Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    710
Ukishasema maji yanashikiliwa na gravity,... Huna haja tena ya kusema maji ni mazito kuliko hewa.

Au unasema ili iweje?
Gravity inahold vitu vizito kwenye uso wa dunia.
 
Wewe haufanyi application ya gravity ,..
Unauhakika sifanyi application ya gravity?

Hizo application nilizikuambia kama geological surveying ambapo gravity method inatumika nimetunga?
Application kwenye water supply nimetunga? Na zingine nyingi.
 
Ndio maana nasema unashindana ww,
Kinachokuuma ni gravity kuwa overrated? Kwani gravity sio natural phenomenon?

Yaan wewe umeshaelewa ila unakaza fuvu tu hapa๐Ÿ˜„. Maana umeshaanza kukiri vitu ulivyokuwa unakataa.
Mtaalamu anthony_art akipambana kuonyesha jinsi gravity inavyofanya kazi ๐Ÿ‘‡๐ŸผHahh

Yees๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„.
Gravity is an invisible force.๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„

Invisible maana yake ni unable to be seen

Kwahy mpka hapo umekiri gravity ni force ila ni invisible which is ok everyone knows that na all other forces can never be seen.
Yes, sahihi..gravity is invisible and non-existing force...
 
Gravity inahold vitu vizito kwenye uso wa dunia.
Kwahiyo kinachoshikilia maji ni hewa au gravity?

Concern yangu ni kwamba ukishasema Maji ni mazito kuliko hewa ndiyo maana yanamwagika... hutakiwi tena kusema kwamba gravity ndiyo inasababisha maji yamwagike.
 
Ok
 
Yes, sahihi..gravity is invisible and non-existing force...
๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„ Mbona unajichanganya wewe?
Umeshasema "gravity is an invisible force"
It means it is a force, but not visible.

Sa unaposema tena hai exist unajichanganya wakat umeshasema huenda ipo.๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„.

Endelea kuzunguka mbuyu utafika unapoenda.
 
Hii ni katuni,...ila Ile ya kupambana kuonyesha gravity inavyofanya kazi ndiyo kitu ambacho hasa mnakifanya.

Yani unaamini Kwa bahati mbaya ,.ukiangusha funguo yako chini...eti gravity ndiyo imesababisha๐Ÿ™Œ๐Ÿผ

Basi situmii tena neno gravity maana sijui lilikufanya nn?๐Ÿ˜„

Basi ni bouyant force na density๐Ÿ˜„.

Naomba formula ya bouyant force ๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„
 
Unahangaika Bure tu huyu ameshakubali
Ni kama demu umemtongoza amekubalii ila hataki kusema nimekubali vitendo anaonesha ushirikiano.
Mwenzako kashaelimika,.kaamua atulie,.wewe ndiyo hutaki kuamini kama gravity unaihusisha sehemu ambazo haipo kabisa.
 
Basi situmii tena neno gravity maana sijui lilikufanya nn?๐Ÿ˜„

Basi ni bouyant force na density๐Ÿ˜„.

Naomba formula ya bouyant force ๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„
Natural laws kufanya kazi sio lazima uziundie formula zako.

Na ndiyo maana zenyewe zimeanza kufanya kazi hata kabla ya hizo formula.
 
Yees๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„.
Gravity is an invisible force.๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„

Invisible maana yake ni unable to be seen

Kwahy mpka hapo umekiri gravity ni force ila ni invisible which is ok everyone knows that na all other forces can never be seen.
Chosen Rich njoo huku amekubalii๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„.

We tafta tu ghetto.๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„
 
Natural laws kufanya kazi sio lazima uziundie formula zako.

Na ndiyo maana zenyewe zimeanza kufanya kazi hata kabla ya hizo formula.

Nimeziundia formula wapi??

Unabishana na vitu ambavyo vimeshakuwa tested na vikaleta majibu sawia?

Nimekwambia gravity ni name given to a natural phenomenal. Kwahy wewe unaweza kuita jina lako lakin haitabadirisha kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ