Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    710
Nitarudi kuhusu hii,..ila Kwa ufupi kabisa kwenye hiyo scenario gravity haihusiki....

Unahisi kwanini nimeelezea na ina make sense bila kuhusisha gravity ndani yake?

Na urudi kweli,
Kitendo Cha kutohusisha gravity tu, kitakugarimu maelezo kwann denser vishuke chini na less denser vipande juu😄.
 
Ukiangalia hili li mpira unabaki unajiuliza hici maji yanakaaje kwenye ball? Kwa mtu ambae akili ipo sawasawa hawezi kukubaliana na huu uongo.
Kaka umerudi hapa na ulikimbia hoja zangu ukasema utarudi kuzijibu😄😄.
Inadhihirisha kiasi Gani huna hoja ila unaforce mambo.
 
Gravity is just a theory,. Ukishalitambua hilo akili yako inapaswa ifanye kazi vizuri sasa..

Cha kukushauri andaa peni na karatasi., baadae nitatoa Shule hapa....Hahh

Utoe shule Gani? Wakat tayar umeshashimdwa kuelezea😄,

Nimekuuliza tu kama umekubali application za gravity na umbo la Dunia duara kwenye field mbali mbali na zikaleta matokeo chanya, how come Bado unakataa? Kwamba tunabahatisha?

Ngoja uje na maelezo yako hayo nakusubiri hapa😄😄
 
Kwahiyo wewe ukiona Peni imeanguka unajua sababu ni gravity?

Unahitaji Shule mkuu..,
Umesema hujui gravity ni nn, then unamwambia mtu aandae pen na karatasi umueleweshe ,😄😄.
Hivi akili yako ipo sawa? Au unatuona watoto humu?
 
Jamii forum ingekua na option ya voice note ningekuelezea vizuri hapa...ila kukusaidia Kwa ufupi ni kwamba:-

Kitu chochote chenye uzito,.kitadondoka chini as long as kitu hicho kina uzito kuliko kitu itakachokutana nacho kwenye njia yake...

Kwa mfano, tukiangusha manyoya na jiwe kwa wakati mmoja, jiwe litafika chini kwa kasi zaidi kwa sababu lina uzito mkubwa zaidi kuliko manyoya with reference to hewa.

Simple logic hiyo kama una akili utaelewa...

Ndo maana jamaa anakwambia wewe shule ulienda kutafta maksi tu, hukuelewa chochote.

Nimekuuliza swali kwann virudi chini na sio vingnevyo?

Na umesema utarudi kwenye Ile mada tulikuwa tumefikia umekimbia😄
 
Sasa kama hujui gravity ni kitu gani, inaipinga vipi wakat hata hujui??😄
Kwahiyo wewe unaona "glavity" na "gravity" ni vitu sawa?

Narudia tena sijui kuhusu glavity,... atleast ukisema "gravity" tunaweza kuelewana.

Attention to details.
 
..ili hewa iweze kuyazuia maji inatakiwa hewa iwe nzito zaidi ya Maji.

Inaonekana hujui kuhusu hivi vitu., ndiyo maana unajichanganya.

We jamaa hivi unaelewa unachoongea?
Kakwambia maji ni mazito kuliko hewa na ndio maana yanastick kwenye Dunia.

Ni wapi kasema maji yamezuiwa na hewa?
 
We jamaa hivi unaelewa unachoongea?
Kakwambia maji ni mazito kuliko hewa na ndio maana yanastick kwenye Dunia.

Ni wapi kasema maji yamezuiwa na hewa?
Acha kukurupuka,..ame edit huyo baada ya kuona kujichanganya.

Watu wa Impossi-ball 🌍 mna matatizo...
 
Mkuu,.Kwenye hiyo kesi ya mpira kuelea kwenye maji ya bahari.,..Gravity haihusiki kabisa 100%

Vitu pekee vinavyohusika kwenye kuurusha mpira na mpira kuelea kwenye maji ya bahari kama ulivyotolea mfano ni :-

1. Uzito wa mpira
2. Uzito wa Maji
3. Uzito wa hewa.

With reference to each other,...

Hizo hadithi na formula za gravity ni nadharia tu &non-existent kwenye uhalisia na mfano huo ulioutoa
.

Hivi unaelewa unachoongea wewe?

Nimesema sawa density inahusika, nikakuuliza je ni kwann basi more denser kishuke chini alafu less dense kipande juu? Hujajibu.

Kwahy unataka kusema hiyo formula ya bouyancy ni uongo?
Unajua helium balloon inavyofanya kazi?
 
We jamaa hivi unaelewa unachoongea?
Kakwambia maji ni mazito kuliko hewa na ndio maana yanastick kwenye Dunia.

Ni wapi kasema maji yamezuiwa na hewa?
Sasa hiyo kauli inaleta mantiki kweli?

Kwamba kinachofanya maji kustick kwenye dunia Tufe,.ni kwakuwa maji ni mazito kuliko hewa?

Umesahau kama maji yakiwa mazito kuliko hewa, yatamwagika na hewa itashindwa kuyashikilia maji?

Make it make sense...
 
Hivi unaelewa unachoongea wewe?

Nimesema sawa density inahusika, nikakuuliza je ni kwann basi more denser kishuke chini alafu less dense kipande juu? Hujajibu.

Kwahy unataka kusema hiyo formula ya bouyancy ni uongo?
Unajua helium balloon inavyofanya kazi?
Less dense kinapanda juu Kwa kuwa hewa ni nzito kuliko hiyo object ambayo ni less dense than air,.......

Hata helium balloon ina float in the air kwa kuwa ni less dense kuliko hewa.

Utapambana kutafuta sehemu ya kupenyeza gravity,.but unfortunately hutoipata...yaani kimsingi ni kwamba gravity ipo overrated while Natural laws zinafanya kazi kwenye muundo tofauti na ulivyo kariri kwenye makaratasi.

Concern yangu ni kwamba huenda gravity ipo,.lakini sio sawa kujaribu kuiingiza kwenye sehemu ambazo haihusiki..
 
Sasa hiyo kauli inaleta mantiki kweli?

Kwamba kinachofanya maji kustick kwenye dunia Tufe,.ni kwakuwa maji ni mazito kuliko hewa?

Umesahau kama maji yakiwa mazito kuliko hewa, yatamwagika na hewa itashindwa kuyashikilia maji?

Make it make sense...

Sasa hapa ndo unakuja kwenye kwann vitu vunarudi chini na sio otherwise.

Nimekupa hii demonstration 👇👇

Screenshot_20240307-010736~2.png

Kitu kikiwa kizito kuliko hewa inamaana kuwa Fg = mg.

Na Fb = density ya air × gravity × Volume

Kwahy hapo Fg itakuwa Kubwa kuliko Fb ni lazima object irudi chini (direction ambayo ni ya Fg).
 
Sasa hapa ndo unakuja kwenye kwann vitu vunarudi chini na sio otherwise.

Nimekupa hii demonstration 👇👇

View attachment 2927814

Kitu kikiwa kizito kuliko hewa inamaana kuwa Fg = mg.

Na Fb = density ya air × gravity × Volume

Kwahy hapo Fg itakuwa Kubwa kuliko Fb ni lazima object irudi chini (direction ambayo ni ya Fg).
Hujajibu swali,..👇🏼

Kwamba kinachofanya maji kustick kwenye dunia Tufe,.ni kwakuwa maji ni mazito kuliko hewa?

Umesahau kama maji yakiwa mazito kuliko hewa, yatamwagika na hewa itashindwa kuyashikilia maji?
 
Less dense kinapanda juu Kwa kuwa hewa ni nzito kuliko hiyo object ambayo ni less dense than air,.......

Hata helium balloon ina float in the air kwa kuwa ni less dense kuliko hewa.

Utapambana kutafuta sehemu ya kupenyeza gravity,.but unfortunately hutoipata...yaani kimsingi ni kwamba gravity ipo overrated while Natural laws zinafanya kazi kwenye muundo tofauti na ulivyo kariri kwenye makaratasi.

Concern yangu ni kwamba huenda gravity ipo,.lakini sio sawa kujaribu kuiingiza kwenye sehemu ambazo haihusiki..

Swali: kwann denser kishuke chini na sio kupanda juu? Ni kitu gani kimekufanya ukaamini kuwa denser ni lazima kishuke chini?
 
Hujajibu swali,..👇🏼

Kwamba kinachofanya maji kustick kwenye dunia Tufe,.ni kwakuwa maji ni mazito kuliko hewa?

Kwanza umeelewa demonstration au umekimbilia hapo tu?

Okay ni hivi, nilijibu hivyo kutokana na maelezo yako na ni sahihi

Kivipi?: ukichukuwa maji ukayarusha juu yatarudi chini Kwa sabab ni mazito kuliko hewa. Kama umeelewa demonstration hapo kwenye maelezo nadhani utaelewa.

Alafu wewe unasema huenda gravity ipo ila unakataa application yake hapa.
We unadhani jinsi tunavyoiapply ni tofaut na tunayokuelezea hapa?

Nimekupa mfano gravity inatumika kwenye kutafta viscosity za liquids mbalimbali in the same way tunavyokwambia hapa kuwa ndo inafanya vitu vidondoke

hqdefault.jpg

Me sio tahira, naongea kitu ambacho nimekiapply sehemu nyingi sana Kwa kutumia gravity ambayo Ina act the same way na tunavyokwambia hapa.
 
hutoipata...yaani kimsingi ni kwamba gravity ipo overrated while Natural laws zinafanya kazi kwenye muundo tofauti na ulivyo kariri kwenye makaratasi.

Ndio maana nasema unashindana ww,
Kinachokuuma ni gravity kuwa overrated? Kwani gravity sio natural phenomenon?

Yaan wewe umeshaelewa ila unakaza fuvu tu hapa😄. Maana umeshaanza kukiri vitu ulivyokuwa unakataa.
 
Swali: kwann denser kishuke chini na sio kupanda juu? Ni kitu gani kimekufanya ukaamini kuwa denser ni lazima kishuke chini?
Logically,. Denser hakiwezi kupanda juu Kwasababu hewa iliyopo juu ya anga hewa la Dunia ni nzito kuliko hewa iliyopo chini,...hivyo denser object plus msukumo wa hewa nzito zaidi iliyo juu ndiyo inafanya denser kishuke chini instead of kwenda juu.

Kimsingi hapo ni buoyancy principle na density Tu,.. gravity inakua forced tu.
 
Kwanza umeelewa demonstration au umekimbilia hapo tu?

Okay ni hivi, nilijibu hivyo kutokana na maelezo yako na ni sahihi

Kivipi?: ukichukuwa maji ukayarusha juu yatarudi chini Kwa sabab ni mazito kuliko hewa. Kama umeelewa demonstration hapo kwenye maelezo nadhani utaelewa.

Alafu wewe unasema huenda gravity ipo ila unakataa application yake hapa.
We unadhani jinsi tunavyoiapply ni tofaut na tunayokuelezea hapa?

Nimekupa mfano gravity inatumika kwenye kutafta viscosity za liquids mbalimbali in the same way tunavyokwambia hapa kuwa ndo inafanya vitu vidondoke

View attachment 2927828

Me sio tahira, naongea kitu ambacho nimekiapply sehemu nyingi sana Kwa kutumia gravity ambayo Ina act the same way na tunavyokwambia hapa.
Wewe haufanyi application ya gravity ,..hiyo ni game ya density na buoyancy.

Gravity is an invisible force.
 
Kimsingi hapo ni buoyancy principle na density Tu,.. gravity inakua forced tu.
😄😄😄 Ndo maana nasema umeshaelewa ila unakaza fuvu

Maana maelezo uliyosema hapo juu upo sahihi 100%,
kama unakataa nipe formula ya bouyancy
 
Wewe haufanyi application ya gravity ,..hiyo ni game ya density na buoyancy.

Gravity is an invisible force.
Yees😄😄.
Gravity is an invisible force.😄😄

Invisible maana yake ni unable to be seen

Kwahy mpka hapo umekiri gravity ni force ila ni invisible which is ok everyone knows that na all other forces can never be seen.
 
Back
Top Bottom