Kwanza umeelewa demonstration au umekimbilia hapo tu?
Okay ni hivi, nilijibu hivyo kutokana na maelezo yako na ni sahihi
Kivipi?: ukichukuwa maji ukayarusha juu yatarudi chini Kwa sabab ni mazito kuliko hewa. Kama umeelewa demonstration hapo kwenye maelezo nadhani utaelewa.
Alafu wewe unasema huenda gravity ipo ila unakataa application yake hapa.
We unadhani jinsi tunavyoiapply ni tofaut na tunayokuelezea hapa?
Nimekupa mfano gravity inatumika kwenye kutafta viscosity za liquids mbalimbali in the same way tunavyokwambia hapa kuwa ndo inafanya vitu vidondoke
View attachment 2927828
Me sio tahira, naongea kitu ambacho nimekiapply sehemu nyingi sana Kwa kutumia gravity ambayo Ina act the same way na tunavyokwambia hapa.