hateeb10
JF-Expert Member
- Dec 8, 2022
- 2,920
- 1,223
Huku nadhani tupaache,...maana hata wewe unaonyesha huamini kabisa evolution theory.Kwahy haya maelezo hukuyaona?👇👇
Bali sisi na Apes Kuna chance Kubwa kuwa tumetokana na same specie.
NB:- Hiyo Theory haisemi 👉🏼"sisi na Apes Kuna chance Kubwa kuwa tumetokana na same specie".......Bali inasema ni uhakika na ushahidi ukitaka watakupa 🙌🏼