Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    710
Si utakuwa unatumia makalio kufikiri,
Sasa ulete formula ambayo Ina include gravity mwenyewe, alafu tena useme gravity haihusiki😄😄. Imbecile ignoramus.
Sasa wewe aliyekuambia laws za ulimwengu zinafanya kazi according to hizo formula ulizokariri,.Nani?

Wewe kukariri formula,.
1. Hakuifanyi gravity iwepo
2. Hakuthibitishi kwamba Dunia ni Tufe linalozunguka 👉🏼🌍
3. Hakuthibitishi Kwa aina yoyote kwamba maji yanaweza kustick kwenye Impossi-ball.

Mtu mwenye akili timamu hawezi akahitimisha kwamba 100% ulimwengu una operate kama inavyoelezewa na nadharia.
 
Kwani hiyo formula ameileta nani?
We umesema sabab ni bouyancy na density nikakwambia lete formula ya bouyant force ukaleta hiyo ambayo umeweka 'g' hapo au hiyo g ni nn?

Kazi kukimbilia nimekariri, na kuendelea kuwa mbishi pasipo sababu.
 
😁😁mwenzetu yeye tu hataki kusikia neno gravity.

kinachotuuma kaanzia mbali ,anaumiza zaidi sababu inahitajika gharama kubwa kumfundisha.

anakwambia ndege anatengeza ngazi kwa mabawa ili apae,ila kasahau kwamba akiacha kutengeza ngazi anarudi chini akizipita hizo ngazi kama mshale😂😂😂
Sasa mkorinto,..kama hadi kuandika gravity mpaka tukufundishe utaweza ku reason vizuri kweli?

Kwa level yako ya kufikiri ni Bora uendelee kuamini kila unachoambiwa,..maana sidhani kama utaweza kufikiria chochote on your own.
 
Kwani hiyo formula ameileta nani?
We umesema sabab ni bouyancy na density nikakwambia lete formula ya bouyant force ukaleta hiyo ambayo umeweka 'g' hapo au hiyo g ni nn?

Kazi kukimbilia nimekariri, na kuendelea kuwa mbishi pasipo sababu.
Nishakuambia Dunia haihitaji formula ili kufanya kazi!

Au hata hiyo pia ni ngumu kuelewa?

Umesema nikuletee formula nimekuwekea,.na nikasema wazi kwamba gravity kuwekwa hapo sio uthibitisho kwamba na yenyewe inahusika kwenye vitu kuanguka....

Nyie ndiyo wale mnaoamini binadamu wametokana na Ape ancestors Kwa kuwa Tu mmeambiwa hivyo.
 
Sasa wewe aliyekuambia laws za ulimwengu zinafanya kazi according to hizo formula ulizokariri,.Nani?

Wewe kukariri formula,.
1. Hakuifanyi gravity iwepo
2. Hakuthibitishi kwamba Dunia ni Tufe linalozunguka 👉🏼🌍
3. Hakuthibitishi Kwa aina yoyote kwamba maji yanaweza kustick kwenye Impossi-ball.

Mtu mwenye akili timamu hawezi akahitimisha kwamba 100% ulimwengu una operate kama inavyoelezewa na nadharia.

Jua kutofautisha kati ya Theory na hypothesis, theory inakuwa tested again and again na inakuwa accepted. Kwahy hizo formula zimekuwa tested na zinaleta majibu positive sijui unakielewa Hilo?
 
Nishakuambia Dunia haihitaji formula ili kufanya kazi!

Au hata hiyo pia ni ngumu kuelewa?

Umesema nikuletee formula nimekuwekea,.na nikasema wazi kwamba gravity kuwekwa hapo sio uthibitisho kwamba na yenyewe inahusika kwenye vitu kuanguka....

Nyie ndiyo wale mnaoamini binadamu wametokana na Ape ancestors Kwa kuwa Tu mmeambiwa hivyo.

Sasa umeiweka ya nn? Kwamba umeiweka tu bila sababu?

Nani kasema Dunia inahitaj formula? Formula zinafata fundamental phenomenon zilizopo, that's all.
 
Jua kutofautisha kati ya Theory na hypothesis, theory inakuwa tested again and again na inakuwa accepted. Kwahy hizo formula zimekuwa tested na zinaleta majibu positive sijui unakielewa Hilo?
Okay,. gravity ni:-
1. Nadharia
2. sio nadharia

Nadhani tumalize kuhusu gravity Kwa kujibu hilo swali rahisi hapo juu.
 
Sasa umeiweka ya nn? Kwamba umeiweka tu bila sababu?

Nani kasema Dunia inahitaj formula? Formula zinafata fundamental phenomenon zilizopo, that's all.
So,.hiyo formular nimeitunga Mimi?

Au nikiiweka ndiyo nakubaliana nayo?

Au ikiwekwa ndiyo kweli 100% ipo,.Kwa kuwa tu imewekwa?
 
Hayo maneno umeyatoa wapi? Katika sayansi ni sehem Gani hii hypothesis imekuwa accepted?
Nadharia ya evolution inasema hivyo,..au hujui pia kuhusu hilo?

Yes,hiyo pia imekua accepted kama hizi unazotetea hapa.
 
Okay,. gravity ni:-
1. Nadharia
2. sio nadharia

Nadhani tumalize kuhusu gravity Kwa kujibu hilo swali rahisi hapo juu.

Gravity ni nadharia (Theory).
Na theory unakuwa developed When enough experimental results have been gathered in a particular area of inquiry, scientists may propose an explanatory framework that accounts for as many of these as possible. This explanation is also tested, and if it fulfills the necessary criteria, then the explanation becomes a theory.

Na kuwa tested inamaana inakuwa disproved. Kwahy kama unaipinga basi ifanyie tests uidisproove
 
So,.hiyo formular nimeitunga Mimi?

Au nikiiweka ndiyo nakubaliana nayo?

Au ikiwekwa ndiyo kweli 100% ipo,.Kwa kuwa tu imewekwa?

We umetumia neno bouyancy kwahy nisingekuforce kutumia hiyo formula labda unayo yako, ndo maana nikakuomba ulete yako.

Kama hukubaliani nayo leta yako, maana umetaja neno bouyancy au wewe Hilo neno umetoa wapi?
 
Muongo sio mimi Kwa kuwa sijatunga hiyo nadharia,...

Waongo ni wale unaowaamini.
Wala sijawaamini, Kwasabu theory Yao inapoishia ni kuwa viumbe wote tunashare same ancestry. Kwa kutumia evidence kama paleontology, comparative anatomy, genetics, na molecular biology.

Kwahy sio kwamba tunatokana na apes, Bali sisi pamoja na apes maybe tulikuwa specie Moja ambayo haijulikani miaka hiyooo,😄😄.
 
Gravity ni nadharia (Theory).
Na theory unakuwa developed When enough experimental results have been gathered in a particular area of inquiry, scientists may propose an explanatory framework that accounts for as many of these as possible. This explanation is also tested, and if it fulfills the necessary criteria, then the explanation becomes a theory.
hateeb10
 
Wala sijawaamini, Kwasabu theory Yao inapoishia ni kuwa viumbe wote tunashare same ancestry. Kwa kutumia evidence kama paleontology, comparative anatomy, genetics, na molecular biology.

Kwahy sio kwamba tunatokana na apes, Bali sisi pamoja na apes maybe tulikuwa specie Moja ambayo haijulikani miaka hiyooo,😄😄.
Vizuri,..kwahiyo evolution theory ambayo imethibitishwa kwa ushahidi wa kisayansi huiamini?
 
Back
Top Bottom