mtindo upi.....zilizopo ni assumptions na nadharia"
Sasa hivi umejibu kuwa "zina move siku zote kwenye mpangilio mmoja"
Swali [emoji116]
Hilo jibu lako ulilotoa hapa ni nadharia au assumption ?
Still.., Teknolojia na Telescope zilizopo zina limit ya kuona.Nlikujibu kuwa teknolojia ipo, Na telescope zipo za uwezo mbali mbali
Depends on the angle,,,,?Hilo jaribio lako halina mantiki kwasababu it's scientifically proved that "The shadow can never be smaller than the actual object"
__________
This is because a shadow is formed when an object blocks light from a source, creating an area of darkness behind the object. The size of the shadow is determined by the angle at which the light rays hit the object and the distance between the object and the surface where the shadow is cast. If the shadow appears smaller than the object, it may be due to optical illusions or other factors, but scientifically, a shadow cannot be smaller than the object casting it under normal circumstances.
Umekazania NASA as if Hao peke yao ndiyo wanatuma Rocket angani,haujui Kusua Iran,Korea or even India...Still.., Teknolojia na Telescope zilizopo zina limit ya kuona.
Nadhani teknolojia ingeruhusu NASA wangeachana na CGI's
Unasema ni fact lakini mwanzo ulisema hakuna hata teknolojia inayofahamu nyota zinamove kwa mtindo upi zaidi ya nadharia na assumptionsHiyo sio nadharia bali ni fact kwamba muda wote Nyota hizo huonekana pamoja...so conclusion ni kwamba zina move pamoja zikitengeneza Orion shape.