mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
mimi nimechagua kuielewa gravity,wewe umechagua kuikariri, hiyo ndio tofauti yetu.Sasa mkorinto,..kama hadi kuandika gravity mpaka tukufundishe utaweza ku reason vizuri kweli?
hata hujui kwamba hilo ni jina tu imepewa,tunaweza amua kuiita mkuyati, ila tukiwa tunamaanisha ni force inayofuta vitu ardhini.
yes tumepewa nafasi ya kufikiria kwa akili zetu,hata kufikiri huenda dunia ni tambalare,lakini tafiti na matokeo ndivyo vitu vinasikioizwa mbele za watu,sio hisia kama hizi za kwako.Kwa level yako ya kufikiri ni Bora uendelee kuamini kila unachoambiwa,..maana sidhani kama utaweza kufikiria chochote on your own.
yaani unakaa tu umeshiba maandazi unakuja kupinga facts za watu kwa hisia,hatuwezi kukukalia kimya.