Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    710
Sasa mkorinto,..kama hadi kuandika gravity mpaka tukufundishe utaweza ku reason vizuri kweli?
mimi nimechagua kuielewa gravity,wewe umechagua kuikariri, hiyo ndio tofauti yetu.
hata hujui kwamba hilo ni jina tu imepewa,tunaweza amua kuiita mkuyati, ila tukiwa tunamaanisha ni force inayofuta vitu ardhini.
Kwa level yako ya kufikiri ni Bora uendelee kuamini kila unachoambiwa,..maana sidhani kama utaweza kufikiria chochote on your own.
yes tumepewa nafasi ya kufikiria kwa akili zetu,hata kufikiri huenda dunia ni tambalare,lakini tafiti na matokeo ndivyo vitu vinasikioizwa mbele za watu,sio hisia kama hizi za kwako.

yaani unakaa tu umeshiba maandazi unakuja kupinga facts za watu kwa hisia,hatuwezi kukukalia kimya.
 
Sasa kama hata huwezi kuthibitisha kama dunia inazunguka na hujawahi kufanya vipimo Kwa njia yoyote Ile,... kwanini una conclude kwamba hiyo ni facts?

Kichwa chako unatumia kufanyia nini?
 
Vizuri,..kwahiyo evolution theory ambayo imethibitishwa kwa ushahidi wa kisayansi huiamini?

Siamini unachosema ww kuwa tumetokana na apes, wao wameangalia hizo criteria wakaona Kuna ufanano wa karibu then wakasema inawezekana (Kuna chance Kubwa)tunashare same ancestry. Kwahy kazi ni kwako kuconclude.
 
Sasa kama hata huwezi kuthibitisha kama dunia inazunguka na hujawahi kufanya vipimo Kwa njia yoyote Ile,... kwanini una conclude kwamba hiyo ni facts?

Kichwa chako unatumia kufanyia nini?
Wewe umeweza wapi kuthibitisha kuwa Jua linamove around?
 
Vizuri, Kwa kuwa umekiri gravity ni theory tu mpaka Karne hii,...tumalizie na swali hili, sasa:-
1. Nadharia ni fact

2. Nadharia ni assumption?

Tumalizie hapo,.ili kila kitu kiwe clear.
 
Siamini unachosema ww kuwa tumetokana na apes, wao wameangalia hizo criteria wakaona Kuna ufanano wa karibu then wakasema inawezekana (Kuna chance Kubwa)tunashare same ancestry. Kwahy kazi ni kwako kuconclude.
Hahhh kwani Mimi ndiyo nimetunga hiyo theory?

Wewe si unasema unakubali theories zote ambazo zimekua tested again and again?

Sasa hii theory ya evolution unayoikataa ni miongoni mwa theories ambazo zimekua tested....
 
Vizuri, Kwa kuwa umekiri gravity ni theory tu mpaka Karne hii,...tumalizie na swali hili, sasa:-
1. Nadharia ni fact

2. Nadharia ni assumption?

Tumalizie hapo,.ili kila kitu kiwe clear.
Umeanza kuuliza maswali mazurii.

Ntakwambia hili Kwa kuhusisha gravity.

Nadharia sio fact ni "theory" and does not imply uncertainty. So unapoamua kuipinga lazima uifanyie tests na uidisproof kitu ambacho mpaka sasa hakuna aliweza kuudisproof.

Kwa phenomenon kama gravity can never be a fact, it will always be tested though it's accepted.
 
Hahhh kwani Mimi ndiyo nimetunga hiyo theory?

Wewe si unasema unakubali theories zote ambazo zimekua tested again and again?

Sasa hii theory ya evolution unayoikataa ni miongoni mwa theories ambazo zimekua tested....
Umeelewa lakini? Hiyo ya kuwa tumetokana na apes nimeikataa. Ila hii iliyopo ni sawa.
 
Mjadala ushaisha hapa........ Kwakuwa umekiri mwenyewe kwamba nadharia sio fact,.na gravity ni miongoni mwa nadharia.

Basi sina cha kuongeza hapa.
 
Mjadala ushaisha hapa........ Kwakuwa umekiri mwenyewe kwamba nadharia sio fact,.na gravity ni miongoni mwa nadharia.

Basi sina cha kuongeza hapa.

Hahahaa vzr kama tumeelewana kwanza hapo, na gravity kuwa theory haimaniishi kuwa ni uncertainty na hujaweza kuidisproove, so it's still accepted
 
Umeelewa lakini? Hiyo ya kuwa tumetokana na apes nimeikataa. Ila hii iliyopo ni sawa.
Iliyopo ipi.?

Kwani hiyo iliyopo inapinga kwamba Sisi tumetokana na Ape ancestor?

Tena inasema kabisa kwamba viumbe wote wametokana na kiumbe mmoja tu kutoka majini,...Lakini wanasema huyo kiumbe hajulikani,. πŸ™ŒπŸΌ
 
Haisemi kama tumetokana na Apes Bali sisi na Apes Kuna chance Kubwa kuwa tumetokana na same specie.

Na hapa najua utakataa Kwa sabab ya maswala ya Imani kitu ambacho Nina ki-avoid.
 
Hahahaa vzr kama tumeelewana kwanza hapo, na gravity kuwa theory haimaniishi kuwa ni uncertainty na hujaweza kuidisproove, so it's still accepted
Sio kwamba gravity haiwezi kuwa disproved,.bali hata ikiwa disproved hutaki kukubali.

Kwa mfano kuna sehemu unahusisha gravity,.ukiambiwa hapo gravity haihusiki unaona watu wajinga......
 
Sio kwamba gravity haiwezi kuwa disproved,.bali hata ikiwa disproved hutaki kukubali.

Kwa mfano kuna sehemu unahusisha gravity,.ukiambiwa hapo gravity haihusiki unaona watu wajinga......

Wapi umei disprove?
Nimekwambia kuidisprove ni lazima uifanyie tests, zikileta majibu kinyume basi utakuwa umeweza kui disprove
 
Haisemi kama tumetokana na Apes Bali sisi na Apes Kuna chance Kubwa kuwa tumetokana na same specie.

Na hapa najua utakataa Kwa sabab ya maswala ya Imani kitu ambacho Nina ki-avoid.
Hahah Imani kama sio ya kweli ya nini kuishika sasa? ukweli uwekwe wazi hata kama utaumiza........

Ulisema unaamini theory iliyopo ya evolution apart from hiyo inayosema kuhusu apes,...nikaakuliza hiyo unayoamini ni ipi?

Hujajibu.
 
Hahah Imani kama sio ya kweli ya nini kuishika sasa? ukweli uwekwe wazi hata kama utaumiza........

Ulisema unaamini theory iliyopo ya evolution apart hiyo inayosema kuhusu apes,...nikaakuliza hiyo unayoamini ni ipi?

Hujajibu.

Kwahy haya maelezo hukuyaona?πŸ‘‡πŸ‘‡

Bali sisi na Apes Kuna chance Kubwa kuwa tumetokana na same specie.
 
Wapi umei disprove?
Nimekwambia kuidisproove ni lazima uifanyie tests, zikileta majibu kinyume basi utakuwa umeweza kui disprove
Kwenye test kama ya mpira kuelea kwenye maji ya bahari,... Gravity inakua easily disproved.

Ingekua gravity ipo na ndiyo inafanya kazi ya kusukuma objects chini,..basi mpira usingeelea ungeshushwa na gravity mpaka kwenye sakafu ya bahari.

Najua hapa utataka kubisha tena,... sidhani kama tutafikia hitimisho Kwa style hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…